- Thread starter
- #61
asante sana bossAll the Best
asante sana bossAll the Best
kwa mafundi wa furniture mkuuu...Mkuu mpya kabisa zinauzwa wapi bei naona readonable
hahahah nimecheka sana aiseeeKuna mtoto wa mama mkwe ukimleta humo hatatoka Tena ata semitilela ivute🤣😆
mkuu hii inaoshwa hata wino..ni just kitambaa na unyevu nyevu tu kama tumaji kiasi...ila hata ukisugua na brush hapo hapo hata lolilowe vipi ...unafuta na kukalia muda huohuoKwa sisi wenye watoto hiyo rangi itakuwa daftari nzuri.
asante mkuuKila la kheri
Mambo ya kutiana au mambo gani mkuu?Linafaa kweli kwa mambo yetu yale
mkuu una umri gani?Chukua laki 1
Nakomenti ili uuze mkuu.hii sofa ni balaa
inanesa nesa tu ina spring
yaan bado ina hata karatasi kwenye hizo gold
ni full white lether afu ngumu
ni L shaped na ina sehemu za kuchajia simu
bei yake mpya kabisa ni 650000 au 700000
mimi hii nimeitumia karibia mwezi mmoja tu
utaipata kwa 500,000
mahari
Dar es salaam
Piga simu
0683473391View attachment 3412452
nakuona mkuu..asante sana aiseeNakomenti ili uuze mkuu.
Poa mkuunakuona mkuu..asante sana aisee
ipo mkuuImeuzwa au bado Ipo