INAUZWA Sofa (L-shape) imetumika mwezi mmoja tu inauzwa

INAUZWA Sofa (L-shape) imetumika mwezi mmoja tu inauzwa

Acheni uoga kasema sio kitambaa ni Yale material hata mchuzi ukimwagika unachukua kitambaa unafuta.
 
hii sofa ni balaa
inanesa nesa tu ina spring

yaan bado ina hata karatasi kwenye hizo gold

ni full white lether afu ngumu

ni L shaped na ina sehemu za kuchajia simu

bei yake mpya kabisa ni 650000 au 700000

mimi hii nimeitumia karibia mwezi mmoja tu
utaipata kwa 500,000

mahari
Dar es salaam

Piga simu
0683473391View attachment 3412452
Hii picture ni ile siku ya kwanza ulipoinunua, tunaomba picture baada ya matumizi ya huo mwezi mmoja aise.
 
IMG-20250721-WA0031.jpg
IMG-20250721-WA0030.jpg

hizo picha nimezipiga jana kuna mteja nilikuwa namtumia........huo ndo ukweli mkuu
 
hii sofa ni balaa
inanesa nesa tu ina spring

yaan bado ina hata karatasi kwenye hizo gold

ni full white lether afu ngumu

ni L shaped na ina sehemu za kuchajia simu

bei yake mpya kabisa ni 650000 au 700000

mimi hii nimeitumia karibia mwezi mmoja tu
utaipata kwa 500,000

mahari
Dar es salaam

Piga simu
0683473391View attachment 3412452
Na matundu ya chupa za 'wine' nimeyaona, sehemu ya kuchajia ile pale, kochi zuri!
Nina 'wanne' siwezi kuongea?
 
Back
Top Bottom