Padre na sister wakiwa safarini walikosa nyumba ya wageni wakapata chumba kimoja wakalala wote ila wakatenganisha kwa kuweka mto katikati,asubuhi na mapema wanatoka wanakuta geti limefungwa na hakuna mtu,
PADRE; Turuke ukuta!!
SISTER;Nyoooo!!umeshindwa kuruka mto uutaweza ukuta!!
Inaitwa hongo, wahongaji wanalijua hili watakuja kuleta na yale majina menginePESA INA MAJINA MENGI SANA
- Kwenye Ibada Sadaka /zaka
- Kwenye Misiba inaitwa Rambirambi
- Kwenye Mashuleni/ Vyuoni inaitwa ada /Karo
- Kwenye vyombo vya Usafiri inaitwa Nauli
- Kwenye kudai upendeleo Mahakamani au POLISI inaitwa Rushwa Hongo.
- Kwenye Kumdhamini Mtu Mahakamani au POLISI inaitwa Dhamana
- Kwenye Mapenzi pesa inayotolewa kununua / kulegeza / kulinda Penzi inaitwaje?
Jamani tuhurumie mbavu mbavu zangu!jamaa alchkua changudoa, sasa wakati wana**x demu akajamba, jamaa akamuuliza unataka kun*a? Dem akajibu, nakubeep u2mie line hii, hyo unayo2mia netwrk inasumbua! Teh teh teh
teheteheteheeeeMwanamke zuzu alikuwa na mchumba wake zuzu kama yeye, lakini mwishowe uhusiano ulivunjika.
sasa huyo jamaa alikuwa akimsumbua sana kumpigia na kumtumia sms na yule mwanamke kwa simu kila siku, mpaka huyu mwanamke akawa anachukia,mwisho akaamua abadilishe laini, alipotia laini ile mpya tu akamtumia sms yule jamaa kwa kumwambia
"sasa nishabadilisha namba hutonipata tena hasidi wewe"
...
nae yule jamaa zuzu akamjibu
"nitahakikisha naitafuta hio namba yako mpya, hata chini ya ardhi mpaka niipate."
Mke : kuna nini kwa jirani?
Mume. : itakuwa Birthday
Mke : ya nani?
Mume : Tuyuu
Mke : Tuyuu ndio nani?
Mume. : simui ila wanamwimbiaga Happy Birthday Tuyuu ....
nani mwenye makosa?
Mwanamke aliyelala na mumewe akawa anaota, ghafla akapiga makelele, "jifiche mume wangu kaja", au mumewe aliyesikia hivyo akanyakua nguo na kukimbia akidhani amelala na mke wa mtu? Nahitaji mawazo yako.