Social Networking/Mitandao ya ki-Jamii...

Social Networking/Mitandao ya ki-Jamii...

Unakuta Ma X,either wa boyfnd wako au mume ndo wanatawala kwa wall yake,wana comment picha kimapenz kama zaman walivyokuwa,na mvulana au mume mpumbavu ana enjoy tu kwa kufurahia,mtu kama huyo umwache kwa list ya friend zako ili uumie,tena utakuta hata rafiki zako wanakuuliza,hivi mtu fulan boywako kweli au galwako?Maana mbona mmliki yupo anaonekana live kwa facebook?.Mtu kama huyo hutakiwi kumwacha,utazidi kuumia tu.Bora nimblock aendelee na awapendao zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...kwahiyo unam block na maisha yenu yanaendelea as if 'ya ngoswe mwachie ngoswe' nje ya mitandao ya kijamii, au ndio vurugu mechi za maisha zinaanzia hapa pia?

...kumbuka, ukiamua kum block lakini ukaendelea kusikiliza marafiki zako wanavyosema, utakuwa hujatatua bado. Si ni bora ujionee mwenyewe uchanganye na zako, kwani wewe ndio unayemjua mtu wako kuliko hao "Moral Police" aka wapiga debe?
 
i see, hayo mambo ya ku-add spouses au boy/gal friends kwenye facebook au kuwafollow kwenye twitter etc ni kutafuta ugonjwa wa moyo; afadhali udeal tu na ndugu, marafiki, celebrities, public figures etc
 
...hahaha,....nadhani hili ni suluhisho aiseee, halafu epuka 'kusikilizia' partner/spouse wako kaandika/kaandikiwa nini mtandaoni!
 
...kwahiyo unam block na maisha yenu yanaendelea as if 'ya ngoswe mwachie ngoswe' nje ya mitandao ya kijamii, au ndio vurugu mechi za maisha zinaanzia hapa pia?

...kumbuka, ukiamua kum block lakini ukaendelea kusikiliza marafiki zako wanavyosema, utakuwa hujatatua bado. Si ni bora ujionee mwenyewe uchanganye na zako, kwani wewe ndio unayemjua mtu wako kuliko hao "Moral Police" aka wapiga debe?

Nini kujiumiza roho mkuu,kama kwa wall anaonyesha live,kwa phone and inbox wanafanya nini mkuu.Bora ufunguke mapema..Muulize,pata jibu,block,utapata mwaminifu,coz kuna other gals or boys hawawez kuact kama anampenz kwa mtandao.KUENDELEA KUWA WAPENZI NI MAJAALIWA MKUU.KAMA MUME AU MKE HAPO VITAJULIKANA MBIVU NA MBICHI.LAKINI BOYFRND AU GALFRIND.AM SORY TO SAY THAT NIKIMKUBLOCK NDO BYE BYE.MAANA HUWEKI HESHIMA YANGU PIA YAKO MBELE YA JAMII.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
KUNA Statiaon flan mara nyingi ipo kwa dstv,TB JOSHUA.ALIELEZEA SANA WADHARA YA FACEBOOK.NA VIJANA KAMA 50 WALITOA USHUHUDA WAO WA ADHARI WALIZO ZIPATA KUPITIA FB na mitandao mingine.Mwingine alisema pindi anapochat na mwanamke,anamjia usiku na kuanza kufanya nae mapenzi.kijana huyu alikuwa na 33years,hajaoa hana msichana,ni kila usiku kulala na mapepo ya intanet.Pia wasichana nao hivyo hivyo,kijana aliechat nae kwa mtandao,analala nae usiku.Si vijana tu,pia wanandoa waliadhirika sana..Vijana wakiume kama 8 walisema hawakuwa na hamu ya kuwa na gals,coz wanasatisfaiwa at nite na picha za wasichana waliowaona mitandaoni.Waliombewa,walipona,gals waliolewa,boys wakaoa,wanandoa wakawa na aman nyumban kwao.Account zao ziliombewa,zikafungwa..mpaka leo hii ni ushuhuda tu wanatoa baada ya maombezi.JARIBUN KUANGALIA THAT STATION.ITS HELPS,NA REAL PEOPLE WALIOAFFECTIWA NA FB WAKITOA testimony zao.inaitwa TB Joshua.(THE CHURCH OF ALL NATIONS).Hiyo station.kwa dstv,au hata net u can watch them.
 
