Ha ha haUkiwa na watoto wa kuwapeleka shule, familia na wategemezi haubishani Apple wala Samsung, unatumia tu Kampuni unayoona inakufaa basi.
Ha ha haUkiwa na watoto wa kuwapeleka shule, familia na wategemezi haubishani Apple wala Samsung, unatumia tu Kampuni unayoona inakufaa basi.
Samsung ni moto mwingin ase hawakufik hapo kwa kubahatishaWatu wanaompambanisha samsung na wengine naonaga hawapo serious.
Kupenda vitu vizuri ni hobby ya mtu. Yeye mwenyewe hajaamua tu kuvimiliki.Mkuu mbn wew nakuonaga kweny ubishan wa wanawake weny makalio makubwa na flat screen kila mtu na kipaombele chake usiweke mawaz ya kimasikin sim nzur tutatumia na watt wataenda shule damn it!
Angekuwa vizuri kwanini asingeneza vyote vyake? Kwani hao US wao wamefanikiwa vipi hata wao washindwe kufika walipofika wenzie?Bila fitna za US kwa mchina leo tungekuwa na stori tofauti kabisa kuhusu Huawei
Hawa jamaa wanaiendesha dunia wanavyotaka.USA alikuwa na wivu tu
Nasikia baada ya kupiga ban simu za Huawei akaona Mchina mwingine anakua kwa kasi
USA iliishutumu Xiaomi kuwa inajihusisha na kushirikiana na makampuni ya kijeshi nchini China, ingawa Xiaomi alipinga mashitaka hayo, ila US waliiblacklist Xiaomi na kuzuia Wamarekani wasiinvest kwenye simu za Xiaomi, yaani hawaruhusiwi kuanzisha biashara inayohusisha uuzaji wa simu hizo nchini Marekani. Na wakati huo Xiaomi tayari imeshakuwa kampuni ya simu ya tatu kwa ukubwa duniani.
Baada ya muda US iliiondoa Xiaomi kwenye blacklist
USA wameifanyia fitina Huawei mwisho wa siku Huawei imeshajifia kwenye soko la simu
Na korea na japan umewawek wapi au umewachnganya na china?Pia mataifa yanayoongoza kwa technology duniani ni USA na China
6G technology inafanyiwa majaribio korea na hata 5g pia ilianza kufanyiwa majaribio uko uko kam sikoseiPia mataifa yanayoongoza kwa technology duniani ni USA na China
USA, China, Japan, South Korea, German na wenzake. Wote wapo vizuri kwenye tech.Na korea na japan umewawek wapi au umewachnganya na china?
Hawa motorola si walishafilisika hawaUSA, China, Japan, South Korea, German na wenzake. Wote wapo vizuri kwenye tech.
Upande wa simu, South Korea inategemea Samsung na Japan inamtegemea Sony. USA inategemea Apple na Google Pixel.
China wanategemea Xiaomi, Oppo, Vivo, One Plus, Motorola, Huawei n.k
Motorola ni kampuni ya Marekani. Baada ya kufilisika ikawauzia Lenovo part ya simu na simu za Motorola sasahivi zinatengenezwa China na kampuni ya Lenovo, sio Mmarekani tena.Hawa motorola si walishafilisika hawa
Niambie mifano wa hizo bidhaa.Kwahiyo kila bidhaa ya China ikitaka kuwazidi sokoni ndo wanagundua inahatarisha usalama wao?
Jibu hoja.Punguza jazba mzee
Yaani unavyoandika utafikiri unachangia mada kwenye ugomvi. Stop overdisplaying your emotions on tech forums. I bet it's not a right place here
China is just a manufacturing house..Yeah, ila kwenye utengenezaji wa simu Ulaya ipo nyuma sana ukilinganisha na USA na China
Wakina inifiniksi na wenzieHizo unknown ndio mfano zipi
Sawa sawa ila kupenya soko la marekan sio chips ase yani hapo ndipo napomuheshim samsung sana anashika nafas ya pili baad ya apple sio mchezoMotorola ni kampuni ya Marekani. Baada ya kufilisika ikawauzia Lenovo part ya simu na simu za Motorola sasahivi zinatengenezwa China na kampuni ya Lenovo, sio Mmarekani tena.
Motorola ndio simu za China zilizofanikiwa kuingia kwenye soko la Marekani na Canada kwa asilimia kubwa. Motorola za sasa zinatoka China na wanatengeneza simu nzuri sana zinazowashangaza wengi kwa bei zao za chini.
Angalia hii ni Motorola Edge 30 Ultra (Motorola X30 Pro in China) na AliExpress inauzwa around 1,300,000/=
Pia simu za Motorola zina software nzuri sana. Wamechukua Stock Android wakaiongezea features nyingi za Motorola wenyewe na imekuwa na mwonekano mzuri zaidi kuliko ile boring look ya Stock Android ya Google Pixel.
Angalia, hii ni simu yao ya pili kwa ubora. Inaitwa Motorola Edge 30 Ultra au kwa China inaitwa Motorola X30 Pro View attachment 2564692View attachment 2564693View attachment 2564694View attachment 2564695
Ifike mahala samsung apewe heshima yakeSawa sawa ila kupenya soko la marekan sio chips ase yani hapo ndipo napomuheshim samsung sana anashika nafas ya pili baad ya apple sio mchezo