Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

Angekuwa na mauzo mengi sawa.
Lakini US ban haiwezi kuaffect ubora wa bidhaa za Huawei, zaidi imeaffect soko lake kutokana na kukosa Google na kupigwa ban USA.
Huawei bado inaendelea kutengeneza simu lakini simu zake za sasa hazifai kuwekwa kwenye competition na bigger brands. Tukiongelea devices na kuweka kando mambo ya siasa, kwa sasa Huawei hastahili sifa. Ngoja Xiaomi aendelee kuwanyoosha China
Kafirisika, bila mauzo hakuna pesa ya research wala crativity, chip za kirin hatengenezi tena sasa hata huko china ataanza puuzwa ajifie sokoni
 
Hawezi kufa kwa China, labda itachukua muda mrefu mpaka kufa.
Huawei ndio simu zinazoongoza kutumiwa nchini China. Kwa sasa hizo simu zinawafaa Wachina tu huku global tunasaka brand nyingine
 
Us sio size yake, angegombana na wachina wenzie na bora angefatisha masharti ya us ili apone vikwazo
Duh... Huawei sasa anatumia Operating System yake ni nzuri na imefuata iOS inspiration.
Ingawa ninatamani sana Huawei arudi sokoni. China inawafundisha wazungu kuwa kutengeneza bidhaa bora kwa bei rahisi inawezekana.
Bila US ban hata kwenye mauzo huyo Apple angepitia wakati mgumu sana kushika namba moja.
 
huawei ni simu nzur sana ila sidhan kam angewez kutunishiana misuli na samsung na iphone sion kabisa angeshika shika tu soko visehem fulan ila likija kweny swala la mauzo kwa pamoja sidhan kam angemtikisa samsung jaman hiz brand hazijafika hapo kwa kubahatisha ukwel usemwe
 
Kama wasingefanyiwa figisu Huawei angekuwa namba 1 duniani, atakaebisha hilo ujue hajawahi tumia device zao
Issue ya ugomvi wa USA na Huawei Wala haikuwa kwenye smartphone ilikuwa political zaidi kwasababu ilionekana Huawei wamepiga hatua kubwa zaidi kwenye technology ya 5G kiasi Cha USA kuhisi Kuna stage watalazimika kutumia technology ya Huawei hata kwenye issue za kiserikali so figisu ikaanzia hapo. Baada ya Huawei kuweka ngumu kwa matakwa ya USA ndio nao wakaamua kuwakomoa kwa kuwawekea ban kwenye products zao including smartphones. Wakalazimisha na makampuni Yao kama kina Google, Meta na mengine kutofanya kazi na Huawei so anguko la Huawei kwenye smartphone likaanzia hapo ingawa immediately walianzisha OS Yao lakini Bado haijafanya vizuri. Kinachowabeba Huawei ni kwamba wana products nyingi, smartphones ni mojawapo tu na sio core business
 
Duh... Huawei sasa anatumia Operating System yake ni nzuri na imefuata iOS inspiration.
Ingawa ninatamani sana Huawei arudi sokoni. China inawafundisha wazungu kuwa kutengeneza bidhaa bora kwa bei rahisi inawezekana.
Bila US ban hata kwenye mauzo huyo Apple angepitia wakati mgumu sana kushika namba moja.

Mkuu simu za bei rahisi za xiaomi hazitokani na lolote isipokuwa mwasisi aliamua ile kwake lakini atafute soko la bidhaa yake kwanza na si faida.

Linapokuja swala la ubora bei lazima iwe ni kisu cha kwenye moyo,hakuna namna.

