SMS hizi! Ungefanyaje?

WACHAGA NAO HAWAISHI VIOJA!!!!!!!!!!!!!!!!!



Jamani, Mzee mmoja wa kichagga tajiri kwa jina la MDAWA alipata ajali mbaya sana ya gari. Alipoteza fahamu na kupelekwa KCMC huku matumaini ya kupona yakiwa yametoweka kabisa. Kutokana na juhudi za madaktari (pengine na Mungu wake) aliweza kupata fahamu baada ya
wiki tatu. Muda wote huo familia yake ilikuwa iko karibu naye kusubiri litakalotokea. Mkewe na watoto wake watatu waliruhusiwa kuwa naye pale ICU (Intensive Care Unit) kwa zamu.

Basi baada ya kupata fahamu nesi aliyekuwa anamhudumia alimwambia;

NESI: Baba pole sana


MZEE MDAWA: Unanipa pole kwani nini kimetokea?

NESI: Baba ulipata ajali mbaya sana ya gari wiki tatu zilizopita.


MZEE MDAWA: Kweli, Kari yangu itakuwa imepona?

NESI: Hapana imeharibika kabisa Baba.


MZEE MDAWA: Hai jamani FII EKIS (VX) yangu. Niliinunua
kwa bei kubwa mno. Sasa nitapata wapi nyingine...aaaiiii aaaaaaiii aaaaaiiii!

NESI: Baba usilie, hilo mbona ni kidogo? Unajua mkono wako wa kushoto umekatika kabisa?


MZEE MDAWA: Mkono wa kushoto? Umekatika? Ule mkono niliovaa ile saa yangu ya bei mbaya? Yaani saa yangu nayo imekwenda? Aaaiiii....aiiii...aiiiii, jamani saa yangu.


NESI: Baba acha kulia, utaumia zaidi


MZEE MDAWA: Hapana mwanangu, kama kari yangu na saa fyote fimekwenda kwa nini roho isiniume? Hifyo fitu ni fya bei mbaya sana ati...


NESI: Baba tulia, familia yako iko hapa wanataka kukupa pole.

MZEE MDAWA: Iko hapa ee? Mama Sikola, uko hapa?

MAMA: Ndiyo mume wangu, siwesi kukuacha mwenyewe.Pole sana mpenzi. Tunamshukuru Mungu sasa unaongea. Yesu asifiwe sana!


MZEE MDAWA: Sawa, Kodilafu uko hapa?

GODLOVE: Ndiyo Mzee, siwezi kukuacha mwenyewe katika hali hii. Pole sana Baba.


MZEE:Sikola, na wewe uko hapa?

SKOLA: Ndiyo Baba, hatuthubutu kukaa mbali na wewe ukiwa katika hali hii baba. Ni hali ya kutisha sana.


MZEE: Na huyu kitinda mimba wangu Ferenaisi, yuko hapa?

Verynice: Niko hapa baba, nyumba yote iko hapa kukupa pole.


MZEE: Basi nyie wote hamna akili hata mmoja. Yaani Mmekuja wote hapa, dukani kabaki nani leo? Yaani munanona kari yangu ni hiyo imepika msinga tayari na saa yangu ya bei mbaya imepotea badala ya kukaa dukani wote munaongosana kuja huku KMCC. Nyie ni wajinga wa
mwisho kabisa!.
 
Kesi wa Marangu

Baada yakutoka kwenye ibada ya pasaka, Kessy alipita kwenye moja moto moja baridi. Pombe zikaanza kumpanda taratibu akaanza kukumbuka ibada sehemu ambapo Yesu anakaribia kukamatwa na kuteswa. Akaanza kuimba kwa sauti...

... Mateso yake Bwana wetu Yesu Kristu, Kama yalivyoandikwa na Luka...
...Wakati uke, Yesu alipokuwa na wafuasi wake, akasema...

Mara akawaona watu ambao sura zao hazieleweki wakiingia kwenye bar, wakiangalia huku na huku. Kessy akashituka, lakini baadae akaendela kuimba

Kessy: .... Mwamtafuuta naaaani...?

Wale watu wakadakia: ... Kessy wa Marangu...

