Snitch ndiye mtu hatari zaidi🙌

Mimi sinywi na yeye hanywi kbs, mwishoni alianza kuvaa hijab. Kwa hiyo tutakuwa wakavu km samaki wa kukaushwa na moto.Tunakula nyama na Pepsi huku tunakataana. Atajuta hataamini km sikamkaribisha home.
Wakavu kama samaki wa kukaushwa
Una mpango gani na mbavu zangu 🤣🤣
 
Bado mnaendekeza ushost na wanawake tu? Hamkomi

Mi wanawake wenzangu nishawakatia laini zamani Sana,wivu roho mbaya, husda, uchawi...wanini mimi aku!

Wanaume wako poa sana,hata michongo ya hela asee ndo wananivuta na kunipa ramani
Shida ya wanaume ni papuchi lazima aombe umnyime akukunjie, au umpe biashara ziishie kitandani, dunia uwanja wa fujo
 
Binadamu anabqdilika muda wowote usiweke matarajio au imani kubwa sana, mi mwenyewe saiv nimebadilika baada ya maswahibu mengi nimejifunza kuwa snitch tu, nikipata nafasi ya kuharibu naharibu huku nakuchekea,
 
Nashukuru Mungu unafiki huwa siuwezi kama sikukubali utajua tu, kwetu huwa wananisema sana juu ya kupuuza huwa silembi! Sijui kumnafikia mtu ukizingua nakuchana!
yan mm nilikuaga kimbelembele sana kumwamini mtu wa karibu, baada ya kupigwa matukio kadhaa nikajifunza kutake risk kama anayebetia liverpool saiv😥, yan mtu mnafk %kubwa nd wenye wivu, waongo, wachoyo.......... !
 
yan mm nilikuaga kimbelembele sana kumwamini mtu wa karibu, baada ya kupigwa matukio kadhaa nikajifunza kutake risk kama anayebetia liverpool saiv😥, yan mtu mnafk %kubwa nd wenye wivu, waongo, wachoyo.......... !
Hawana tofauti sana na mchawi
 
You have a good heart, but you're trading that to vampires. Pole sana, angalia mtu sahihi, anaye kichallenge na asiye kupaka mafuta. People are users
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…