sofa

A couch, also known as a sofa, settee, futon, or chesterfield (see Etymology below), is a piece of furniture for seating two or three people. It is commonly found in the form of a bench, with upholstered armrests, and often fitted with springs and tailored cushions. Although a couch is used primarily for seating, it may be used for sleeping. In homes, couches are normally put in the family room, living room, den or lounge. They are sometimes also found in non-residential settings such as hotels, lobbies of commercial offices, waiting rooms, and bars.

View More On Wikipedia.org
 1. Meneja Wa Makampuni

  Tenda: Tunatafuta fundi wa Kutengeneza mashelf ya kisasa, meza ya kisasa, na sofa ya kisasa kwaajili ya dukani kwa bei rafiki

  Habari wakuu, Bright and Genius Editors tunatangaza tenda yenye pesa nzuri. Tunatafuta fundi wa Kutengeneza mashelf ya kisasa, meza ya kisasa moja, na sofa kwaajili ya dukani kwa bei rafiki. Ni kwaajili ya dukani. Tunakaribisha maombi kwa njia ya Whatasapp: 0747744895
 2. 90sgeneration

  INAUZWA Amazing L Sofaset for sale

  Sofaset L shape, iko poa sana Price: 350k (bila cofee table) Contact: 0697224996 Location: Victoria
 3. njipema furniture

  INAUZWA Sofa set 7 seaters, 3:2:1:1

  Full fiber & spring Bei tsh 2.1m Ipo Tayari (kulipia na kubeba) Location; Keko Chang’ombe Road, Dar es salaam Wasiliana nasi kwa 0759086992
 4. K

  Sofa Shampoo zinauzwa

  Kwanini uingie gharama ya kubadili kitambaa Cha sofa zako? Jipatie sofa shampoo ambayo inaosha sofa kwa kutumia povu tuu, na ndani ya dk 45 tuu, sofa zako zinarudi na kuwa mpya kabisa, bei zetu ni kuanzia elf 25000, tupo Sinza-Dar kwa mawasiliano zaidi tupigie 0744466202.
 5. Walt white

  Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

  Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wamiaka 24 kwasasa, elimu yangu ni kidato cha nne ambapo nilifaulu vizuri ila nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kutosikia vizuri. Baada ya kumaliza shule mwakav2015, kuanzia 2017 nilianza rasmi kujifunza kutengeneza sofa...
 6. cold water

  Naomba msaada wa kunichagulia sofa zuri kati ya izi

  Naomba kunichagulia sofa nzuri nataka kununua,na kama una lako zuri zaidi,naomba utume picha kama nitalipenda nitapeleka order kwa fundi. Kingine naomba kuuliza kama miguu ya sofa hizi inadumu? Nina wasiwasi na kuharibika miguu yake, yaani iyo miguu ya sofa. Nasoma comments zenu..... Asante.
 7. Lexus SUV

  INAUZWA Bed sofa ya chuma inauzwa, ipo Moshi Mjini

  Bed sofa ya chuma 5kwa6. Bei nafuu kabisa 250,000 rangi hiyo... Mawasiliano. 0672701329....au.....0756294771.... Asanteee.... Wako katika biashara mtandao...
 8. Lexus SUV

  Karibu GCC company limited, watengenezaji wa bidhaa zinazotokana na mbao

  GCC COMPANY LIMITED ..DEALS WITH FURNITURES AND BED SOFA and more...... MAKING-TUPO , KCMC MAPIPA ROAD MOSHI-KILIMANJARO. Huduma zetu : 1. Kutengeneza makabati ya nguo (dress table included) , showcase za TV , kitchen cabinet , pallet , valvet , bed sofa , BED BOX , SOFA za kukalia , Na...
 9. Sky Eclat

  Kila kitabu na zama zake, corner sofa ndiyo habari ya mjini leo.

  Corner sofa ndiyo habari ya town, ukiongeza na flat screen ukutani na TV table ya mstatiri. Uzuri wa corner sofa mgeni anaweza kulala mpaka asubuhi omba tu asiwe kikojozi. Kwa kweli ni mfuko tu lakini corner sofa ya ngozi inapendeza na inadumu kwa muda mrefu. Ukiwa na ukuta mweupe blue...
 10. LA7

  Ni kitanda gani kizuri; mbao, chuma au sofa?

  Ni kitanda gani kizuri na sifa zake nikanunue Hatimaye kama nilivyonuia kwamba mwezi wa tisa hautaisha bila kuwa na kitanda ni karibia mwaka Sasa mimi na mama mtoto wangu tunatupa godoro yetu chini asanteni Wote mlionipa matumaini tokea siku ya kwanza nilipolalia mabox MUNGU ASIFIWEEEE
 11. Ester505

  Watengenezaji sofa msaada

  Heshima kwenu. Naomba kujua kuhusu mbao zinazotumika kutengenezea sofa. Je ni mbao ngumu au Kuna aina nyingine???
 12. Nyuki Mdogo

  Dar - Mbezi Msuguri; Nauza Friji kubwa na ya kisasa (brand samsung) na SOFA nzuri sana (Leather sofa)

  Hello ladies and gentlemen hizi hapa mali safi kabisa Friji iko mwake mwake kama unavyoiona.. Bei 750,000 Tuwasiliane Mbezi kwa Msuguri
 13. K

  INAUZWA Sofa set fior sale in Tanga

  Price 850000/= call 0787103846. Bargaining room for serious buyers ipo.
 14. collinswilliam63

  Msaada wa vitambaa vya sofa

  Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa wapi naweza pata vitambaa vizuri vya sofa vinavyodumu kwa muda mrefu na bei yake. Nitashukuru sana kwa msaada wenu. Ahsante
 15. Sky Eclat

  Sofa bed ya mbao

  Sofa bed inafaa sana pale hali ya uchumi inapokuwa na changamoto na unalazimika kupanga chumba kimoja. Unaamka asubuhi unaangalia vitu vyote unavyomiliki. Kuna kitanda, jiko, ndoo ya kuogea na ndoo ya maji ya kupikia. Kuna wale wanaosoma mchana anahitaji kuwa na meza ya kusomea na wengine...
 16. A

  INAUZWA Sofa used zinauzwa

  Sofa used zinauzwa bei Tsh 200,000 kwa zote mbili. Zipo Mbezi kwa Musuguri Dar es salaam. Mazungumzo yapo. Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kupitia namba 0762890123.
 17. Jestinar

  INAUZWA Sofa bed inauzwa

  NAUZA SOFA BED HALI NZURI SIZE 5 KWA 6 KIPO BAGAMOYO ZINGA BEI 200,000/= CALL 0624257466
Back
Top Bottom