Hata hawa huawei hawakuwahi kuuza simu zao kwa bei rahisi,sababu hawakufanya kama xiaomi,oppo ndio kabisaa simu zake zina bei kubwa kuliko inavyopaswa.
 
huawei ni simu nzur sana ila sidhan kam angewez kutunishiana misuli na samsung na iphone sion kabisa angeshika shika tu soko visehem fulan ila likija kweny swala la mauzo kwa pamoja sidhan kam angemtikisa samsung jaman hiz brand hazijafika hapo kwa kubahatisha ukwel usemwe
Mkuu kuna term mwaka 2021 kama sikosei, Xiaomi alimpindua Apple kwa mauzo na kushika nafasi ya pili dunia nzima kwa mauzo, huku Samsung akabaki namba 1. Ingawa Apple akarudi tena kwenye nafasi yake leo hii Xiaomi ni ya tatu duniani, Samsung ni ya pili.
Kama Xiaomi aliweza, unadhani kwa nini Huawei asingeweza?
 
Mkuu simu za bei rahisi za xiaomi hazitokani na lolote isipokuwa mwasisi aliamua ile kwake lakini atafute soko la bidhaa yake kwanza na si faida.

Linapokuja swala la ubora bei lazima iwe ni kisu cha kwenye moyo,hakuna namna.

Hata hawa huawei hawakuwahi kuuza simu zao kwa bei rahisi,sababu hawakufanya kama xiaomi,oppo ndio kabisaa simu zake zina bei kubwa kuliko inavyopaswa.
Xiaomi 13 Pro Global version ni very expensive barani Ulaya, lakini China ni bei rahisi sana.
Nadhani hata Huawei zilikuwa zinapatikana kwa bei rahisi kama ukinunua China.
Anyway, kipindi Huawei inatrend nilikuwa siifuatilii kabisa simu, sikuwa na interest nazo. Maybe I don't know the full story.

Ingawa kwa sasa Xiaomi anajitahidi kuweka bei zake za simu zisiwe mbali sana na manufacturing cost. Sijajua kwa Huawei ilikuwaje
 
sijakataa vyote vinawezekana ila consintence hawana hao watachukua hiz nafas kipind fulan ila baad ya hapo mmbo yatarud pale pale asikudanganye mtu kaka iphone na huy mkorea watabaki kupokezana vijiti hapo juu huo ndio ukweli nimefuatilia kwa kipind kirefu sana huu mchuan wa hawa watu wawil yani huawei alipata haueni kukaa nafas ya pili kwa kipind kifupi sanaa anywei time will tell ila kama nilivyoelez mwanzo hawa wandugu hawakufika hapo kwa kubahatisha kuna kaz ya ziad inabid ifanyike
 
Issue ya ugomvi wa USA na Huawei Wala haikuwa kwenye smartphone ilikuwa political zaidi kwasababu ilionekana Huawei wamepiga hatua kubwa zaidi kwenye technology ya 5G kiasi Cha USA kuhisi Kuna stage watalazimika kutumia technology ya Huawei hata kwenye issue za kiserikali so figisu ikaanzia hapo. Baada ya Huawei kuweka ngumu kwa matakwa ya USA ndio nao wakaamua kuwakomoa kwa kuwawekea ban kwenye products zao including smartphones. Wakalazimisha na makampuni Yao kama kina Google, Meta na mengine kutofanya kazi na Huawei so anguko la Huawei kwenye smartphone likaanzia hapo ingawa immediately walianzisha OS Yao lakini Bado haijafanya vizuri. Kinachowabeba Huawei ni kwamba wana products nyingi, smartphones ni mojawapo tu na sio core business
Ban ipo kwenye chip, sasa hizo device zote za huawei bila chip ataunda na nini?
 
Kwani chip za Huawei zenyewe hazikuwa strong. Huwa ninasikia tu kuhusu Kirin, sijawahi kujua ubora wake
 
Xiaomi 13 Pro Global version ni very expensive barani Ulaya, lakini China ni bei rahisi sana.
Nadhani hata Huawei zilikuwa zinapatikana kwa bei rahisi kama ukinunua China.
Anyway, kipindi Huawei inatrend nilikuwa siifuatilii kabisa simu, sikuwa na interest nazo. Maybe I don't know the full story.

Ingawa kwa sasa Xiaomi anajitahidi kuweka bei zake za simu zisiwe mbali sana na manufacturing cost. Sijajua kwa Huawei ilikuwaje

Big time samsung alikuwa anaachwa bei na huawei.

Mfano mzuri hata huawei fold ilikiwa inakaribia milioni 6 kipindi inatoka,wakati ua samsung ilikuwa haivuki 5.
 
Mkuu simu za bei rahisi za xiaomi hazitokani na lolote isipokuwa mwasisi aliamua ile kwake lakini atafute soko la bidhaa yake kwanza na si faida.

Linapokuja swala la ubora bei lazima iwe ni kisu cha kwenye moyo,hakuna namna.

Hata hawa huawei hawakuwahi kuuza simu zao kwa bei rahisi,sababu hawakufanya kama xiaomi,oppo ndio kabisaa simu zake zina bei kubwa kuliko inavyopaswa.
tena huawei sim zao zililuwa ghal mnooo ilikuwa inafikia kipind huawei p8 inakuwa ghali kulik samsung s5
 
Kwani chip za Huawei zenyewe hazikuwa strong. Huwa ninasikia tu kuhusu Kirin, sijawahi kujua ubora wake
Nilitumia kirin 4yrs, niliendelea kupata camera, speed, battery life kwa ubora ule ule kama nimeinunua jana, sijatumia simu nyingine bora kama ile
 
huawei ni moto hao jamaa nilifanikiwa kitumiag sim yao huawei p10 mwaka 2019 hapa kama sikosei asee camera ilikuwa jicho la mwewe touch yake ni laini mno cha kutisha zaidi ilikuwa hata uweke file gani inafungua haraka ase ile ililkuwa ni sim sijakaa vzr wakaj kutoa p20 baadae p30 nadhan ilikuwa sim tishio kwa 2019 kama kumbukumb zang ziko vzr lakin si kwamba samsung hawakutoa sim kali galaxy s10 nadhan had leo kuna sim inazisumbua juu ya ubora kuanzia perfomance had kamera hasa midrange na ndio sim iliuz zaid kwa kipind icho ukija kwa iphone alifeli huu mwaka alitoa iphone 11 hii simu haikuwa na ubora kabisa kulinganisha na zingin nadhan ndio toleo la iphon alikupokelewa vzr bora iphone X ila bado waliendelea kukaa kileleni pale kweny mauzo mbele ya huawei
 
sijakataa vyote vinawezekana ila consintence hawana hao watachukua hiz nafas kipind fulan ila baad ya hapo mmbo yatarud pale pale asikudanganye mtu kaka iphone na huy mkorea watabaki kupokezana vijiti hapo juu huo ndio ukweli nimefuatilia kwa kipind kirefu sana huu mchuan wa hawa watu wawil yani huawei alipata haueni kukaa nafas ya pili kwa kipind kifupi sanaa anywei time will tell ila kama nilivyoelez mwanzo hawa wandugu hawakufika hapo kwa kubahatisha kuna kaz ya ziad inabid ifanyike
Ni kweli unachosema, Apple na Samsung watakaa kwenye chat muda mrefu sana. Tayari kampuni zao zimeshapata jina, pia zina historia ndefu ndio maana simu zao ni bei na bado zinauza sana. LG alijaribu na yeye kuuza kwa bei kubwa akafilisika tu.
Ili kampuni nyingine tofauti na hizi mbili ziuze sana inapaswa waje na policy nyingine zitakazovutia wateja. Hata Xiaomi zinauza sana kwa sababu tu anauza simu zake kwa bei ndogo tofauti na wapinzani, la sivyo wasingetoboa ila bado ninawapongeza sana maana Xiaomi wameingia kwenye game miaka 13 tu iliyopita ila imeshakuwa smartphone brand ya tatu kwa ukubwa zaidi duniani
Samsung na Apple ni wakongwe, lazima wafurahie matunda yao sasa.
 
afu kuna simu inaitwa nothing phone naona inatangazwa sana hasa kweny soko la india na ulaya japo inatengenezwa england hii sim namuanzilish ni yule jamaa aliekuwa anamilik one plus nimeona amesem mwaka huu anatngenez sim ya ubora aa hali ya juu ya kushindana na samsung na apple kweny ubora ngoja tukae kwa kutulia tuone
 
Back
Top Bottom