Ndio kwanza quarter one of the year
Kuporomoka kimauzo kwenye nchi fulani, ni kitu ambacho karibia kila kampuni lazima ipitie
Wakati Xiaomi amepitwa kimauzo muhula wa kwanza nchini India lakini bado anaendelea kukua globally
Hizi takwimu za India. Xiaomi Indian version zinakuwa na hardware issues nyingi sana tofauti na ilivyo kwa Global version au Chinese version ambazo zipo poa, Nadhani Xiaomi Indian version waache kuzitengeneza, watumie tu Global version hata kwa India kuliko kuwatengenezea Wahindi simu zenye hardware issues
View attachment 2594252
PIA SOKO LA SMARTPHONES NCHINI INDIA LIMESHUKA KIUJUMLA. MWAKA HUU WAHINDI WAMEAGIZA SIMU CHACHE SANA UKILINGANISHA NA MIAKA MINGINE