Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

Sio enzi zake samsung hanaga enzi usiaminishwe vinginevyo kwa swala la kioo hakuna anaemuwez samsung tukianzia kweny TV zake tu zina zaid ya miak 20 hazijapata mpinzan kweny kutengeneza kioo kizur ukija kweny sim hali kadhalika hao waliokuj wot kina pixel na wenzie nothing wote hawajaleta mapinduzi yoyote kwenye swala la teknolojia hawajaja na ubunifu wowot bora hata xiaomi kidog walivyoleta kuchaji simu kwa dakik 15 hii wametisha sana hiz ndiz teknolojia tunahitaji simu inakuja ubunifu ila kweny swala la kioo hakun kam amoled kinachoshangaz zaid hat simu zingin zikitumia amoled bad hazijafikia amoled ya samsung kwa ubora awali ni awali hawakufik hap leo kwa kubahatisha
Realme sasahivi simu zao unachaji kutoka 0% to 100% kwa chini ya dakika 10 kwa kutumia 240W charger, na wameweka features 60 tofauti tofauti ili tu kulinda betri lisiharibike kutokana na watts nyingi
Xiaomi Hypercharging Technology inakuja na features 34 tofauti tofauti kwa lengo hilohilo la kulinda betri la simu, kama Realme tu
Safari hii Mchina kwenye Fast Charging technology ameamua kwa kweli [emoji28][emoji28]
 
Acha mawazo ya miaka mitano nyuma , kwa sasa watu wengi wanatumia hizi Samsung za A series kwani bei yake ni kubwa lakini sio kubwa kama zile samsung series za zamani zilizokuwa more expensive.
Natamani tupate report ya mkoa kwa mkoa, ndio tuone hizo Samsung wapi zinatumika zaidi. Kama unasafiri mikoani, hata Dar maduka mengi ya simu yanauza Infinix na Tecno kwa smartphone.
 
Mbona Samsung naziona nyingi
Ukisema Infinix na TECNO maana yake umejumlisha brand mbili tofauti
 
Bila fitna za US kwa mchina leo tungekuwa na stori tofauti kabisa kuhusu Huawei
USA alikuwa na wivu tu
Nasikia baada ya kupiga ban simu za Huawei akaona Mchina mwingine anakua kwa kasi
USA iliishutumu Xiaomi kuwa inajihusisha na kushirikiana na makampuni ya kijeshi nchini China, ingawa Xiaomi alipinga mashitaka hayo, ila US waliiblacklist Xiaomi na kuzuia Wamarekani wasiinvest kwenye simu za Xiaomi, yaani hawaruhusiwi kuanzisha biashara inayohusisha uuzaji wa simu hizo nchini Marekani. Na wakati huo Xiaomi tayari imeshakuwa kampuni ya simu ya tatu kwa ukubwa duniani.
Baada ya muda US iliiondoa Xiaomi kwenye blacklist
USA wameifanyia fitina Huawei mwisho wa siku Huawei imeshajifia kwenye soko la simu
 
Natamani tupate report ya mkoa kwa mkoa, ndio tuone hizo Samsung wapi zinatumika zaidi. Kama unasafiri mikoani, hata Dar maduka mengi ya simu yanauza Infinix na Tecno kwa smartphone.
Huu utafiti utaumbuka boss bora utulie tu
 
Mbona China wana makampuni mengi yanafanya biashara na USA? Why Huawei pekee.?

Kuna Oppo, Xiaomi na ndugu zake wanafanya biashara USA na EU why Huawei?

Kampuni zinapigwa ban after a deep research na kujiridhisha.

Kwahiyo unataka kuniambia Tiktok nayo inaonewa wivu na USA?

Mbona kampuni za USA zimepigwa ban China? Inamaana China anaonea wivu kampuni za USA?

Usiongee kama Layman. Use your skull to Reason.
 
Sema mchinq nae sio mzembe naona wameamua nao kuwekeza kwenye chip ambako nadhani ndo mmarekani anamuumizia. Leo Huawei wana Harmony OS na Krin chip yenye 14nm. Japo hii chip ni ya nyuma sana ila mwisho wa siku watafika tu.
 
Kwahiyo kila bidhaa ya China ikitaka kuwazidi sokoni ndo wanagundua inahatarisha usalama wao?
 
Natamani tupate report ya mkoa kwa mkoa, ndio tuone hizo Samsung wapi zinatumika zaidi. Kama unasafiri mikoani, hata Dar maduka mengi ya simu yanauza Infinix na Tecno kwa smartphone.
Eeh bana eeh siku ukifika Mtwara pale stendi ya zamani zunguka nyuma huko wanapouza simu, kama ni jioni angalia chini hapo nje kwenye maduka, yaani tecno boxes, charter kama uchafu.

