Kaka ushaingiza mambo ya mungu kwenye vitu ambavyo binadamu tunatengeneza kila siku hakuna explanation itakusaidia, in short jibu unalllihitaji ni refu kidogo ila kama ni mzuri wa abstraction ungeelewa jinsi gani kitu simple kama switch on and off kinaweza kua abstracted hadi kugeuka computer. Huyu mungu hayupo msimpe title sana wakati ni juhudi za watu zimetufikisha hapo.
Sasa si utoe tu maelezo mkuu ya hiyo abstraction. Pumzi inakudanganya. Ujue na yenyewe pia ni abstraction.
Siwezi nikaelezea hapa ukaelewa zaidi nitazidi kukuchanganya uzidi kuleta story za mungu. Ungekua mtu curious kweli ungeingia google ukatafuta ukasoma, sema naona huna muda huo.
Everyone who is seriously committed to the cultivation of science becomes convinced that in all the laws of the universe is manifest a spirit vastly superior to man, and to which we with our powers must feel humble - Albert Einstein
Science without religion is lame, religion without science is blind - Albert Einstein
I have never denied the existence of God. I think the theory of evolution is fully compatible with faith in God. I think the greatest argument for the existence in God is the impossibility of demonstrating and understanding that the immense universe, sublime above all measure, and man were the result of chance - Charles Darwin.
Hivi vitu wanavifanyia architecture ya maana kulingana na mchoro wa software,kwa hizi development za hardware au software Lazima kuwe na architecture ili siweze kusychonize sawasawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli hata mimi sielewi elewi inakuwaje. Hata kitendo cha kutumia mouse na cursor kwenye screen ya computer ku-operate naona sielewi elewi. Vipi kuhusu touch screen.
Wewe umeleta makubwa zaidi. Ni hizo hizo electrons. Tena hizi touch screens kuna zinazotumia umeme ulio ndani ya mwili wa binadamu. Kama unabisha vaa gloves au tumia kichuma au kitu chochote kwenye touch screen ya simu yako uone kama touch screen itafanya kazi.
Touch screen kimsingi ni skin touch. Ikigusana na ngozi ya binadamu ndio inafanya kazi. Umeme wa mwili na wa computer unakamilisha mzunguko wa umeme.
Kumbe ndio maana zile Samsung Note zilikuwa zinalipuka. Walikorofisha circuits za umeme.
Wanaposhindwa kujibu ni vipi hizi electric currents zinakubali kuchukua orders kutoka kwenye michoro ya programming.
Architecture ya circuits za umeme ipo. Na ndipo computer inapofanana na mchawi. Wote wanatumia natural powers ambazo kwa asiyezielewa hazileti sense yeyote.
unatakiwa uisome kernel kujua inafanyaje kazi,
![]()
unaweza hata youtube kwenda utaona, ni topic ndefu inabidi ukae chini utulie.
Computer iko na language yake ambayo ni binary numbers 0 na 1
Huku 0 ikitafsiriwa kama low
Na 1 ikitafsiriwa kama high
Hizi number zinaitwa BITS hizo BIT zikiwa 8 kwa mpangilio wowote zinaitengeneza BYTE
hiyo LOW maanake NO VOLTAGE
na HIGH manake THERE IS VOLTAGE
unapochapa code , unaziandika kwa kufuata kanuni na taratibu ili computer iweze kuzibadili hizo code zako ambazo ni HIGH LEVEL LANGUAGE kwenda kwenye LOW LEVEL LANGUAGE ndo hiyo binary codes
Ndo maana ukikosea kuprogram computer haiwez kurespond wala kudetect chochote toka kwenye software yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu embu jaribu kuchimba kidogo kwenye microprocessors & microcontrollers utapata majibu yote unayotaka.Upo vizuri kuliko majibu yote yaliyotolewa hapa. Sasa umechapa codes vizuri. Zimekubaliana na lugha ya computer ya binary. Swali ni codes zinaveukaje kuwa 0 na 1?
Kwanza ishu inaanzia hapa. Hizi codes tayari unazichapa kwenye computer. Hivyo ni vigumu kutoa jibu software inalink vipi na hardware.
Labda tungeanzia na nini kilianza kati ya hardware na software?
Na je nikisema programmer akikosea codes ni sawa na mganga wa kienyeji kukusea masharti ya uchawi italeta sense au hauleti?