Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

Unatumia simu gani? Mbona nyingi zipo kuanzia android 10? Labda kama unatumia simu ya miaka 5 iliyopita
Lakini nzuri zaidi hapo zipo MIUI, Zilizopo Android 10 kuendelea ni hizi za kawaida kama Three-finger slide screenshots, n.k ila nyingi nzuri nzuri ni mali ya MIUI na wengine hawatozipata kwenye simu zao hata kama zina Android 13 unless wawe watumiaji wa Xiaomi
Ni kama tu unique features za One UI pia, kuna nyingi wanapata watumiaji wa Samsung tu
Mfano katika hizo nilizotaja hapo juu nimezihesabu, features zaidi ya 20 ni mali ya Xiaomi tu. Chache sana hapo ndio utazikuta kwingine.
 
Lakini nzuri zaidi hapo zipo MIUI, Zilizopo Android 10 kuendelea ni hizi za kawaida kama Three-finger slide screenshots, n.k ila nyingi nzuri nzuri ni mali ya MIUI na wengine hawatozipata kwenye simu zao hata kama zina Android 13 unless wawe watumiaji wa Xiaomi
Ni kama tu unique features za One UI pia, kuna nyingi wanapata watumiaji wa Samsung tu
Kakudanganya nani? Hiyo ni mali ya android hata tecno unazikuta,nitajie ambayo haipo One ui hapo? Taja japo tatu
 
Kakudanganya nani? Hiyo ni mali ya android hata tecno unazikuta,nitajie ambayo haipo One ui hapo? Taja japo tatu
Sijawahi kutumia One UI ila ngoja nitajie ninazohisi hazipo
*Second space
*Clean Speakers
*Sound Assistant feature
*Split Notification Shade
*Vertical Recent Apps
*Video Toolbox
*App Volume control
*Faster updates
*Calamity Warning
Halafu umesema hadi Tecno anazo lakini mwishoni umetaka nishindanishe na One UI cause unajua level za MIUI ni One UI kwa sababu zote mbili zina features nyingi. Uliposema zipo Android 10 kuja juu haukuwa specific, maybe ungesema One UI ila sio Android 10 kuja juu. Tecno hana features nyingi kama MIUI Wala One UI. Wazee wa Stock Android nao wanakosa mengi.
- Kama kuna feature nimeitaja hujaelewa inafanyaje kazi niulize
 
Ndio maana mimi nikaamua kuamia google pixel maana hizi miui na wenzake hakuna cha maana zaidi ya kufanya simu kuwa nzito. Mtu anasifia mbaka clean speakers
 
MIUI Ina mambo yake wewe hujayajua au sio kipaumbele chako. Ina features nyingi sana ambazo baadhi hata One UI anazo ila pia anazo za muhimu ambazo hata One UI hana. Kuna features nyingine hapo chini nikikuelezea zinafanyaje kazi utashangaa kwa nini ulitumia Redmi siku zote na hukuwahi kuzitumia. Redmi 9 inatumia MIUI 11 na kwa mtazamo wangu naona MIUI 11 haijanikosha ila MIUI 12 kwenda juu ni useful. Features ambazo nimezikubali mpaka ikafanya niipende MIUI kuliko zote, baadhi yake ni hizi hususani Second space.
1. App Lock, "unalock app kwa Fingerprint au face ID" (more advanced than ever)
2. Horizontal/Vertical Recent Apps
3. Back tap
4. App Volume control
5. Clone Mode on camera
6. Three-finger slide screenshots
7. Second space
8. Wild Notification Alerts
9 Tons of Animated Wallpapers
10.Sound Assistant
11. Reading mode
12. Dual Apps
13. Video Toolbox
14. Floating Windows
15. Split Notification Shade
16. Themes and Always on display
17. Xiaomi Security app
18. Game Turbo
19. Side bar
20. Disabling Ads
21. Faster updates
22. Quick Ball
23. Xiaomi Miracast
24. Clean Speakers
25. Snap Mode & camera enhancement
26. Mi Health App
27. Optical Character Recognition
28. Calamity Warning, etc.
Kila moja ningeweza kuelezea zinafanyaje kazi ila ni nyingi lakini MIUI inanikosha sana aisee. Yaani taste yangu yote 100% ipo MIUI. Google dialler na messaging apps nasikia Google waliwaforce Xiaomi wazitumie kwenye simu zao za Global version ila kiuhalisia Xiaomi wana app zao wenyewe za calling na messaging ambazo ni nzuri sana ila zipo kwenye Chinese ROM. Nadhani kutakuwa na njia ya kuflash global kuwa Chinese ROM sijajua bado.
Ila mimi binafsi nimeshajua ladha yangu ipo wapi.
Hivi vitu ulivyotaja hapa karibu vyote vipo kwenye google pixel 7 lakini google wala hawajitambi. Mfano screen shoot yao unagusa tu nyuma ya simu mara mbili kitu hicho. Mtu anasifia mbaka applock
View attachment 2533835View attachment 2533836
 