Unakuta Ma X,either wa boyfnd wako au mume ndo wanatawala kwa wall yake,wana comment picha kimapenz kama zaman walivyokuwa,na mvulana au mume mpumbavu ana enjoy tu kwa kufurahia,mtu kama huyo umwache kwa list ya friend zako ili uumie,tena utakuta hata rafiki zako wanakuuliza,hivi mtu fulan boywako kweli au galwako?Maana mbona mmliki yupo anaonekana live kwa facebook?.Mtu kama huyo hutakiwi kumwacha,utazidi kuumia tu.Bora nimblock aendelee na awapendao zaidi.

Unafikiri anawapenda basi,ni tamaa za mwili tu kutaka kila mwanamke awe wake.Sikatai,kumblock,au kumtoa kwa fnd list yako haisaidii.Pata ushahidi kutoka kwake,akisita sita ujue huyo anakucheat,all in all,mwanaume either mume au mke anayemuheshimu mpenz wake hawezi kufurahia mambo kama hayo,na unakuta anaendeleza urafik na wao unaowaita maX,Kwa kuchat now kwa inbox,atawatagia picha.Ukiona hayo yote,jitoe mapema,huyo hakufai.
 
Moskwito, kuna mkaka tunafahamiana anabeba boksi mashariki ya mbali, updates za ndoa yake zote nazipatia facebook. mkewe pia ni friend wangu. Nikiona status a mamaa, nikiangalia mshkaji alichoandika najua this time ni cheating, housework ama money issues. Hivi hata diary zamani zile tulikuwa tunaandika kila kitu ama a few outrageous stuff? Kuwaweza wenye kusema checked in at Bilila serengeti lodge, kuna rafiki yangu kaamua awe ana-check in at bafuni, chooni, kitandani, jikoni, ofisini hahaha! FB is one funny place!
Tukiangalia upande wa faida twaweza jikuta unausoma na kuujua udhaifu wa mwenzako pitia facebook...
picha anazoweka, comments zake kutokana na moods, marafiki zake wapya na wazamani,....nk[/COLOR][/SIZE][/FONT]
 
...hahaha,....nadhani hili ni suluhisho aiseee, halafu epuka 'kusikilizia' partner/spouse wako kaandika/kaandikiwa nini mtandaoni!
Aah wapi sio kirahi hivo aisee Mbu...
Mimi huwa niko naive sana na mtu wa kuignore lakini hata sasa siachi 'kusikiliza' au kusoma kilichoandikwa juu ya mtu wangu
Ila hapo kitakacho matter ni responce yake, maana siwezi muhukumu kwa yanayoandikwa juu yake as he has no control over that...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
.....hahahahaa, RR.....majuzi nilikuwa nasikiliza kesi ya facebook baina ya mtu na mkewe, kisa kwanini jamaa
kampa 'like' mkewe alipobadilisha status toka married to complicated!
Duh from Married to complicated?? wakati bado wako pamoja? hii kali mie na ushamba wangu nilikuwa najua complicated inaapply pale tu mnapokuwa mmetengana bado kudirvoce au kurudiana!!

mbu mimi kwenye haya madude kusema ukweli si mtaalamu kivile au niseme sijui kuyatumia kivile. Fb najua kuna kuapload picha na kucommment kule ambako kunaonekana na kila mtu hayo mambo ya tag, sijui poke hata siyajui
nadhani kuna haja ya kujiupdate na haya mambo, it seems namiss mengi sana aisee.
 
Usiwe na shaka, tuko wengi!!

Hivi watu wanapata wapi muda wa kuzingusha macho mitandao yote...Yaani umalizane na MMU, halafu uchungulie Siasa, Chit chat na JF photos, then ukimbilie FB, twitter and kwingine...Huo muda utapata wapi?? Kazi zingine je? Na muda wa kupiga story na wapenzi wetu je??

Mie nitabaki hapa hapa JF na huko kwingine watanisamehe!!

Babu DC!!
 
Wengi walioko JF wanadai kama wewe kuwa hawako Facebook wala Twitter. Pitia threads zote zinazolinganisha JF na Facebook utakuta wengine mpaka wanauliza facebook ndio nini. Ina maana kweli watu kama hawa hawaijui Facebook? Kuna mtu ambaye anaitumia JF lakini hajawahi kusikia mtandao unaoitwa Facebook?

