Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,601
- 15,524
- Thread starter
- #41
Nilichogundua ni kwamba kuna different UI's with different tastes for different people with different mindsets.Kwa sasa simu yenye best UI ni samsung ikifatiwa na [emoji520]
UI ni suala la kuchagua tu, kila mtu ana taste yake, kwa tunaopenda customization tunajua UI gani inatufaa, wanaopenda simplicity wanajua ipi inawafaa na wewe umeshajua ipi inakufaa.
Ukikosea ukachagua UI ambayo sio taste yako aisee utaboeka sana na utatukana hizo simu mwanzo mwisho. Kwangu binafsi ninapenda zaidi MIUI kuliko UI zote hasa MIUI 12 kwenda juu kwa sababu ya features nyingi na customization. One UI inafuatia. iOS ukitoa mwonekano wake haijawahi kunivutia.
Hivyohivyo kwa wengine, nao wana UI zao walizozielewa