Kessy wa Marangu akaona makubwa haya, akashindwa kuendelea kuimba kwa sababu maneno yaliyokuwa yanafuata yanatakiwa yawe ... Niii mimiiii....
 
Huyu Maasai atapona kweli?

Maasai mmoja alifikishwa mbele ya Pilato kujibu kesi inayomkabili kuwa ameiba ng'ombe. Ukafika muda wa kumuuliza maswali yule shahidi na kujitetea

Maasai: Wakati napanga kwenda kuiba, mama Yeyoo alikuwa anajua au alikuwa hajui?
Shahidi: Alikuwa hajui
Maasai: Amepata, hakimu andika hiyo.
Maasai: Wakati naenda kuiba nilikuwa nanyata au nilikuwa nakimbia?
Shahidi: Ulikuwa unanyata
Maasai: Amepata, hakimu andika hiyo.
Maasai: Wakati naingia kuiba nilipita mlango wa kulia au kushoto?
Shahidi: Kulia
Maasai: Amekosa, nilipitia mlango ya kushoto.

Maasai atapona huyu?
 
Mmakonde na Sadaka

Siku moja mmakonde aliingia kanisani na kusali. Baadae akaenda kwenye sanamu ya mama bikira Maria akaona kuna hela ambazo waumini walitoa sadaka

Mmakonde: Tapachali chana Mama, Naomba japo chilingi 2000 tu japo watoto nyumbani wakape chochote. Akachukua akaondoka.

Siku ya pili akarudia tena.

Siku ya tatu akarudi na kuomba tena.

Paroko: Acha hizo sadaka

Mmakonde akaangalia na asimuone Paroko, badala yake akawa ameiona Picha ya Yesu

Mmakonde: Chikiliza wewe, wewe ni ntoto ndogo chana. Mama yako mwenyewe ananiruhuchu kila chiku wewe unataka kujifanya kunikatacha
 
mtoto alimwona mwanae akiwa utupu akamuuliza mama hiyo nini,mamaye akamjibukopo la sukari.mtoto akasema ahaaa ndiomana jana usiku baba alikuwa analamba.kamawewe ungefanyaje.
 

hah hah hii kiboko
 

Ohooooo...
 

me namtarakisha 2.





Also nmecheka xaaana big boy..........
Nzur keep it up
 
Mambo ya Digital yanawachanganya watu hasa huu mwisho wa mwaka na kuingia 2013
Jamaa aliambiwa
Nackitika kukuambia kuwa Elimu yako uliyopata ipo kwenye mfumo wa Analogia so kufikia Decemba 31 ulivyosoma vyote vitafutika ili uwe kwenye DIGITAL tafadhali rudia chekechea.
 
Happy New Year,
Eid mbarak,
happy Mapinduzi day,
heri ya Maulid,
heri ya Muungano,
Mei Mosi njema,
heri ya Sabasaba,
heri ya Nanenane/
Karume day/
Nyerere Day/
Kawawa Day/
Mashujaa Day/Uhuru Day.
Merry x-mass
Happy Birthday to u! TUSISUMBUANE TENA 2013 maana huu ni wakati wa DIGITAL. Mwakani husomi sms mpaka king'amuzi bora nikutumie kabisa.
 
SWALI LINAULIZAWA KANISANI Ni kitu gani kimejificha ndani
PADRI
:- ,kauliza WAUMINI swali.
Ni kiungo gani cha mwili hupatkana ktk sehemu ilivojificha na kina wingi wa unyevunyevu,kinaweza kufanya ndoa iwe imara au kuyumba?
WAUMINI:- kimya huku wameinamisha VICHWA.
PADRE:- inukeni niwaonyeshe. Ni hiki.......akagusa ULIMI.
Mlifikiri nini? waone,mnawaza hayo tu!
 
Je wajua kuwa vitu vitamu huanza na herufi "K"?
Mfano keki, kiazi, kitumbua, kacholi, kalimati, kababu, kachumbari, karanga nk,
na hicho unachowaza wewe kichwani mwako ni kikubwa na kitamu zaidi ya vyote.
Sio kingine soma hapo chini
Najua hata ww unakijua.


"KUKU"

Alafu uache tabia ya kuwaza matusi Ww!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…