Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

India apple wameshuka Sana mauzo , sababu kubwa inadaiwa ni kuondoa update kwenye baadhi ya matoleo , watu wanaogopa unanunua simu alaf no update na sa hv wanaondoa update tena kwenye iPhone 8, XR, na X , Xiaomi wanakimbiza Sana India
Mi naona Iphone ni for Europe standard. Maana India akina sie wapo wengi tu.
Kuondoa updates ni ubepari wa kibiashara kumdidimiza mtumiaji ungaunga mwana.
 
Izi simu nyingi sio imara ndo zile battery znakufa ,screen znakufa unarudi dukani kununua nyingine anaepata faida ni kampuni
 
Mi naona Iphone ni for Europe standard. Maana India akina sie wapo wengi tu.
Kuondoa updates ni ubepari wa kibiashara kumdidimiza mtumiaji ungaunga mwana.
Wahindi tunawazidi aiseee wale jamaa wamechoka sio poa
 
Always factory reset your smartphone soon after the software update
Mauzauza kutokea kwenye simu baada ya software updates sio MIUI tu, karibia kila Android skin hutokea. Wengine huwatokea wengine hawapati kabisa matatizo. Ingia kwenye website za dunia huko uone watu wanavyolalamika kuhusu software updates kwenye UI tofauti tofauti. Na kuna wengine MIUI updates wanafanya na simu hai-misbehave. Kama ulikurupuka matatizo yatakukuta tu.
Kuhusu second space nadhani hiyo shida wewe ndio uliipata kwenye simu yako, wengine hatujui hiyo shida. Mambo ni smooth tu, ila kwako nashangaa kila jambo lilikuendea kinyume. Una uhakika simu yako haukuwa defective kweli?
Second space ni nini?
 
Ukweli usemwe, mchina itamchukua miaka mingi kutengeneza UI kama hiyo
Watu wanajifariji tu, Samsung alianza kukimbiza hapo toka S2, akakimbiza saana. Akaja S3 akawasha moto wa hatari, S4 ndo likawa balaa zaidi. S5 ikakosa market kubwa ila ilikuja na fingerprint, masensor chungu mzima kipindi hiko. Ile Display ya S4 na S5 kwa kipindi hiko zilikuwa hazina mpinzani hata wa kumkaribia.
 
Mwezi uliopita nimezunguka Tanga, Moro na Arusha.

Hizo iphone tulikuwa nazo sisi tuliokuwa tunaenda huko. Hao wenyeji zaidi ya tecno na infinix wengi wana itel.

Kwanini unadhani tanzania nzima ni hapo Samakisamaki tu?

Tembea uone Tanzania halisi.

Hahaha kwanza umerusha random attack na ku guess ninapoish wakati you have no idea
Si kila mtu humu ndani anaishi dar
Speaking of kuzunguka hii nchi ni mkoa mmoja tu sijafika

Pili kati ya hiyo mikoa ulitembelea tu. Bado hujazunguka 100%, uwezo wa ku order kutoka ulaya, us umeongezeka sana,probaly si mkubwa sana but unaongezeka. Now ni kitu cha kawaida sana kukuta iphone x,11, nyingi kitaa tofauti na zamani
 
Leo ninaleta brand za simu zenye market share kubwa zaidi duniani ili kukuruhusu kujua ni simu za kampuni gani zinauzwa au zinapendwa sana duniani . Bila kupoteza muda naanza

1. Duniani kiujumla View attachment 2531774

2. China View attachment 2531777

3. Australia View attachment 2531779

4. CanadaView attachment 2531781

5. MarekaniView attachment 2531783

6. Amerika ya KusiniView attachment 2531784

7. United Kingdom View attachment 2531785

8. India View attachment 2531786

9. AfrikaView attachment 2531787

10. UjerumaniView attachment 2531790

11. AsiaView attachment 2531791

12. UlayaView attachment 2531792
All in all nimefurahi kuona Xiaomi inauzwa sana duniani
Umetupa zote isipokuwa za TZ😂😂😂
ngoja niwape kutoka kwenye database yangu ambayo imekusanya vyanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na makala ya habari, vitabu, kazi za kitaaluma, na vyanzo vinginevyo...

