Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 881
Again, swali ni serikali yetu iko willing kumtafuta huyo mtu?
Mhmm it sounds like uzushi but the way ulivyoi-present Mzee inamfanya mtu ajifikirie zaidi ya mara mbili. I think Rostam can do but Ngombare? and why killing Mwakyembe? kazi yake juu ya Richmond si ilishakwisha?
Sasa hili ni onyo kwa kila mtu including JF members usikubali mtu akusalimie akiwa amevaa gloves, tena asikuguse popote. Mungu iponye Tanzania.
Mwanzoni yes lakini ikaonekana anafanya kazi nzuri sana za kuwakeep bize baadhi ya watu so ile option ya Bologna ikawekwa kwenye tray.
la hasha serikali iko bize na kushughulikia ufisadi na bad news left and right
Again i repeat hakuna ambaye anashindikana kama serikali inaamua kutumia resorces zake ...bear that in mind.Hata bin Laden wangemtaka wangepata ndio itakuwa huyo anayesema eto hakuna mwenye habari zake!
serikali haina uwezo wa kutrace simu za wireless na kuweza kugundua wahalifu walioko nyuma yake kwenye matukio mbalimbali. Hawana uwezo huo.
serikali haina uwezo wa kutrace simu za wireless na kuweza kugundua wahalifu walioko nyuma yake kwenye matukio mbalimbali. Hawana uwezo huo.
are you sure? ndio maana unasema ID yako haiwezi kujulikana?
mjomba serikali inayo sana uwezo huo....the issue iliyopo in hand je inataka kufanya hivyo?
mjomba serikali ikikutaka itakupata tuu hata ujifiche wapi. Huwezi kuwaambia wanajeshi wa share resources na jeshi la polisi wakati kila mmoja ana bajeti yake
unless unataka kuongelea vyombo vya usalama kushare intelligence repots lakini si rahisi kama unavyofikiria kwani for obvious reasons vyombo hivi dunia nzima havipendi kushashare au kuingiliana kikazi
GT, usome basi mtu anachoandika.... don't infer kitu ambacho sijasema. Itakusaidia sana ku focus.
siku za nyuma ulishawahi kusema kuwa hakuna anayweza kujua ID yako. Hilo uslikatae
serikali haina uwezo wa kutrace simu za wireless na kuweza kugundua wahalifu walioko nyuma yake kwenye matukio mbalimbali. Hawana uwezo huo.
Unamaanisha serikali ya Tanzania au serikali kwa ujumla popote pale duniani?
Hoja kubwa hapa ni je, kuna kusalimika kama kuna vitisho vya aina hii? Je, vyombo vya dola vinafuatilia? Kama vina uwezo ama havina ni changamoto lakini si wakati wa kuanza kunyooshena vidole ama kutishana. Mfano hata ukinijua utanifanya nini wakati mimi si mhalifu. Mimi si kama Nape maana hatuwanii uongozi UVCCM kwamba kutakata jina langu
siku za nyuma ulishawahi kusema kuwa hakuna anayweza kujua ID yako. Hilo uslikatae
sijawahi, kwani siishi katika nchi ya kufikirika. Anayetaka kunijua ananijua kama vile anayetaka kukujua wewe anaweza kukujua. Au unadhani wewe hujulikani?
I think you dared him to reveal you ID a while ago....you gave him 24hrs or some' like that and he wasn't able to......memba that?
No sir... never did that... memory friends.. memory...