Je, kwa upande wako Unajiepusha vipi au, ...nini msimamo wako unapokumbana na comments za ajabu ajabu kwenye profile page ya mwenza wako, iwe ni kwenye wall, picha (incl tags), 'Questionable' friends au hata likes na private mails anazotoa na yeye anazopokea? how far can you tolerate each other,...au 'unakufa' na tai yako shingoni?

Kwanza kabisa inabidi tukubali kuwa wa kulaumiwa hapa sio hiyo mitandao bali watumiaji wake. Hili ni muhimu sana. Kuna watu wanatengeza pesa nzuri sana Facebook na ukiwaambia kuwa huo mtandao unaharibu mahusiano ya kimapenzi sijui kama watakuelewa. Pia wapo wengine watakuambia kuwa Facebook imewasadia kupata wachumba, mume/mke, nk.

Kwa hiyo, madhara ya Facebook yanategemea na mtumiaji mwenyewe. Nina uhakika wakati teknologia ya simu za mikononi ilipoingia, watu pia walikuwa wanalalamika kuwa mobile phones zinaharibu mahusiano. The same was wakati teknologia ya barua pepe ilivyoingia. Kama Facebook, Twitter, nk, isingekuwepo bado watu wangeendelea kulalamikia mobile phones kwa kuharibu mahusiano.

Kama Facebook inavyoweza kuharibu mahusiano kati ya wanasiasa na wananchi, pia inaweza kuharibu mahusiano ya kimapenzi. It all go down kwa mtumiaji mwenyewe. In deed, wanasheria wa nchi zilizoendelea siku hizi wana-rely sana kwenye ushahidi kutoka Facebook kwenye kesi za divorce. Lakini kwa upande wa Tanzania, ni watu wangapi wanatumia Facebook, let alone internet mpaka zivunje mahusiano? Last time I checked number ilikuwa ndogo sana. Na wengi wanaotumia hiyo mitandao hawako kwenye mahusiano.

Watu tunaweza kuilamu Fecebook kwa kuvunja mahusiano, lakini tuwe wakweli. Is Facebook really the root cause of relationship breakdown? Sio kwamba, tunajaribu kuyakimbia matatizo badala ya kuya-face na ku-deal nayo? Bado naamini Facebook ni means of communication whether you're breaking up or just getting together. Naamini Facebook ni njia tuu ya mawasiliano kama ilivyokuwa barua, na sasa ilivyo simu and emails. If you face (not facebook) and treat (not tweet) your problems, sidhani kama Facebook or Twitter will be a threat to your relationship.

Face your problems don't Facebook them.
Treat your issues don't Tweet them.
Your social network may be online, but your troubles don't have to be!
 
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kumbwa sana la vijana wa kike na wakiume kujitokeza kutafuta wapenzi ama wachumba kwenye mitandao ya kijamii jambo ambalo mimi linanifanya nipate maswali mengi sa, Moja ni kwamba kuna ufanisi gani katika suala hili? je, ni kweli kwamba wapo wanaofanikiwa kupata wachumba au wapenzi kupitia mitandao hii au ni kwamba tu watu wanaiga wafanyavyo wengine? je, mila na destri za africa na dunia kwa ujumla zinatuelekeza nn ktk suala hili? Wanajamii wenzangu lbda mimi nakosea naomba kufahamishwa ukweli wa jambo hili.....
 
wa kenye mitandao ya jamii ndio hao hao tunao pishana nao mitaani huko...so hamna shida wewe kama wataka tafuta endelea
 
Kumekuwa na migogoro mingi kwenye mahusiano ya mapenzi inayosababishwa na mitandao ya kijamii ikiwemo Facebook na Jamii Forums. Lakini pia mitandao hii imesaidia kuunganisha watu na kujenga mahusiano ambayo yameendelea na kuwa ndoa. Lakini kumekuwa na maelezo tofauti tofauti juu ya umuhimu au madhara ya mitandao ya kijamii (Social Networks/Media) kwenye mahusiano.

Je unafikiria nini juu ya uzuri au ubaya wa mitandao hii kwenye mahusiano?
 
Kwangu mimi social network ni mbaya 100% hayo ni maoni yangu mimi na mimi tu
 
Mitandao haina ubaya wowote

Kibaya ni tabia za hao watu
Mbona kuachana kulikuwapo tangia enzi za mababu??
 
Back
Top Bottom