Software Inaungana Vipi na Hardware?

Software Inaungana Vipi na Hardware?

hahahahhha bro naomba nikushauri uache kusoma IT aisee maana ni aibu.Duuh yani umeshindwa hata kufungua pc na kuona kuwa ndani hamna maandishi yoyote katika mfumo wa maandishi ya karatasi bali ni cirucit na components.Ukashindwa kweli kutambuwa ya kwamba hzo components zinatumika kuwakilisha symbollically hzo herufi yani kwamba mtu akisema 1 ndani ni series ya on and off switches ?? Hahaha mungu bro ndo anafanya hvo vitu ahh hii ni aibu kwa It tanzania
 
Yaani ni vurugu zaidi. Humo kwenye kernel kuna codes kama 15 million.

SWALI NI HIZO CODES NA VISWICHI VYA ON NA OFF VINAELEWANA VIPI.

Wengi mliojibu hapa mmejibu kama hao jamaa wa Youtube. Mmejibu mkichukulia mimi sijui computer. Nina degree ya IT kwenye database.

Hili swali ninalouliza ni kama kuuliza Mungu kakaa wapi. Ni swali ambalo waliopo katika fani hii wanaweza kupata idea za kugundua kitu kipya.

Masahihisho mkuu. CODE ni CODE hata ziwe nyingi.
 
hahahahhha bro naomba nikushauri uache kusoma IT aisee maana ni aibu.Duuh yani umeshindwa hata kufungua pc na kuona kuwa ndani hamna maandishi yoyote katika mfumo wa maandishi ya karatasi bali ni cirucit na components.Ukashindwa kweli kutambuwa ya kwamba hzo components zinatumika kuwakilisha symbollically hzo herufi yani kwamba mtu akisema 1 ndani ni series ya on and off switches ?? Hahaha mungu bro ndo anafanya hvo vitu ahh hii ni aibu kwa It tanzania
Mkuu, kama ukikurupuka huwezi elewa mleta mada anachomaanisha.

Em nifafanulie tu hiki kitu kidogo, inakuaje kwenye remote ya deki yako unabonyeza eject na cd inatoka. Ni mechanism ipi hapo ime'be' applied? Bado unaona rahisi?
 
hahahahhha bro naomba nikushauri uache kusoma IT aisee maana ni aibu.Duuh yani umeshindwa hata kufungua pc na kuona kuwa ndani hamna maandishi yoyote katika mfumo wa maandishi ya karatasi bali ni cirucit na components.Ukashindwa kweli kutambuwa ya kwamba hzo components zinatumika kuwakilisha symbollically hzo herufi yani kwamba mtu akisema 1 ndani ni series ya on and off switches ?? Hahaha mungu bro ndo anafanya hvo vitu ahh hii ni aibu kwa It tanzania

Kumbe tumevutia comedians hapa. Ni wapi niliposema ndani ya computer kuna maandishi? Anyway since ni comedy ndani ya motherboard kuna vilebo lebo vingi tu.
 
Mkuu hilo neno ni debatable. Kwenye lugha kuna code na codes, kwenye programming wanazinguana kama ulivyonizingua wewe.
Hahah Inawezekana asee...mwenyewe niliwahi kuzinguliwa forum fulan hivi..
 
Back to serious issues. Unapochapa code yako. Inabadilshwa kuwa 0 na 1 kwa kutumia hii table
1ac5933e111fd527bc9596096dd29a1a.jpg

Kila zero ni switch off na kila 1 ni switch on.

Naweza kusema designers ndio wameplani hizo switch zizime na kuwaka kulingana na hiyo table na code itakayochapwa. Utake usitake hapa kuna elimu ya watengeneza CPU ambayo haijulikani na wachapaji code.

Lakini bado uchawi upo kwenye maandishi (code) kwenda kuzima na kuwasha viswichi ndani ya computer hatimaye process hiyo ifanye kazi anazotaka programmer.
 
LOGIC GATES
 
Wakuu naelekea kujijibu swali langu mwenyewe ni jinsi gani software na hardware zinakutana. Nikikosea nisahihisheni.

Code au program kwa lugha ya mtaani ninayoelewa mimi ni formula ya kuzima na kuwasha viswichi vya computer.

