Mkuu zeni2017 kuna ishu inaitwa COMPILER huyu ndo anataACT kama mkalimani baina ya code ulizochapa wewe na computer , so ukichapa code kwa lugha yako compiler inaitafsir kwenda kwenye digital language ndo hizo logical circuits zinakuwa activated,so codes unazochapa ukifuata utaratibu zinatumika kuactivate logical ckts humi ndani, yaan codes zako zinadecide inputs na zinadicatate outputsUpo vizuri kuliko majibu yote yaliyotolewa hapa. Sasa umechapa codes vizuri. Zimekubaliana na lugha ya computer ya binary. Swali ni codes zinaveukaje kuwa 0 na 1?
Kwanza ishu inaanzia hapa. Hizi codes tayari unazichapa kwenye computer. Hivyo ni vigumu kutoa jibu software inalink vipi na hardware.
Labda tungeanzia na nini kilianza kati ya hardware na software?
Na je nikisema programmer akikosea codes ni sawa na mganga wa kienyeji kukusea masharti ya uchawi italeta sense au hauleti?