Haya kule kanda ya ziwa sasa utadhani kuna viwanda maeneo hayo.
 
Mbona China wana makampuni mengi yanafanya biashara na USA? Why Huawei pekee.?

Kuna Oppo, Xiaomi na ndugu zake wanafanya biashara USA na EU why Huawei?

Kampuni zinapigwa ban after a deep research na kujiridhisha.

Kwahiyo unataka kuniambia Tiktok nayo inaonewa wivu na USA?

Mbona kampuni za USA zimepigwa ban China? Inamaana China anaonea wivu kampuni za USA?

Usiongee kama Layman. Use your skull to Reason.
Punguza jazba mzee
Yaani unavyoandika utafikiri unachangia mada kwenye ugomvi. Stop overdisplaying your emotions on tech forums. I bet it's not a right place here
 
Sema mchinq nae sio mzembe naona wameamua nao kuwekeza kwenye chip ambako nadhani ndo mmarekani anamuumizia. Leo Huawei wana Harmony OS na Krin chip yenye 14nm. Japo hii chip ni ya nyuma sana ila mwisho wa siku watafika tu.
Harmony OS bado ina iOS inspiration ndani yake lakini wamejitahidi sana kwenye upande wa security.
Sasahivi waendelee kukazania hizo Kirin chipsets. Wanaweza kuja kutengeneza kitu unique na kikakubalika tena sokoni miaka ijayo. Natamani kuona Huawei inarudi sokoni
 
Mbona China wana makampuni mengi yanafanya biashara na USA? Why Huawei pekee.?

Kuna Oppo, Xiaomi na ndugu zake wanafanya biashara USA na EU why Huawei?

Kampuni zinapigwa ban after a deep research na kujiridhisha.

Kwahiyo unataka kuniambia Tiktok nayo inaonewa wivu na USA?

Mbona kampuni za USA zimepigwa ban China? Inamaana China anaonea wivu kampuni za USA?

Usiongee kama Layman. Use your skull to Reason.
Vizuri sana....
 
Issue ya ugomvi wa USA na Huawei Wala haikuwa kwenye smartphone ilikuwa political zaidi kwasababu ilionekana Huawei wamepiga hatua kubwa zaidi kwenye technology ya 5G kiasi Cha USA kuhisi Kuna stage watalazimika kutumia technology ya Huawei hata kwenye issue za kiserikali so figisu ikaanzia hapo. Baada ya Huawei kuweka ngumu kwa matakwa ya USA ndio nao wakaamua kuwakomoa kwa kuwawekea ban kwenye products zao including smartphones. Wakalazimisha na makampuni Yao kama kina Google, Meta na mengine kutofanya kazi na Huawei so anguko la Huawei kwenye smartphone likaanzia hapo ingawa immediately walianzisha OS Yao lakini Bado haijafanya vizuri. Kinachowabeba Huawei ni kwamba wana products nyingi, smartphones ni mojawapo tu na sio core business
Hii US ban iliumiza mioyo ya wengi sana
 
Hii US ban iliumiza mioyo ya wengi sana
Jamaa hapo moyo umemuuma vby sana xiaomi 13 pro hiy
NB: anaitwa Tim cook huyo ni CEO wa apple kwa wasiomfahamu
20230325_090838.jpg
 
Nadhani ni kwa kuwa Samsung ana teknolojia kubwa ya kutengeneza display kuliko makampuni ya Wachina, sijajua hasa main reason ni nini.
Ndio maana hata makampuni makubwa ya simu kama Apple na Xiaomi huagiza display kutoka kwa Samsung ili na wao wapate vitu bora zaidi kwenye simu zao.
Infinix Note 11 ina AMOLED display ambayo imetengenezwa na kampuni ya ajabu ajabu kutoka China, lakini kioo cha Redmi 10 ambacho ni LCD ni bora kuliko cha Infinix Note 11 ambacho ni AMOLED.
Nikisikiaga neno tecno, infinix najisikia vibaya, hizo sio simu jamani.
 
Samsung galaxy s2 ase ile kioo yake ni salute sana ilikuwa na kioo kitamu mno super amoled yan kukiwa na giza totoro afu mtu atumie ile simu kile kioo lazim ukubali kilikuwa kinavutia mno na camera yake ya nyuma ilikuwa megapixel 8 ila inagonga picha hakuna mfano
Watu wanaompambanisha samsung na wengine naonaga hawapo serious.
 
Alikua mkali wa enzi zake hata s3 nae alikua bomba sana ndio moja ya simu ulizoweza kuzi upgrade android os kwa kipindi kile
Samsung S4 akauza saaaana, ile display ya amoled ilikuwa ya moto.
 
Back
Top Bottom