William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Huyu mama asipuuzwe kwa 100%, haiwezekani kwamba eti yote aliyosema hakuna chembe ya ukweli kwa jambo hata moja! Anne Kilango mbona hajasema kwamba aliyosema Sofia Simba ni uwongo ila alisema ETI kwa nini hakuyasema muda huo wote! Kwa upande wa John Samwel Malecela naye hajakanusha zaidi ya kudai ETI Sofia Simba akapimwe akili! Remember you can extract sense out of nonsense!
- Tatizo lako sio anything, isipokuwa ni mimi, na mimi nimekuhakikishia mara nyingi sana kwamba huna ubavu wa kusimama na mimi either hapa JF, aua hata in the real life, JF ninakuja kukata ishus sijali upande wa pili upo wewe au anybody, ninachojali facts sasa wewe ukileta za kuleta mimi sina peremende ninakurudishia zile zile za kuleta, uchafu wa CCM au usafi wao mimi haunihusu, kwa sababu ninaamini kuwa kama CCM wote ni wachafu, basi wananchi wote wa Tanzania tuliowachagua kutawala for he last 47 years tunakuwa kama wao CCM, yaani wachafu 100%.
Haya kwa wale watetezi wa Mengi na Chama chenu cha Mafisadi msikie huo ujumbe CCM waliompa Mengi.Tukiwaambia kwamba kama nyie siyo mafisadi basi mkiache hicho Chama mnakuja juu.
Na Tumaini Msowoya
SIKU moja baada ya Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya IPP Media Reginald Mengi kuthibitisha uanachama wake wa CCM kwa kuonyesha kadi ya mwaka 1977, chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam kimemkana.
Katibu wa CCM mkoani humo Kilunde Ng'enda amesema CCM Dar es Salaam bado haimtambui Mengi kama mwanachama wake vinginevyo akathibitishe ofisini kwake.
Source: Mwananchi 11/7/2009
- Amesema atamjibu at the right time tena at her time sio time ya Sophia na she is coming soon kwa sababu bado zamu yake kufika kwenye hiyo kamati, yote yatajibiwa tena kwa facts.
FMEs!
Mkuu nilikuwa nimelala usingizi lakini hapa umenikuna kidogo.-Mwalimu alimuita Malecela muhuni, kwa tabia zetu za Kitanzania ikiwa na maana ana wanawake wengi, kitu ambacho na Mwalimu alikuwa nacho yaani wanawake wengi...
- Jeetu kama nilivyoambiwa na wahusika, hajawahi kuifadhili harusi wala kampeni ya urais wa Malecela, isipokuwa anaweza kuwa aliachangia
FMEs!
So pals lets seat back and relax, waiting to listen from our fools...there is a good lot to be thrown to us once again...lol!
- Ndugu yangu mbona unahangika sana, unahngaikia nini hasa? kinachikuwsha ni nini hasa mkuu haya maneno unatunga tunga ili yakusaidie nini?
1. Sophia amemsifia Lowassa kuwa ni Mwanaume wa shoka na kwamba hajawahi kuona kiongozi safi na mchapakazi kama yeye, amesifia Rostam, Karamagi, na Makamba kwamba ni viongozi imara sana an wasafi na hasa Makamba kwamba anakiweka chama pazuri sana.
- Hayo ya viongozi wanne umeyatunga na kuyabandika tu hapo uonekane uko objective kumbe ni ayako ni ile ile tu kumchafua Malecela na mkewe, unachohangikia nini hasa mkuu?
2. Mama Kilango alikutwa na madawa ya kulevya na nani? kampeni zote za uchaguzi wapinzani wake wameshindwa kuyasema hayo, kwenye kampeni za urais Sophia alikuwa upande wa Mtandao kwa nini hakusema haya? Waziri wa Takukuru anashindwa nini kutoa ushahidi wa madai yake na kummaliza adui yake mkubwa Mama Kilango?
Unahangaika bure ndugu yangu, hutafanikiwa mafisadi Tanzania tunawafahamu na wanafahamika sana, hizi dataz ni zako sio za kutoka huko kwenye kamati na unapoteza muda wako bure tu even though ninajua kuwa una muda mwingi sana wa mchezo, lakini unahangaika bure! Kama Mama Kilango is too good kuuza madawa ya kulevya ni upuuuzi usio na mfano! kama wazazi wenu ni mafisadi na mmeshiriki kula hela zao za kifisadi poleni sana lakini sio wote ni lazima ni mafisadi, unahangaika bure tu mkuu!
