Nimeingia lini CCM?kwani wewe mkuu umetoka lini ccm?
Nataka mama simba, kilango,malecela na ccm yao watupishe tumewachoka...waondoke wakatibu wazimu wao huko mbele ya safari wasiwaongezee stress watanzania.inaonekana kama hutajibu hili swali. Labda nibadili swali - unataka mama simba aende mirembe kupimwa akili kabla hajarudi toka dodoma au apimwe zanzibar kama alivyoshauri kibunango?
Mhe. Kikwete akikaa kimya katika hili basi kuna kasoro kubwa katika serikali yake. So far hakuna baya as he tried kuweka sawa mfumo wa sheria.
Nimeingia lini CCM?
Nataka mama simba, kilango,malecela na ccm yao watupishe tumewachoka...waondoke wakatibu wazimu wao huko mbele ya safari wasiwaongezee stress watanzania.
Mjini wapi, mogadishu au kabul?
- Waziri wa ofisi yako anapoambiwa ana kichaa, maana yake ni kubwa sana, sasa ni wakati wa Rais na Sophia kuchukua ushahidi walionao na kuwafikisha kwenye sheria, Mzee na mkewe Mama Kilango na kuthibitisha kwamba Sophia waziri wake sio kichaa, au? Ingekwua mimi ndiye Rais, by saa hizi Mama na mzee wangekua Segerea tayari maana ningechukua ushahidi alionao na kuwarundika mara moja, waziri wangu hawezi kuwa kichaa anapofanya kazi yake yaani ya taifa, unless otherwise!
- Hapa the burden ipo kwa Rais na waziri wake wa Takukuru, ndio maana ninasema hii ngoma sasa inaogile nasubiri kuona miwsho wake! Hivi Kikwete yupo au amesafiri?
Respect.
FMEs!
Noted, for future reference, lkn nina kila sababu kuwa atasema kitu, na kumwajibisha Simba!Mkuu Kibunango,
Unategemea JK aseme kitu kwenye hayo? Ninaweza ku-bet ... hutasikia akitia neno. Na kwa sasa hali inavyokwenda ndivyo mambo yanavyozidi kwenda vibaya, katika mambo yote ambayo JK hawezi kusahau katika maisha yake ni jinsi wanamtandao wanavyompelekesha puta katika uongozi wake. Anajuta kuwa mwanamtandao!
Mkuu,unasahau ww...ile sera ya kulindana lindana...hayaji hayo...watu wametoa tu madukuduku yao...na wengine imewakuta vibaya mpaka wanapiga kelele"...heee,saa hizi...tokea siku zote hizo...",haya yatakwisha tu usijali Mkuu,kama ilivyokwisha ile ya Richmond,Kiwira na meremeta,posho mbili n.k karibu itakuwa shwari nafikiri umemsikia Cpt.Chiligati akihojiwa na BBC leo ni ushahidi tosha kuwa makelele haya ni usanii wa kizazi kipya cha mafisadi wa CCM na na "ilkuwa ni utambulisho wa track mpya tu ili ile ya Richmond na posho mbili ipotee"- Waziri wa ofisi yako anapoambiwa ana kichaa, maana yake ni kubwa sana, sasa ni wakati wa Rais na Sophia kuchukua ushahidi walionao na kuwafikisha kwenye sheria, Mzee na mkewe Mama Kilango na kuthibitisha kwamba Sophia waziri wake sio kichaa, au? Ingekwua mimi ndiye Rais, by saa hizi Mama na mzee wangekua Segerea tayari maana ningechukua ushahidi alionao na kuwarundika mara moja, waziri wangu hawezi kuwa kichaa anapofanya kazi yake yaani ya taifa, unless otherwise!
- Hapa the burden ipo kwa Rais na waziri wake wa Takukuru, ndio maana ninasema hii ngoma sasa inaogile nasubiri kuona miwsho wake! Hivi Kikwete yupo au amesafiri?
Respect.
FMEs!
Mogadishu kwa Mfuga Mbwa! kwi! kwi! kwi!
Mogadishu kwa Mfuga Mbwa! kwi! kwi! kwi!
Malecela,Kilango,Mengi na wenzao mbona hawajajibu madai ya mama Simba badala yake wanatoa matusi tu, na wajibu basi naona Mume anamsukumia Mke na Mke hivyohivyo, wajibu hoja si matusi...UKWELI UNAUMA ENHEE!!!
suck up!Kwa nini wajibu utumbo. In fact approach waliochukua ni safi sana.. na ndio maana waliotarajia kuwa wataanza kutoa maelezo wameshushuka.. lengo lao halijafanikiwa. na mama K ndio nakupa heko zaidi .. uliyosema yanatosha.. endelea na kazi yako ya kuwaletea kiwanda wananchi wa Same. You dont need Sophia Simba to approve you ... by the way una award yako safi toka US why waste time proving yourself to Sophia Simba? Na walitaka wakuingize kwenye mtego wa kuanza kujitetea na mtego huo umeuruka ... sasa ndio kelele hizi za ooh jibu jibu .. usijibu chochote.... you dont have to prove yourself to anybody
suck up!
Heshima yako mzee wa masauti ya umeme!- Yaaani kichaa amesema ukichaa wake, halafu mtu mwingine aje clean kwa sababu ya maneno ya yule yule kichaa?
- Kwa hiyo una maana ni kweli Mwakalinga alipewa Millioni 40 na Lowassa? Sasa Mwakalinga asipochukua hatua kama unazozisema ina maana kwamba hizi tuhuma uchwara ni za kweli?
- Utaamini aliyosema kichaa? Kweli Kyela kuna kazi sana. Aliyoyasema mzee yanatosha sana, maana huwezi poteza muda na kichaa! Na ni vyejma kwamba Mama K, ameligundua hilo na kukataa kwenda njia ya vichaa! maana wenye akili tungepata taabu sana kujua kichaa ni nani hasa!
Respect.
FMEs!
CCM ndo mlivyo hamtaki kuambiwa ukweli mkiambiwa ukweli mnaanza kuzusha vitu vya ajabu ajabu...huenda bado nina mashaka na jibu la Malecela...labda anazeeka vibaya kama nayy...si sawa na mam simba kwa fikra zake.
Sikonge,Solomoni kanifurahisha sana,watu wanasema Sofia ni mtoto wa mjini! Kwa hiyo akiwa wa mjini ndio watu wasiseme lol! Ni kwa jinsi anavyomwaga maneno huyu Bi dada Sofia ni sawa na kumwagiwa maji ya ukoko kwa Mfuga mbwa!Mogadishu kuna wafuga mbwa tena? Te te teeee!!! Au ndiyo hizi za kule vichochoroni ambapo ukipita ovyo, unaweza kumwagiwa maji ya ukoko......
Check PM.
Solomon,utawakimbiza watu humu,mie simo! ha! ha! ha!kwi kwi kwi,
yule mfuga mbwa siku hizi kaanza kufuga nguruwe pia. Habari ndiyo hiyo