Ninaamini yale tunayoyafanya huwa yanaonyesha sisi ni kina nani.Huyu mama sidhani kama ni kiongozi.Anaaibisha waliompa huo wadhifa maana ni mropokaji, mgomvi, mtukanaji etc. Kitu kibaya anabehave as if she is Invisible kama alivyo Robot wa JF!!!
Hii wizara anayoiongoza ni wizara nyeti mno na tupende tusipende inabeba mzigo mzito wa direction ya Taifa letu.Sasa kama amekaa mtu ambaye anafikiria kutafuta umbeya tu tutarajie nini?
Hatuko hapa tulipo kwa bahati mbaya.Tumejifikisha na kwa bahati mbaya badala ya kutumia nguvu zetu kusonga mbele tunapigana vikumbo wenyewe kwa wenyewe!Tunayo nafasi ya kujirekebisha na kusonga mbele kwa kuachana na watu wasio na sifa za kuwa viongozi!!
Lazima Mzee Mengi amechanganyikiwa. Hii taarifa haina maana yeyote kwani Watanzania wanajua kuwa yeye ni CCM na hata mwaka 1995 TV yake iliweka mikanda ya mauaji ya Rwanda na kuwaambia watanzania kuwa wapinzani wataleta vita.
Amefanya kosa kubwa sana kujitetea kwa habari za magazeti wakati yaliyozungumzwa ndani ya kikao cha wabunge ni ya ndani na hata hayo magazeti hayatoi sources na kuandika kwa mujibu 'mtoa habari wetu'. Anawachingea wabunge wake ndani ya bunge.
Kama hakuna anachotaka kisiasa, basi hii ni press conference mbovu kuliko zote ambazo Mengi amefanya maana haina maana yeyote kwake na hata kwa chama chake cha CCM.
Mwisho, ana mamlaka gani ya kusema Waziri Simba kabla ya kuongea kwenye vikao vya CCM awasiliane kwanza na Idara ya Usalama?
Too low and ridiculous. Iacheni CCM ivunjike! Why holding it? Mengi acha siasa kwa wanasiasa. Fanya biashara na tumia fedha zako kusaidia mabadiliko ya nchi na sio kurutubisha mizizi ya CCM.
I am not suprised with your comment at all.. You are entitled to your opinion. Ni hii ndio typical mind zetu za Miafrica... tunashindwa kuona beyond money, na ndio maana tutaendelea kuwa used na mitumwa kwenye our own landsWhen and how? Did i miss the memo? when did that happen?
You have to start reading all the JF topics kuhusu mengi + IPP media.. Now that is your job, isnt mine...By the way, what is wrong with that? what is wrong with wanting to make changes?
I never said there is something wrong with wanting changes, ila you can not pretending doing something for community wakati unajinufaisa mwenyewe
There only shame i see here is your language skills. It would have been easier for you to use the language you know best - swahili.
well, Good for you, you can identify all the spelling mistakes and yah I am proud with any language I write and speak. You are typical those people (its better you finish this statement urself)
Bado hujasema makosa ya Mengi hapa ni yapi exactly zaidi ya name calling.
Well i can summarize that for you! if you cant analyse them, then pole..
Kwa matumizi yako ya lugha ya kingereza, unajionyesha usivyo na authority kabisa ya kusahihisha kilichofanywa na mengi kuhusu communication. Labda ungetumia pia muda kujifunza vizuri lugha unayojaribu kutumia. Haaaa so fun, try hard next time. I have other things to learn than language... wee jamaa naona ni typical another... tulionao TZ... what is the problem someone to use English on their comments? hauelewi? No, kama uelewi mbona umenijibu? So what is the problem here? Help me to understand
Kama watu kama wewe wakimuona Mengi kuwa hana brain at all, basi Mengi yuko fine tu.
I am not suprised with your comment at all.. You are entitled to your opinion. Ni hii ndio typical mind zetu za Miafrica... tunashindwa kuona beyond money, na ndio maana tutaendelea kuwa used na mitumwa kwenye our own lands
Kuna tetesi, JK kwenye baraza jipya la mawaziri huenda Sophia Simba akachukua nafasi ya Pinda kwenye Uwaziri Mkuu!