Ukiandika a viswichi vinazimwa na kuwashwa kwa mtindo huu 01000001.

Kila zero ni off, kila moja ni 1.

Contact ya hadware na software inapatikana kwenye current za umeme zinazokuja kwenye keyboard na touch screen.

Software compatibility ni kukubaliana kwa architecture ya computer na ya program iliyoandikwa.

Bingo! Mtu angenijibu hivyo ningeelewa siku nyingi.

Ila ujinga unabaki kwenye kuzima viswichi vya umeme kwa mpangilio fulani halafu computer irikodi audio na video ya Magufuli????????????!
 
Hueleweki!!!
 
Sijajua kama kwenye programmes zenu mlisoma hii kitu Digital Systems, mambo ya Logic gates, Sequential & combinational circuits, vinaelezea hatua za awali kabisa jinsi hizo memory zinavyoundwa na ufanyaji wake wa kazi, vitu kama counters, registers, bila shaka mlisoma.
 
nijuavyo mimi...computer imetengenezwa kwa kutumia sample ya mwili wa binadamu ulivyo....hiyo software ndio damu kwa mwanadamu, kwahio km unajua jinsi mwili wa mwanadamu unavyofanya kazi hakuna tofauti sna na computer ilivyotengenezwa...karibu kwa maswali mengine...
 
Hueleweki!!!

Ni hivi zamani wakati wanatumia ile mi typewriter mikubwa kama piano. Ulikuwa unaona kabisa key ya A ni kama gea ya gari inaenda kuandika A kwenye karatasi.

Sasa kwenye keyboard ya leo au touch screen ukigusa A current za umeme zinasafiri na kwenda kuwasha na kuzima hivyo viswichi kwa formula hii 01000001. Kila zero ni off kila 1 ni on. Hapo sasa computer inaandika A au kufanya kazi ya A ndani ya computer.
 
nijuavyo mimi...computer imetengenezwa kwa kutumia sample ya mwili wa binadamu ulivyo....hiyo software ndio damu kwa mwanadamu, kwahio km unajua jinsi mwili wa mwanadamu unavyofanya kazi hakuna tofauti sna na computer ilivyotengenezwa...karibu kwa maswali mengine...
Majibu kama haya uwa yananichekesha sana na kunifurahisha
 
Sijajua kama kwenye programmes zenu mlisoma hii kitu Digital Systems, mambo ya Logic gates, Sequential & combinational circuits, vinaelezea hatua za awali kabisa jinsi hizo memory zinavyoundwa na ufanyaji wake wa kazi, vitu kama counters, registers, bila shaka mlisoma.

Mkuu usichukulie kila mtu hapa ana elimu uliyo nayo wewe. Wewe mwaga mtama tu kwenye kuku wengi wabongo waelemike. Usomi ni pamoja na kuweza kuelezea kitu kwa lugha ya kawaida kila mtu akaelewa.
 
Mtu akijibu swali la kuzima na kuwasha hivi viswichi vinafanyaje computer ifanye kazi anaweza kutengeneza computer yake

Hivi vya audio na video vinarekodiwa nje ya computer. Halafu kwa kutumia program (code) vinahifadhiwa ndani ya computer na kuenyeshwa kwenye screen.
 
Mkuu usichukulie kila mtu hapa ana elimu uliyo nayo wewe. Wewe mwaga mtama tu kwenye kuku wengi wabongo waelemike. Usomi ni pamoja na kuweza kuelezea kitu kwa lugha ya kawaida kila mtu akaelewa.
Ukirudi nyuma kwenye hii nyuzi umekiri maelezo mengi uliyopata hayajakuridhisha na yameelezwa kirahisi rahisi, ukisema ufanye briefing kwenye mambo ya Microprocessor, microcontrollers na Digital systems kwa ujumla utaishia kumwambia mtu 0s & 1s basi pasi na hapo hamtaelewana.
 
Mkuu nilipinga maelezo ya "hujui kitu, hiyo kitu rahisi sana, very simple hiyo" halafu mtu anaishia.
Ila 0 na 1 , off na on ni msingi hata katika kuhifadhi hizo video na audio.

Kimsingi ninatafuta hizi off na on zinatengenezaje akili ya computer.
 
Back
Top Bottom