Robert mp
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 200
- 21
Natanguliza shukrani zangu kwa wanajf.tatizo nililonalo ni kuwa kuna jamaa anataka kuniuzia software cable ya avatar dongle na amesema inatumika kwa mwaka mmoja.wasiwasi wangu ni kuwa mbona kuna watu humu kwenye jf walisema kuwa walibadilisha software ikakaa wiki moja ikakata mpaka leo.kwa mwenye utaalamu anifafanulie naogopa kuingia mkenge.bei alisema sh 70000