Haya masoko ni kwa kila wilaya?Mkuu wewe huoni kuwa Mkoa wa Geita ndiyo una maeneo mengi ya machimbo ya madini na pia ndio Mkoa wenye mgodi mkubwa wa madini hapa bongo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania ya Magufuli ni Tanzania ya ViwaaaandaLeo katika viunga vya Chato kumezinduliwa soko kuu la dhahabu. Hivi kumbe haya masoko ni kwa kila wilaya? Maana makao makuu pale Geita napo pana mjengo wa soko la dhahabu.
Hongera Chato kwa kuyafikia maendeleo ya kweli. Unapaa kwa kasi kweli kweli.
View attachment 1304965
Ww si beberu wa kiingerezaIkulu nayo iende chato. Something not right in my beloved country
Ingejengwa kaskazini usingeongea hayaSijawahi kuona kiongozi mwenye uoendeleo kama tuliye naye sasa.
Hajaanza leo, kumbuka alipo kuwa waziri wa ujenzi aliwahi kupeleka taa za kuongozea magari sehemu ambayo ina magari hata 100 hayazidi.
Ni ubinafsi mkubwa , hata jengo lake ambalo ameweka tausi toka ikulu ni uhinafsi mkubwa kwa sababu ukisha chaguliwa kuwa Rais tunakupa nyumba ambayo ni ikulu na baada ya kutoka kuna utaratibu wa kujengewa nyumba , sasa yeye amejibegea jengo kama hoteli .
Tusipo angalia tutapata shida sana kwa huu utawala.
Mungu mlinde JK na mkapa na warioba , maana hawa ndio pekee wameshikilia msimamo wa katiba.
Mwinyi sijui kapewa nini katiba kesha ikanyaga, pinda ndio kabisa.. wengine hawaeleweki msimako wao.
Tunahitaji katiba mpya itakayo zuia mambo mambo kama haya.
Atatokea mtu siku moja akaingiza kwenye chama kabila lake tuu na viongozi kabila lake tuu kisha akapata urahisi wa kuikanyaga katiba kwa kigezo cha watu wanamtaka aendelee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani, tatizo liko wapi?? Mlitaka hizi rasilimali zetu ziendelee kuibwa kila siku?? Huku walijaa wakutoka nje tu. Wakaja na vifedha vyao wakavibadili mpakani kwa njia mbaya. Wakaingia humu nchini na kutunyonya. Leo mmejengewa mahali sahihi pa kuiuza dhahabu yenu wenyewe mnabeza?? Hapana, hii nasema sio vyema. Jengo la dhahabu mnataka liwe la udongo?? Tuleteeni basi michoro
Acha kupindisha mada wewe...Jamani, tatizo liko wapi?? Mlitaka hizi rasilimali zetu ziendelee kuibwa kila siku?? Huku walijaa wakutoka nje tu. Wakaja na vifedha vyao wakavibadili mpakani kwa njia mbaya. Wakaingia humu nchini na kutunyonya. Leo mmejengewa mahali sahihi pa kuiuza dhahabu yenu wenyewe mnabeza?? Hapana, hii nasema sio vyema. Jengo la dhahabu mnataka liwe la udongo?? Tuleteeni basi michoro
Naunga mkono maendeleo yote ya ChatoLeo katika viunga vya Chato kumezinduliwa soko kuu la dhahabu. Hivi kumbe haya masoko ni kwa kila wilaya? Maana makao makuu pale Geita napo pana mjengo wa soko la dhahabu.
Hongera Chato kwa kuyafikia maendeleo ya kweli. Unapaa kwa kasi kweli kweli.
View attachment 1304965
Kama hata hilo hulioni kama tatizo unadhani utakuwa unafikiri kutumia nini wewe?Kuna maoni ya baadhi ya watu wa Ufipa ukisoma unaweza jiuliza hawa wanawaza kutumia magoti Au ubongo??
Pungezeni mihemuko Vijana..
Viva JPM