Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,563
- 5,369
Bahati mbaya huwezi kupata yote hayo ndani ya simu moja[emoji28][emoji28]
[emoji28] dah
Bahati mbaya huwezi kupata yote hayo ndani ya simu moja[emoji28][emoji28]
Chiomi kaporomoka aisee..... Samsung ataendelea kukimbiza soko kwa miaka mingi mbeleNdio kwanza quarter one of the year
Kuporomoka kimauzo kwenye nchi fulani, ni kitu ambacho karibia kila kampuni lazima ipitie
Wakati Xiaomi amepitwa kimauzo muhula wa kwanza nchini India lakini bado anaendelea kukua globally
Hizi takwimu za India. Xiaomi Indian version zinakuwa na hardware issues nyingi sana tofauti na ilivyo kwa Global version au Chinese version ambazo zipo poa, Nadhani Xiaomi Indian version waache kuzitengeneza, watumie tu Global version hata kwa India kuliko kuwatengenezea Wahindi simu zenye hardware issues
View attachment 2594252
PIA SOKO LA SMARTPHONES NCHINI INDIA LIMESHUKA KIUJUMLA. MWAKA HUU WAHINDI WAMEAGIZA SIMU CHACHE SANA UKILINGANISHA NA MIAKA MINGINE
Unyama sanaPhone reviews za Mr Whosetheboss zipo detailed Sana, huwa nazidownload na kuziangalia offline ili nizione katika high quality
Napenda Sana reviews zake View attachment 2612136