Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 831
- 768
Umemuuliza vizur mana anarukaruka tu kaa paka shumeHaya masoko ni kwa kila wilaya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemuuliza vizur mana anarukaruka tu kaa paka shumeHaya masoko ni kwa kila wilaya?
Swala ni kuwa je kam Geita kuna soko tayari na Chato ni Geita sasa kulikuwa na haja gani ya kujeng lingine chato?Jamani, tatizo liko wapi?? Mlitaka hizi rasilimali zetu ziendelee kuibwa kila siku?? Huku walijaa wakutoka nje tu. Wakaja na vifedha vyao wakavibadili mpakani kwa njia mbaya. Wakaingia humu nchini na kutunyonya. Leo mmejengewa mahali sahihi pa kuiuza dhahabu yenu wenyewe mnabeza?? Hapana, hii nasema sio vyema. Jengo la dhahabu mnataka liwe la udongo?? Tuleteeni basi michoro
Leo katika viunga vya Chato kumezinduliwa soko kuu la dhahabu. Hivi kumbe haya masoko ni kwa kila wilaya? Maana makao makuu pale Geita napo pana mjengo wa soko la dhahabu.
Hongera Chato kwa kuyafikia maendeleo ya kweli. Unapaa kwa kasi kweli kweli.
View attachment 1304965
Poa poaKuna stimu nnayo utaikata best!maana pale geita lipo ..!eish
Mkuu mbona wewe umekuwa mtu wa kuunga mkono kila kitu. Even this kind of shit selfish unaunga tu mkono daah.Naunga mkono maendeleo yote ya Chato
Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!
Wanabodi, Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa Bukoba, eneo la Omukajunguti na badala yake sasa uwanja huo unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi naunga mkono ujenzi...www.jamiiforums.com
P
Don’t worry, kuna watu hata wapelekewe maendeleo kiasi gani hawataendelea na wakiendelea basi kwa kasi ya kobe baada ya 10 years ndio utaelewa kauli yanguSijawahi kuona kiongozi mwenye uoendeleo kama tuliye naye sasa.
Hajaanza leo, kumbuka alipo kuwa waziri wa ujenzi aliwahi kupeleka taa za kuongozea magari sehemu ambayo ina magari hata 100 hayazidi.
Ni ubinafsi mkubwa , hata jengo lake ambalo ameweka tausi toka ikulu ni uhinafsi mkubwa kwa sababu ukisha chaguliwa kuwa Rais tunakupa nyumba ambayo ni ikulu na baada ya kutoka kuna utaratibu wa kujengewa nyumba , sasa yeye amejibegea jengo kama hoteli .
Tusipo angalia tutapata shida sana kwa huu utawala.
Mungu mlinde JK na mkapa na warioba , maana hawa ndio pekee wameshikilia msimamo wa katiba.
Mwinyi sijui kapewa nini katiba kesha ikanyaga, pinda ndio kabisa.. wengine hawaeleweki msimako wao.
Tunahitaji katiba mpya itakayo zuia mambo mambo kama haya.
Atatokea mtu siku moja akaingiza kwenye chama kabila lake tuu na viongozi kabila lake tuu kisha akapata urahisi wa kuikanyaga katiba kwa kigezo cha watu wanamtaka aendelee.
Sent using Jamii Forums mobile app
No it's not true kuwa mimi naunga mkono kila kitu, no!, mimi naunga mkono kila kizuri kinachofanywa na Magufuli na awamu ya 5 lakini kwenye vibaya au mabaya ninakosoa sana tuu.Mkuu mbona wewe umekuwa mtu wa kuunga mkono kila kitu. Even this kind of shit selfish unaunga tu mkono daah.
Ama kweli idadi ya wapiga kura tunazidi kupungua kila kukicha kwa sababu za Ongezeko kubwa la Wachumia Siasa. Huyu nae tushampoteza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwaoLeo katika viunga vya Chato kumezinduliwa soko kuu la dhahabu. Hivi kumbe haya masoko ni kwa kila wilaya? Maana makao makuu pale Geita napo pana mjengo wa soko la dhahabu.
Hongera Chato kwa kuyafikia maendeleo ya kweli. Unapaa kwa kasi kweli kweli.
View attachment 1304965
Hebu tueleze machimbo ya dhahabu yaliyoko Chato!Mkuu wewe huoni kuwa Mkoa wa Geita ndiyo una maeneo mengi ya machimbo ya madini na pia ndio Mkoa wenye mgodi mkubwa wa madini hapa bongo!
Sent using Jamii Forums mobile app