Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

Leo ninaleta brand za simu zenye market share kubwa zaidi duniani ili kukuruhusu kujua ni simu za kampuni gani zinauzwa au zinapendwa sana duniani . Bila kupoteza muda naanza

1. Duniani kiujumla View attachment 2531774

2. China View attachment 2531777

3. Australia View attachment 2531779

4. CanadaView attachment 2531781

5. MarekaniView attachment 2531783

6. Amerika ya KusiniView attachment 2531784

7. United Kingdom View attachment 2531785

8. India View attachment 2531786

9. AfrikaView attachment 2531787

10. UjerumaniView attachment 2531790

11. AsiaView attachment 2531791

12. UlayaView attachment 2531792
All in all nimefurahi kuona Xiaomi inauzwa sana duniani
Naaam, Xiaomi inafanya vema sana...naielewa nikiwa kama mtumishi mzuri wa simu zao.
 
China is just a manufacturing house..

Designing and specifications zinafanyika USA.

And manufacturing house is shifting now, from China to India.
Nilikuwa namaanisha hivi
Screenshot_20230325-124447~2.jpg
 
Jibu hoja.

I was trying to tell you to stop being a layman in serious discussions.

Huku sio facebook.
Sina neno
Ulishajibu kwenye hiyo comment yako ya juu ila nilishangaa kuona unaelekeza as if umekasirishwa.
Ikiwa una kitu unataka kushare ili wenzako wajue hiyo haikupi guarantee ya kuwajibu kwa ukali. Kuna watu wanajua mambo mengi ya Tech kuliko wewe hapa JF lakini kamwe hutowakuta wanatoa majibu ya kejeli kama yako
 
China is just a manufacturing house..

Designing and specifications zinafanyika USA.

And manufacturing house is shifting now, from China to India.
Again sijaelewa hapo kwenye designing and specifications.
Unamaanisha hadi makampuni ya simu ya China, simu zao zinakuwa designed USA?
Nadhani unaongelea Apple, Mimi naongelea simu kiujumla
 
Ifike mahala samsung apewe heshima yake
Kabisa mkuu yani ukiangalia hizo stats ni nchi moja tu ambayo ni china samsung hayupo top three ila nchi zote samsung kaleta upinzani tena mkubwa mno utamkuta either namba moja au mbili nimeangalia stats za south africa uko samsung anaongoza yani kapachafua vibay sana karib kipind chot walichotoa sim wakafuatiwa na huawei kwa south tu lakin naongelea nchi ambay kwa africa imeendelea zaidi
 
Ifike mahala samsung apewe heshima yake
Wapo walioangaik na soko hasa la marekani huawei sony oneplus ila hawakutoboa licha ya kwamb walitngeneza sim kali za ushindani ila bado waliishia kushika nafas za chini sanaa hata huyo pixel uko marekani ni kiazi tu
 
Ndio maana Xiaomi hataki kuinvest kwenye simu zake nchini Marekani na Canada, ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu
Huko Samsung na Apple zimeshapewa Attention na watumiaji
 
Wapenzi wa samsung wamekaa kimya kama hawajui, mbona hamzungumziii kuhusu fabrication ya Moonshoot kwa AI na kudanganya watumiaji.
 
Angekuwa vizuri kwanini asingeneza vyote vyake? Kwani hao US wao wamefanikiwa vipi hata wao washindwe kufika walipofika wenzie?
We unadhani ni rahisi kutengeneza kila kitu kwa dunia ya sasa? Kwa taarifa yako hata hiyo iPhone ina source parts karibu dunia nzima.
 
Attachments

Again sijaelewa hapo kwenye designing and specifications.
Unamaanisha hadi makampuni ya simu ya China, simu zao zinakuwa designed USA?
Nadhani unaongelea Apple, Mimi naongelea simu kiujumla
Samsung alikuwa ana struggle sana kipindi cha nyuma kwasababu simu zake zilikuwa na childish gimmicks. Akaja kugundua makosa anayofanya akaenda the "apple" way.

Gimmicks phones hazina nafasi dunia ya sasa. Watu wanahitaji overall experience & ecosystem na reliable device to depend on.

Na sio rahisi ukute apple anajaza gimmick kwenye simu zake.

Chinese phones wapo kwenye zile era Samsung alikuwa.

