INAUZWA Sofa (L-shape) imetumika mwezi mmoja tu inauzwa

INAUZWA Sofa (L-shape) imetumika mwezi mmoja tu inauzwa

Kwa mnaolalamika rangi siku hizi kuna cover unavalisha rangi unayotaka na simple tu haizidi 35,000/=

Muuzaji na wewe fahamu tofauti ya "mahari na mahali"
 
Tarime linaweza kufika vipi
tukishakubaliana..nalifunga nakutumia vizuri mkuu

au kama una ndugu au jamaa hako huku unaeza mtuma akaja kuangalia kuhakikisha afu yeye ndo akalichukua akakutumia
 
hii sofa ni balaa
inanesa nesa tu ina spring

yaan bado ina hata karatasi kwenye hizo gold

ni full white lether afu ngumu

ni L shaped na ina sehemu za kuchajia simu

bei yake mpya kabisa ni 650000 au 700000

mimi hii nimeitumia karibia mwezi mmoja tu
utaipata kwa 500,000

mahari
Dar es salaam

Piga simu
0683473391View attachment 3412452
Watu wa JF mnaishi pazuri
 
Back
Top Bottom