- Hizi dataz ni zako wewe tu mkuu wala hazina anything to do na huko Dodoma!
FMEs!
"Pole sana mnaoangaika na mambo haya, mimi mpaka sasa sijui niko chama gani, mwaka huu nimetaka kukata kadi mpaka nimeshindwa kuwa niingie chama gani hivyo nimeacha mpaka miaka mitani mingine sioni chama chochote, alafu uzuri ni kwamba haininyimi usingizi wala hainipi chakula wala kupeleka watoto wangu shule, nilicho nacho ni kadi ya ukriso ya kubatizwa"
- At this time and moment we are all fools!
FMEs!
dah Mkuu nilikuacha kule uendelee na mipasho yako naona umeamua kuileta na huku tena,kaazi kweli Mkuu
Sasa wewe kama nani wa kutuamulia hapa kwamba hii habari ni ya uongo Mkuu?Wacha watu walete waliyoyaona au kusikia halafu sisi wenyewe tutachuja mashudu na mafuta safi ya kutumia Mkuu!
the underlined word is much more concerned thereon... basi wananchi wote wa Tanzania tuliowachagua kutawala for he last 47 years tunakuwa kama wao CCM, yaani wachafu 100%.
FMEs!
Kama ulichagua CCM basi na wewe umo vinginevyo usiwe na wasi wasi,Mkuu yupo sahihi hapo juu.Hata mimi nimo humo?.
Mkuu nilikuwa nimelala usingizi lakini hapa umenikuna kidogo.
Hivi nikuulize, wewe na Mwalimu nani anamjuwa Malecela vizuri...pengine ww zaidi...japo umeingia kwa mlango wa nyuma kaika nyumba ya watu...Mwalimu alikosea kumwita Malecela muhuni...si neno zuri kwa tabia yake hiyo wakati huo...kuna neno lilimfaa zaid lakini zama zile gojwa hatari halikuwa maarufu sana,nakumbuka alipokuwa balozi Uingereza...wanafunzi wa Kitanzania pale walikuwa wakiziona vurugu zake...na kelele zilikuwa hazishi...
Mkuu, kumbe Mwalimu alikuwa kiuwembe enhee...tupe basi ushahidi alijirusha na nani...hii haihitaji DNA kama ya Mama Sophia...kumbuka wewe ni Mzee wa facts na unaongea facts tu...prove your self, eti Nyerere alijirusha na nani...?
siku hizi kanisa ni kama ccm. kama hautoi zaka na haushiriki kanisani basi kanisa halikutambui na hata ukifa/ukifiwa kanisa linagoma kuja kukusalia.
Hivi huyu Mengi kwanini anasumbuka na hawa wendawazimu?
- Unahangika bure ndugu yangu, ila hapa JF sio mahali pa wajinga ndio maana tutazidi kukusaidia kuelewa kwamba unapoteza muda bure! Angalau umekubali kuwa ni wewe unayehangika!
FMEs!
- Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar ni Guninita, kibaraka wa Lowassa, sasa Mzee Mengi anategemea nini kutoka kwa hawa wendawazimu?
I mean huyu katibu atakuwa ametumwa na nani? Mkulu Koba ubarikiwe!
Respect.
FMEs!
What kind of relevance are you asking for...ni wewe uliosema kuwa ...si Malecela tu hata Mwalimu nayeye wanawake alikuwa nao...kumbuka ulitaka kututajia mpaka majina ya wanaume aliozaa nao Mama Sophia...na ukajinata kuwa una facts za kutosha kuthibitisha...ithibitishie JF hapa, wanawake wa Mwalim Nyerere walikuwa nani na nani...najuwa facts unazo tu...vinginevyo utakuwa umezulia Mzee wa watu(RIP)...na kumvunjia heshima wakati amesharejea kwa Mungu wake...hawezi kuja hapa kujitetea...au hana watoto humu JF, kama Malecela na kilango, wa kumtetea...utakuwa hujamtendea haki hata kidogo,ili nisikuone mwongo na kuanza ku doubts kashfa zako kwa Mama Sophia...thibitisha hapa hao wanawake aliokuwa nao Mwalim...be honest and just kwa Baba wa taifa.- Irrelevant to the topic at hand!
FMEs!