BrandPercentage
Tecno35.5%
Samsung23.3%
Oppo8.3%
Nokia7.6%
Infinix6.6%
Itel5.5%
Huawei5.3%
Apple3.2%
Others4.7%

Naomba kuwasilisha 🙏
 
Second space ni nini?
*Second space ni feature inayopatikana kwenye simu za Xiaomi. Feature hii inakupa phone layout nyingine kwenye simu yako, inakuwa kama unatumia simu mbili ndani ya simu moja.
*Unakuwa na phone layout ya kawaida ambayo unaitumia kila siku ikiwa na apps zako unazotaka ziwepo. Zile apps ambazo hutaki ziwe exposed kwenye home screen yako unazihamishia second space ambapo ili uingie Second Space inahitaji uingize password yako ambayo umeiset kwa ajili ya Second Space.
* Ukiingia second space, unazikuta sasa apps zako zote ulizozihamishia huko mfano labda zile za ofisini au za entertainment, zozote zile. Ni upande wa pili wa simu yako.
*Ukiwa upande wa kawaida wa simu yako, utapata notification zote hata zile za apps zilizopo Second Space lakini ili uingie kwenye hiyo app itabidi utie password yako ya Second Space. Unaweza kublock Notifications pia.
 
Umetupa zote isipokuwa za TZ[emoji23][emoji23][emoji23]
ngoja niwape kutoka kwenye database yangu ambayo imekusanya vyanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na makala ya habari, vitabu, kazi za kitaaluma, na vyanzo vinginevyo...

BrandPercentage
Tecno35.5%
Samsung23.3%
Oppo8.3%
Nokia7.6%
Infinix6.6%
Itel5.5%
Huawei5.3%
Apple3.2%
Others4.7%

Naomba kuwasilisha [emoji120]
[emoji1787][emoji1787] hapo kwenye oppo umechemka weka li-infinix
 
Apple was not made for africa
Yes it's true
Apple was neither made for Africa nor for any other continent but it was made for fans anywhere in the world regardless of their race that's why anyone from anywhere can buy Apple iPhone if he/she affords to.
 
N
Watu wanajifariji tu, Samsung alianza kukimbiza hapo toka S2, akakimbiza saana. Akaja S3 akawasha moto wa hatari, S4 ndo likawa balaa zaidi. S5 ikakosa market kubwa ila ilikuja na fingerprint, masensor chungu mzima kipindi hiko. Ile Display ya S4 na S5 kwa kipindi hiko zilikuwa hazina mpinzani hata wa kumkaribia.
Vijana wa juzi watataka kumlinganisha na mchina ila ukweli hawafai hata kulinganishwa, labda iPhone kwa mbaali twaweza wacompare
 
N

Vijana wa juzi watataka kumlinganisha na mchina ila ukweli hawafai hata kulinganishwa, labda iPhone kwa mbaali twaweza wacompare
Hata kwa mbali huwezi fananisha Samsung na iPhone unless uwe mtu unayependa simu kwa ajili ya kuvimbia, au kurekodi video basi kama utayaweza masharti yao.
 
*Second space ni feature inayopatikana kwenye simu za Xiaomi. Feature hii inakupa phone layout nyingine kwenye simu yako, inakuwa kama unatumia simu mbili ndani ya simu moja.
*Unakuwa na phone layout ya kawaida ambayo unaitumia kila siku ikiwa na apps zako unazotaka ziwepo. Zile apps ambazo hutaki ziwe exposed kwenye home screen yako unazihamishia second space ambapo ili uingie Second Space inahitaji uingize password yako ambayo umeiset kwa ajili ya Second Space.
* Ukiingia second space, unazikuta sasa apps zako zote ulizozihamishia huko mfano labda zile za ofisini au za entertainment, zozote zile. Ni upande wa pili wa simu yako.
*Ukiwa upande wa kawaida wa simu yako, utapata notification zote hata zile za apps zilizopo Second Space lakini ili uingie kwenye hiyo app itabidi utie password yako ya Second Space. Unaweza kublock Notifications pia.
Ahsante sana
 
Sio kweli, Kenya tu ambao ni our nearest neighbour bado wapo tofauti sana na nyinyi watanzania.
Tatizo nyie mnatembelea mijini wakati wananchi halisi ambao ni wengi wanaishi vijijini?

Hapo Nairobi wanaokula good times ni % ndogo sana.

Utofauti upo kwenye baadhi ya nchi za southern africa na north africa.
 
Hahaha kwanza umerusha random attack na ku guess ninapoish wakati you have no idea
Si kila mtu humu ndani anaishi dar
Speaking of kuzunguka hii nchi ni mkoa mmoja tu sijafika

Pili kati ya hiyo mikoa ulitembelea tu. Bado hujazunguka 100%, uwezo wa ku order kutoka ulaya, us umeongezeka sana,probaly si mkubwa sana but unaongezeka. Now ni kitu cha kawaida sana kukuta iphone x,11, nyingi kitaa tofauti na zamani
Ni kawaida ila sio nyingi za kufikisha hiyo percent.
 
Mhe Lema akisikia kuna watanzania wanatumia Infinix au Tecno, tumekwisha.
 
Back
Top Bottom