Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

FORWARD

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
734
500
Kampuni ya Precision imenifanya nione kuwekeza kwenye hisa ni kupeana presha tu maana tangu tununue hisa zake hakuna kilichopatikana kwa wanahisa! bei ya hisa iko vile vile toka Novemba 2011. Anyway kila mtu anavutia upande wake hata akiona unamuelemea ila si vizuri hasara yako kuwaunganishia na wengine.
 
Ruge Opinion

JF-Expert Member
Mar 22, 2006
1,838
2,000

Kuwekeza (investment) inahusisha kucheza kamari ya aina fulani (kwa Kiingereza wanaita speculation). Mradi unaweza kutema mara moja, ukatumia muda mrefu kabla ya kutema au ukafa kabisa. Unapowekeza unakubali kuwa kuna hatarisho (risk) ndani yake. Kama unaogopa miradi yenye risk unpaswa kuwekeza kwenye vyombo vyenye risk ndogo kama Government Securities (Treasury Bills, Treasury Bonds, n.k.). Lakini zingatia kanuni muhimu inayosema 'the higher the risk the higher the return'. Maana yake ni kuwa uwekezaji wenye hatarisho kubwa mara nyingi huwa na faida kubwa vile vile.
 
Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,548
2,000
Siku kampuni za mawasiliano zikianza kuuza hisa zao nistueni nitapanda treni kuja dar kununua
 
hekimatele

JF-Expert Member
May 31, 2011
9,903
2,000
Kampuni ya Precision imenifanya nione kuwekeza kwenye hisa ni kupeana presha tu maana tangu tununue hisa zake hakuna kilichopatikana kwa wanahisa! bei ya hisa iko vile vile toka Novemba 2011. Anyway kila mtu anavutia upande wake hata akiona unamuelemea ila si vizuri hasara yako kuwaunganishia na wengine.
Pole mkuu
Jamaa wana madeni mengi sana and it will take time for them to finish them off before realizing profit of the business and lastly to pay dividend to its shareholders. Remember ndoa Yao Na KQ.
Pole aisee najua some of these details hukuzijua.
Future prospects zimekaa vizuri lakini. Don't worry.
Fastjet might step outta market Coz they are making huge losses.
Invest in time. Who knows
 
Rolandi

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
900
500
Kampuni ya Precision imenifanya nione kuwekeza kwenye hisa ni kupeana presha tu maana tangu tununue hisa zake hakuna kilichopatikana kwa wanahisa! bei ya hisa iko vile vile toka Novemba 2011. Anyway kila mtu anavutia upande wake hata akiona unamuelemea ila si vizuri hasara yako kuwaunganishia na wengine.
Pole mkuu. Hata mimi nilinunua huko, bad decision! Sema nina nyingine za CRDB, swissport na tbl huko mambo mazuri. Ndio maana wataalam wanashauri uwe na portifolio ya hisa za makampuni mbalimbali ya sekta mbalimbali. kwangu mimi mwisho wa siku nina positive return kwa hela niliyoinvest pamoja na kutopata kitu precision
 
achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
377
225

Mkuu kati ya hizo ipi iko poa na unaanza kuweka kwa kiasi gani kama kima cha chini?
 
Urban86

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
203
225
2. Jaza fomu ulizopewa

Baada ya kuprint fomu ulizotumiwa utajaza kutokana na mahitaji ya fomu husika. Baada ya kumaliza kujaza fomu zako, utazi scan zote na kuzituma kama attachment kwenye email ya brocker na kusubiri majibu kutoka kwake.

3. Utatumiwa kiasi cha kutuma na akaunti ya benki kwa ajili ya kuingiza pesa

Baada ya kutuma fomu zako kwa brocker atazipitia na kujua ni kiasi gani ulipie ili uweze kununua hisa hizo. Baada ya kupata akaunti ya benki ya utaingiza kiasi cha pesa ambacho umeambiwa kwenye akaunti ya kampuni ya brocker. Baada ya kulipia benki pesa za ununuzi wa hisa uta scan risiti ya benki.
Mdau sijakuelewa hapo, say nimeshafanya maamuzi ya kununua hisa 100 za kampuni x ambazo leo ni tsh 100 najua nitatakiwa kulipia 10,000 kununua hisa zote. Sasa point no. 3 imekaa as if kuna extra cost ambazo broker atakalulate nje na ambazo nimeshazijua. Naomba maelezo zaidi pls?
 
Urban86

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
203
225
Kitu nlichojifunza kwenye huu uzi ni kuwa ili uweze kuwekeza vizuri na kupata faida kwenye soko la hisa ni muhimu kuzingatia mambo yafuatayo: 1. Investing in stock is risk as other business, you don't have to be risk investor but smart investor. 2. Kuepuka au kupunguza risk unatakiwa kuwa na financial literacy to understand the stories of numbers financially, financial statements za kampuni na kuproject future zao. 3. U must have investing plan otherwise utakuwa kama wacheza kamari au kubet.
 
SUPERUSER

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
961
500
I urge you to buy DSE shares @TZS 500,their doing an IPO and deadline is this Friday and it looks like there will be an oversubscription
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
49,424
2,000
Mdau sijakuelewa hapo, say nimeshafanya maamuzi ya kununua hisa 100 za kampuni x ambazo leo ni tsh 100 najua nitatakiwa kulipia 10,000 kununua hisa zote. Sasa point no. 3 imekaa as if kuna extra cost ambazo broker atakalulate nje na ambazo nimeshazijua. Naomba maelezo zaidi pls?

Kuna brokerage fee unamlipa broker ili uweze kuzinunua hizo hisa.
 
zuberi Abraham

JF-Expert Member
Feb 13, 2016
480
500
naomba kujua hivi hisa zinazo uzwa primary kama (IPO) huwa zinatangazwa wapi mana DSE mbona hawahusiki ?
Hili swali linahitaji jibu zuri Lakini wakulijibu siwaoni maana na Mimi nahitaji maelezo mazuri. Jana mimesikia Mpango yupo kwenye mkutano wa hii issue illa hadi sasa natafuta sipati jibu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom