wanapigwa chini mkuu usiombe wapewe msamahaHuawei kuipiga chini Xiaomi????
Never!!!
Xiaomi tayari ina soko zurihata kimauzo boss ina maan bidhaa yako imekubalika na kuaminiwa sana mm sidhn kam bidhaa yako ni nzyr afu isiwe na soko zur maan malengo ya makampuni yote ni kupenya kweny soko na kufanya vzr sokon hat tukitoa kweny masoko kwa sim kwa ubora kwa ujumla naona samsung yuko juu sana upande wa android huawei alikuwa awatoe kimasomaso wachin vzr niliishika huawei p40 pro ase ni matatiz ni sim kali sana yan ukichukua googl pixel zote ukiiwek na ile huawei p40 pro bado naoan hawasogei na hat hiz oppo vivo naona bado kwa yule mwamba dah sijui kwann alifanyiwa unyama hv
yani kiongoz hii mashine kweli una underestimate na kuidananisha na xiaomi kweli? kweli ninaamin tumetiafutiana kmawaz na kila kitu ila kwa hili dah lina utataIla kuliko kuongelea vitu ambayo havi-exist ni vyema kuongelea current situation
Hiyo Xiaomi 13 Ultra itakuwa bonge la simu. Nasubiria tu nijue specs zake
Hiyo ni Samsung mkuu sio Huaweiyani kiongoz hii mashine kweli una underestimate na kuidananisha na xiaomi kweli? kweli ninaamin tumetiafutiana kmawaz na kila kitu ila kwa hili dah lina utataView attachment 2591096
Asa hizo tecno na infinix zinafahamika na nani duniani?Hiyo ya Tanzania itafanya watu wasiamini takwimu zote
Huwezi niambia Samsung anamzidi tecno au infinix
Zinafahamika sanaAsa hizo tecno na infinix zinafahamika na nani duniani?
iko chini vipi sasa.....[emoji28] au hilo neno pro linakupagawisha nina uhakik s23+ ukiiwek na hiy 13 pro zinatoshana nguvu vyema sanaHiyo ni Samsung mkuu sio Huawei
Halafu hata sio S23 Ultra.
Samsung yoyote ambayo sio S23 Ultra ipo chini ya Xiaomi 13 Pro
hata kimauzo boss ina maan bidhaa yako imekubalika na kuaminiwa sana mm sidhn kam bidhaa yako ni nzyr afu isiwe na soko zur maan malengo ya makampuni yote ni kupenya kweny soko na kufanya vzr sokon hat tukitoa kweny masoko kwa sim kwa ubora kwa ujumla naona samsung yuko juu sana upande wa android huawei alikuwa awatoe kimasomaso wachin vzr niliishika huawei p40 pro ase ni matatiz ni sim kali sana yan ukichukua googl pixel zote ukiiwek na ile huawei p40 pro bado naoan hawasogei na hat hiz oppo vivo naona bado kwa yule mwamba dah sijui kwann alifanyiwa unyama hv
honor kwel nawaona hata sim zao zipo madukaniHakufanyiwa figisu.alishindwa kutofautisha biashara na harakati za kiserikali.
Maana US walivyo hawana roho mbaya walimpa taarifa kwanza,kwamba aisee hizi simu zina chip ya udukuzi wa mawasiliano,kama itakupendeza achana na hizo pigo.akapuuza.
Akalimwa ban mazima.
Labda tuseme walimzushia,lakini kampuni mshirika wa huawei yaani honor hayuko kwenye hivyo vikwazo,so unaweza ukaona haikuwa fitna.
Honor ameshatengana na HuaweiHakufanyiwa figisu.alishindwa kutofautisha biashara na harakati za kiserikali.
Maana US walivyo hawana roho mbaya walimpa taarifa kwanza,kwamba aisee hizi simu zina chip ya udukuzi wa mawasiliano,kama itakupendeza achana na hizo pigo.akapuuza.
Akalimwa ban mazima.
Labda tuseme walimzushia,lakini kampuni mshirika wa huawei yaani honor hayuko kwenye hivyo vikwazo,so unaweza ukaona haikuwa fitna.
Hiii pisi naikubali sana cuts zake zimetulia sana
Hii video nimeipenda. Kweli S23 Ultra ni bonge la simu [emoji3060][emoji3060]
wale wadau wa tunda wakiion hii watasema mi marketing manager wa samsung ila usiwajali unasimamia ukweli
Hii video nimeipenda. