Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

afu kuna simu inaitwa nothing phone naona inatangazwa sana hasa kweny soko la india na ulaya japo inatengenezwa england hii sim namuanzilish ni yule jamaa aliekuwa anamilik one plus nimeona amesem mwaka huu anatngenez sim ya ubora aa hali ya juu ya kushindana na samsung na apple kweny ubora ngoja tukae kwa kutulia tuone
Sasahivi kuna simu nyingi zinachuana na Samsung na Apple, unakuta Apple na Samsung hawajaziacha parefu hizi simu.
Sasa sijui Nothing Phone watakuja na nini kipya. Ngoja tuone
 
hata xiaomi anajitahid sana kuna jamaa mmoja nilimuona na xiaomi 11T pro nakumuazima niione nikaifanyia uchunguzi asee ile sim ni mashine yani ni tamu vbay mno iko faster kamera ni kinanda niliipenda kwakwel nikaona hiz xiaomi series kumbe ni mkasi
 
Xiaomi ni simu nzuri sana. Simu kama Xiaomi 12T Pro inauzwa TSh 1.2M in AliExpress, lakini unyama wake unashindana na simu ambazo ni more expensive, hadi milioni 2 huko.
Hii ndio kampuni pekee iliyoniteka ukitoa Samsung.
 
xiaomi nimekubal nitawajarib japo ninatak xiaomi series tu
 
Sasahivi kuna simu nyingi zinachuana na Samsung na Apple, unakuta Apple na Samsung hawajaziacha parefu hizi simu.
Sasa sijui Nothing Phone watakuja na nini kipya. Ngoja tuone

Wanachofeli watu wa kampuni nyingine hawana cha kuoffer zaidi.
Pixel kaja na camera kali ambayo hata hivyo sio kali sana kuzizidi hizo nyingine yeye kaboresha padogo tu ila mengine ni trash.
Ukishika iphone unaona kabisa ni simu ambayo imeamua kukupa kila kitu kwa ubora ambao utaufurahia,hakuna kubahatisha bahatisha,na kama utaona NO si IOS basi utazurula kwingi ila utakaposhika samsung utakubali kwamba hii ndio android ya mwisho.

Huawei aliweza hii category na alikuwa ameshamtoa samsung kwenye reli,alikiwa na UI yenye kueleweka na ambayo imepangiliwa,acha ubora wa camera na betry,kifupi alijua ashike wapi,akajichanganya na mambo yasiyo ya kibiashara ikala kwake mazima.
 
xiaomi nimekubal nitawajarib japo ninatak xiaomi series tu
Xiaomi Redmi K60 Pro - Full phone specifications
Yeah ni vyema kununua Xiaomi series lakini Redmi nazo sio za kuzichukulia poa. Gusa link uone specifications za Redmi K60 Pro, na inarekodi video za 8K, chipset yake ni Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2, Ina 1400nits OLED display na ukipata version ya 16GB RAM 512GB ROM ni vizuri sana. Angalia na bei pia, ni Euro 460, ingekuwa kampuni kama Sony hii simu ingeuzwa hata kwa Euro 900 au zaidi
 
Wanachofeli watu wa kampuni nyingine hawana cha kuoffer zaidi.
Pixel kaja na camera kali ambayo hata hivyo sio kali sana kuzizidi hizo nyingine yeye kaboresha padogo tu ila mengine ni trash.
Ukishika iphone unaona kabisa ni simu ambayo imeamua kukupa kila kitu kwa ubora ambao utaufurahia,hakuna kubahatisha bahatisha,na kama utaona NO si IOS basi utazurula kwingi ila utakaposhika samsung utakubali kwamba hii ndio android ya mwisho.

Huawei aliweza hii category na alikuwa ameshamtoa samsung kwenye reli,alikiwa na UI yenye kueleweka na ambayo imepangiliwa,acha ubora wa camera na betry,kifupi alijua ashike wapi,akajichanganya na mambo yasiyo ya kibiashara ikala kwake mazima.
Yeah ni kweli. Kampuni nyingi huwa hazina uspecial wa maana. Oppo ni Mchina ila simu zao ni bei sana cha ziada hakuna
 
Hizo unknown ndio wakina tekno na ndugu zake itel.
Tecno inatambulika kuna simu huko china hata jina lake ngumu kuliandika ila zinamoto balaa zina specification nzuri sana kuliko hao kina infinix tecno na itel na zingine huwez tumia nje ya china
 
Kwanini amoled ya samsung inakuwaga ya kibabe kuliko mchina?
Nadhani ni kwa kuwa Samsung ana teknolojia kubwa ya kutengeneza display kuliko makampuni ya Wachina, sijajua hasa main reason ni nini.
Ndio maana hata makampuni makubwa ya simu kama Apple na Xiaomi huagiza display kutoka kwa Samsung ili na wao wapate vitu bora zaidi kwenye simu zao.
Infinix Note 11 ina AMOLED display ambayo imetengenezwa na kampuni ya ajabu ajabu kutoka China, lakini kioo cha Redmi 10 ambacho ni LCD ni bora kuliko cha Infinix Note 11 ambacho ni AMOLED.
 
Sio s3 tu kulikua na samsung s2 kinu kilikubalika sana japo bei zake zilikua zimechangamka na samsung alitoa vitu bora toka mwanzo
Samsung galaxy s2 ase ile kioo yake ni salute sana ilikuwa na kioo kitamu mno super amoled yan kukiwa na giza totoro afu mtu atumie ile simu kile kioo lazim ukubali kilikuwa kinavutia mno na camera yake ya nyuma ilikuwa megapixel 8 ila inagonga picha hakuna mfano
 
Hawa nothing najua hawatakuwa na jipya mambo ni yake yale yaliyofanywa na wenzie akin one plus motorola na pixel bado sion ka wakitoboa hata kweny soko
 
Samsung galaxy s2 ase ile kioo yake ni salute sana ilikuwa na kioo kitamu mno super amoled yan kukiwa na giza totoro afu mtu atumie ile simu kile kioo lazim ukubali kilikuwa kinavutia mno na camera yake ya nyuma ilikuwa megapixel 8 ila inagonga picha hakuna mfano
Alikua mkali wa enzi zake hata s3 nae alikua bomba sana ndio moja ya simu ulizoweza kuzi upgrade android os kwa kipindi kile
 
Sio enzi zake samsung hanaga enzi usiaminishwe vinginevyo kwa swala la kioo hakuna anaemuwez samsung tukianzia kweny TV zake tu zina zaid ya miak 20 hazijapata mpinzan kweny kutengeneza kioo kizur ukija kweny sim hali kadhalika hao waliokuj wot kina pixel na wenzie nothing wote hawajaleta mapinduz yoyot kweny swala la teknolojia hawajaja na ubunifu wowot bora hata xiaomi kidog walivyoleta kuchaji simu kwa dakik 15 hii wametisha sana hiz ndiz teknolojia tunahitaji simu inakuja ubunifu ila kweny swala la kioo hakun kam amoled kinachoshangaz zaid hat simu zingin zikitumia amoled bad hazijafikia amoled ya samsung kwa ubora awali ni awali hawakufik hap leo kwa kubahatisha
 
Ukiwa na watoto wa kuwapeleka shule, familia na wategemezi haubishani Apple wala Samsung, unatumia tu Kampuni unayoona inakufaa basi.
 
Mkuu mbn wew nakuonaga kweny ubishan wa wanawake weny makalio makubwa na flat screen kila mtu na kipaombele chake usiweke mawaz ya kimasikin sim nzur tutatumia na watt wataenda shule damn it!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom