Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

Nimeona apple ana market share kubwa afrika ila sizioni hizo apple
Huzioni hizo Apple Africa au Tanzania?
Anyway, iPhone 6 zote hizi zilizokuwa imported from Asia mbona zimejaa kila kona. Nakumbuka kuna thread ulisema macho matatu zimejaa kama yeboyebo. iPhone Africa zipo, tena nyingi sana Mpya+used
 
Hiyo ya Tanzania itafanya watu wasiamini takwimu zote
Huwezi niambia Samsung anamzidi tecno au infinix
Acha mawazo ya miaka mitano nyuma , kwa sasa watu wengi wanatumia hizi Samsung za A series kwani bei yake ni kubwa lakini sio kubwa kama zile samsung series za zamani zilizokuwa more expensive.
 
Huzioni hizo Apple Africa au Tanzania?
Anyway, iPhone 6 zote hizi zilizokuwa imported from Asia mbona zimejaa kila kona. Nakumbuka kuna thread ulisema macho matatu zimejaa kama yeboyebo. iPhone Africa zipo, tena nyingi sana Mpya+used
Sidhani kama zinatoboa kwa infinix na tecno.

Labda miaka mingine mitano au kumi.
 
Hata Mimi hizi takwimu Kwa Tz nimezitilia walakini, sijui source Yao ya taarifa ni ipi Ila naamini infinix na Tecno zina market kubwa Tanzania kuliko Samsung.TCRA ndio Wana taarifa sahihi zaidi.
Nadhani kuna tofauti kati ya idadi ya simu zilizoagizwa miaka ya karibuni Africa na simu zenye watumiaji wengi Africa au hata Tanzania. Hata J7 zilivyotrend, nazo ni Samsung pia, S6 Edge nazo na sasahivi hizi A series. Mpaka 2023 hii tayari Samsung ameshasambaa sana Tanzania
 
Afrika maduka ya tecno na infinix ni zaidi ya mara 20 ya iphone.

There is no way iphone awapiku hawa miamba miwili.
 
East, Central & West Africa accounts to arround 80% of African population.

Huko ndo umasikini uliotukuka ulipo na ndo Infinix na Tecno wanapouza sana.
Ume-combine Infinix na TECNO ambazo zote ni brand tofauti ila ni za kampuni moja ya Transsion. Ukizijumlisha Infinix, TECNO na itel unapata Transsion hapo ndio utapata idadi kubwa ya mauzo.
West+East+Central Africa hata kama inacontribute zaidi ya 80% ya population haina maana Infinix au Tecno ndio atakuwa anaongoza katika kila soko au nchi hizo.
Kwenye hizi data
Infinix imechukuliwa kama independent brand, na TECNO pia kivyake, so hazipaswi kuchanganywa
Apple nyingi hazipo tu hapa Tz, zimejaa nchi nyingi tu hata Morocco zipo za kutosha. Lakini mtu anayeishi Madagascar anaweza asikuelewe
Screenshot_20230228-091759~2.jpg
 
Back
Top Bottom