Na wewe Zitto usiwe unakurupuka , amempa ushauri kuwa awe anawasiliana na idara .. labda kwa ajili ya kupata taarifa sahihi.. mf asingeweza kusema mengi sio mwanachama wa CCm kamam angekuwa na taarifa sahihi. Pia kwa kiongozi kama wewe uwe unachagua maneno...... unapenda sana sanan kuwaita watu wajinga........
lakini mimi naona huyu mzee anamis-use media zake!anaentertain public quarrels!
hahahahahahahaha, alafu atapitishwa na bunge la spika Sita au la spika gani?Kuna tetesi, JK kwenye baraza jipya la mawaziri huenda Sophia Simba akachukua nafasi ya Pinda kwenye Uwaziri Mkuu!
hahahahahahahaha, alafu atapitishwa na bunge la spika Sita au la spika gani?
As you are very well Future-Tanzania.
Umeweka opinion zako, nami nikaweka zangu. Nimekupa tu ushauri kutumia lugha unayoielewa vizuri (ya kiswahili) maana ulikuwa unachinja lugha ya wengine.
Hayo ya kuishi beyond money ni maoni yako ambayo hayahusiano na uwezo wangu binafsi wa kifedha au kazi ninayoifanya kujiingizia kipato.
Mkuu huu mtizamo wako una mashaka. umetumia kipimo gani kufikia hili hitimisho? simply kwa sababu hukubaliani naye kwa alichokisema? Surely, you can do better than this. Cant you?
Masanja,
So what is your problem for me to use English? you couldn't understand? if u couldnt how did u manage to answer me back?
About money, yah that is very true. You will never never hear in USA or UK businessmen/women are so much into politics kama TZ na africa! why kwasababu wananchi wako open minded..sio kama sisi.
Mengi anatake publicity kwa kupretend kusaidia wanyonge na watu kama mimi na wee we cant be critical analyser to see that!!! If he really want to change Tanzania why cant he make his mind to separate politics and his business?
Why? And why should he use his money power to make ministers life harder?
Wee niambie ministers wangapi wamengombana na mengi? Na kwanini? Na kama sio angekuwa na kiburi cha hela na back up ya Mafisadi angetoa hii speech kweli?
SD maybe you should start to analyse things in bright day and outside ushabiki. Mimi nilikuwa mshabiki sana wa mengi until today and I dont think I will have anyone to change my mind.
Binafsi nilianza kumpuuza Mengi yapata miaka 10 sasa. Na tokea wakati huo niliachana na vyombo vyake vya habari nikabakiza gazeti la the Gurdian tu maana huko kusutana hakukuwa vile. Mengi huyu amewahi kuwa chanzo cha migogoro si tu kati yake na baadhi ya watu mmoja mmoja bali pia hata makundi. Na hii ndio huonyesha yeye ni mtu wa aina gani. Ajabu ni kwamba wengi ndio wanagundua uwezo wa huyu mtu. Mengi amefanya vibaya kupupia siasa kwa kuvizia. Huyu bwana ni undercover kwenye politics. Ni mtu ambaye anauma na kupulizia. Anaelezea uanachama wake CCM lakini upo uwezekano pia ni mfadhili wa vyama vingine vya siasa. Hoja ya kutamka yeye ni CCM wkt huu ilikuwa haina mantiki. Kwa kujitangaza yeye ni CCM anateka kutueleza amechemsha kwenye vita vya ufisadi na amejinasua rasmi kwenye ngozi ya kondoo ya upinzani. Namtazama Mengi kama mtu mnafiki asiye mkweli na anayependa popularity na finally aonewe huruma. Anataka watu waanze maskini Mengi kaonewa!!! Mengi anafahamika vyema na yeye km mwanachama wa ufisadi, na kutoaminika kwake. Ni mjanja wa kuongea na kuonyesha sympathy ya kinafiki.
Lakini pia ni vyema kuitazama CCM kwa macho yoote. CCM sasa ingekuwa ni nguo basi ingekuwa ni nguo kuukuu au iliyojaa viraka. Maana ni chama chenye watu wa kila aina. Wao pia wanatakiwa wajipambanue hasa wanamalengo gani na wananchi wa Tanzania ingawa sasa hivi imeshakuwa ni late kwao.
Kwa mtazamo wangu, muda si mrefu kuna watu watafukuzwa chamani na wakinusurika basi hawatarudi tena bungeni.
Kwa ujumla mzunguko wa yoote haya ni;
Siasa kuchanganywa na biashara (Mengi, Rostam et al.)
Siasa+Biashara+ Umiliki wa vyombo vya habari( na hili ndio tatizo maana !!!!
Masanja, That is my opinion, na my arguments here ni kwamba mengi anapata wapi kiburi cha kuweka PC speeach kama hiyo? na je kama kila mtu anayesaidia chama akiwa na power ya kumake maisha ya ministers harder je tutafika kupata yaho maendeleo ambayo Mengi amekuwa akijifanya kuyaleta Tanzania?