Ndio maana mimi nikaamua kuamia google pixel maana hizi miui na wenzake hakuna cha maana zaidi ya kufanya simu kuwa nzito. Mtu anasifia mbaka clean speakers
Clean Speakers unaijua kwanza inafanya kazi gani wewe au unaongeaongea tu porojo za vijiweni ukitoka kunywa kahawa [emoji23][emoji23]
 
Hivi vitu ulivyotaja hapa karibu vyote vipo kwenye google pixel 7 lakini google wala hawajitambi. Mfano screen shoot yao unagusa tu nyuma ya simu mara mbili kitu hicho. Mtu anasifia mbaka applock
View attachment 2533835View attachment 2533836
Acha uongo wewe. Google Pixel zina features chache. Hiyo Back tap ni kitu cha kawaida
Katika software mbaya kuwahi kuziona ni hiyo Stock Android ya Google Pixel na mwenzake Nokia
Google Pixel haina Split Notification Shade, haina Vertical Recent Apps, haina Second Space, haina themes za kutosha, haina video toolbox, haina sound Assistant na uelewe kabisa Sound Assistant ninayoiongelea hapa. App Lock ya Xiaomi nimeipenda kwa sababu inatumia Fingerprint au face unlock, sijajua kama Google Pixel ipo na wala sikuwahi kusema haipo. Mimi nazikubali MIUI na One UI tu na hayo ni mapenzi yangu binafsi.
Yani sijawahi kuona software mbovu kama Stock Android, Mtajijua wenyewe na optimization yenu[emoji23][emoji23]
Unasema simu inakuwa slow wakati Xiaomi 13 Pro iko faster kuliko Google Pixel zote duniani [emoji38][emoji38]
 
Huzioni hizo Apple Africa au Tanzania?
Anyway, iPhone 6 zote hizi zilizokuwa imported from Asia mbona zimejaa kila kona. Nakumbuka kuna thread ulisema macho matatu zimejaa kama yeboyebo. iPhone Africa zipo, tena nyingi sana Mpya+used
Hakuna simu refurb zinazouzwa kama iphone hapa Africa. Pale China Plaza, Makumbusho zipo kama uchafu.
 
Ni wewe but kuna group flani la jamii they have that
Mwezi uliopita nimezunguka Tanga, Moro na Arusha.

Hizo iphone tulikuwa nazo sisi tuliokuwa tunaenda huko. Hao wenyeji zaidi ya tecno na infinix wengi wana itel.

Kwanini unadhani tanzania nzima ni hapo Samakisamaki tu?

Tembea uone Tanzania halisi.
 
India apple wameshuka Sana mauzo , sababu kubwa inadaiwa ni kuondoa update kwenye baadhi ya matoleo , watu wanaogopa unanunua simu alaf no update na sa hv wanaondoa update tena kwenye iPhone 8, XR, na X , Xiaomi wanakimbiza Sana India
Nilisoma sehemu huko mitandaoni, nimeshasahau ni website gani, ila inasema Xiaomi kwa India wanauza sana akifuatiwa na wenzake Vivo na Samsung.
Wahindi ukiwazingua wanakupiga tu chini wanatafuta kile kitu roho inapenda.
 
Back
Top Bottom