Nilichokiobaerve ni kwamba hapa Kila mtu atatetea mawazo yake na kile anachokomiliki (it's human nature) hata hivyo the fact is Kila kimoja kina cons na pros so itategemea tu na Nini preference ya mtumiani.
Mfano tu ni kwamba Miui ndio UI yenye features nyingi kuliko zote na hii kama pros ina cons zake, ndio UI kubwa na nzito kuliko zote so inasababisha lagging ya performance kulinganisha na UI zenye features chache kama Pixel UI kwa mfano (which is different from Stock Android)
Mwisho wa siku ni hivi, use the phone with UI that suits your needs and preferences. And remember your preference might be completely different from another person and that doesn't mean kile unachokipenda wewe ndio Bora kuliko anachokipenda mwingine.
Nimeona issue ya Samsung A, yes A series ni mid and low class phones za Samsung na hii inatokana na vifaa vinavyotumika kuzitengeneza compared to M series which is a little higher na S series ambayo inatarget high end market. Makampuni mengi yanafanya hivi including Google pixel ambao pia wana A series kama mid end products na Xiaomi pia wana Redmi ambazo ni cheap phones compared to Poco na maybe 12pro and the likes.
Kuna wengine hizo UI zisizo na features tunaziona za kishamba sana, kama Pixel UI ni ovyo kabisa. Ingawa ulichokisema ni kweli kila mtu ana mtazamo wake ndio maana ninapenda UI zenye features nyingi kama MIUI ya Xiaomi na One UI ya Samsung. Ukitoa hizo mbili sijaona UI nyingine ya kunifaa
Kitu kingine sasahivi Xiaomi wameachia MIUI 14 ambayo ni very light na kampuni inasema ndio lightest MIUI yet. Ina feature ya kucompress apps na mafaili yote kama huyatumii kwa muda huo. Hii inasaidia kuboost RAM peformance na kukupa very smooth experience, Sasahivi MIUI 14 ni more optimized than ever.
Pia kwenye MIUI 14 bloatware bado zipo kwa sababu kuna baadhi ya watumiaji wake tunazihitaji na tunazitumia LAKINI Xiaomi anakupa uhuru wa kuzifuta bloatware zote kasoro apps nane tu. Imagine freedom ya kuondoa apps zote kasoro 8 tu za muhimu.
MIUI ina lags kwenye low end devices na hata One UI pia ina lags kwenye low end devices lakini sio kila mtu ataexperience hii kitu. Cha ajabu Nokia nazo zinatumia Pure Android lakini bado UI inalag sana tena kuliko MIUI au One UI
Kwangu mimi naona Pixel UI ni utani bhana. Simu expensive hazitakiwi kunyimwa features kwenye UI kama vile, yani ni ovyo, ovyo, ovyo kabisa[emoji706][emoji706]
Ikiwa unataka clean UI ni heri ununue Motorola, Pure Android ya Motorola ni nzuri na ina additional features kutoka kwa Motorola na bado ni smooth. Lakini Nokia na Google Pixel UI zao ni ushuzi
By the way sio kila Redmi ni cheap au midrange au ni low end. Wana flagship pia. Angalia Xiaomi Redmi K60 Pro. Pia Poco na Redmi zote ni same level. Xiaomi Black Shark ni more expensive than Poco na Redmi. Na their most expensive phones are Xiaomi Series (au Mi) huku Xiaomi.Mi Mix Alpha ndio ina bei zaidi, inauzwa TSh 6,700,000/=
Xiaomi 13 Pro ni flagship yao ya mwisho kwa sasa.