Na best sellers duniani atabaki apple.
 
Best sellers always ni Apple na Samsung, yeah ni kweli.
Lakini sio kila Chinese phone ipo kwenye hiyo outdated era ambayo unasema Samsung alikuwepo.
Ninaenda kabisa direct, kampuni ya Xiaomi ipo katika level ambayo anaweza kushindana na Apple na Samsung kwa ubora wa simu zake, na akaja kupitwa kwenye vitu vidogo vidogo tu. Ila zipo vizuri sana.
Labda Wachina wengine ndio wapo huko nyuma ila sio wote. They can't be put in one group
 
Wapenzi wa samsung wamekaa kimya kama hawajui, mbona hamzungumziii kuhusu fabrication ya Moonshoot kwa AI na kudanganya watumiaji.
Walidanganya nini kila kitu si kiliwekwa wazi mzee pamoja na kwamb samsung kweny zooming hawana mpinzani achilia mbali picha za kawaida
 
Wapenzi wa samsung wamekaa kimya kama hawajui, mbona hamzungumziii kuhusu fabrication ya Moonshoot kwa AI na kudanganya watumiaji.
Hata ukiichukia samsung inabid uichukie na hiy brand unayotumia sabb samsung huwa anahusika kweny kuundwa brand yoyot ya sim hapa dunian kuanzia processor kioo had lens za camera hakuna pakutokea
 
Samsung alikuwa ana struggle sana kipindi cha nyuma kwasababu simu zake zilikuwa na childish gimmicks. Akaja kugundua makosa anayofanya akaenda the "apple" way.

Gimmicks phones hazina nafasi dunia ya sasa. Watu wanahitaji overall experience & ecosystem na reliable device to depend on.

Na sio rahisi ukute apple anajaza gimmick kwenye simu zake.

Chinese phones wapo kwenye zile era Samsung alikuwa.

Na best sellers duniani atabaki apple.
Hapo kweny ecosystem sammy wameua sana na wameftengeneza uteja wa watu kutumia devices zao sanaa kwakwel ni kama madawa ya kulevya nilienda mahali nilikuta mtu anatumia samsung karib kila kitu TV frigde air condition smartphone yan balaa buluu
 
Simu 9 kati ya 10 zinazonunuliwa na vijana USA ni iphone.

Unaweza pata picha jinsi ilivyo ngumu kwa chinese brands kupenya huko.
 
Simu 9 kati ya 10 zinazonunuliwa na vijana USA ni iphone.

Unaweza pata picha jinsi ilivyo ngumu kwa chinese brands kupenya huko.
Ndio maana Chinese brands hazijisumbui kuingia huko. Mfano Xiaomi hana hata mpango wa kuingiza simu zao huko kwa sababu ili uweze kufanya biashara yako ya simu vizuri nchini US inakulazimu kushirikiana na makampuni kama T-Mobile na ukifanya hivyo basi bei za simu zitapanda na hiyo ni against Xiaomi's policy. Wanataka kuwin soko kwa kuuza bidhaa katika cheap prices. Head wa Xiaomi nchini India aliwahi kusema hawana mpango wa kupeleka biashara yao ya simu nchini US kwa sababu ni ngumu kutengeneza soko la uhakika huko Marekani. Samsung na Apple zimeshapewa Attention na watumiaji wa simu USA.

Motorola ni mchina ila amepenya USA vizuri tu. Ni kampuni ya tatu kwa popularity nchini US
 
China is just a manufacturing house..

Designing and specifications zinafanyika USA.

And manufacturing house is shifting now, from China to India.
Hiki kitakuwa ni kilio kizito China.
 
Kabisa mkuu yani ukiangalia hizo stats ni nchi moja tu ambayo ni china samsung hayupo top three ila nchi zote samsung kaleta upinzani tena mkubwa mno utamkuta either namba moja au mbili nimeangalia stats za south africa uko samsung anaongoza yani kapachafua vibay sana karib kipind chot walichotoa sim wakafuatiwa na huawei kwa south tu lakin naongelea nchi ambay kwa africa imeendelea zaidi
Huko watu wanajielewa kaka, huwezi kusikia uchafu wa tecno, infinix na kaka yao mkubwa xiaomi.
 
Back
Top Bottom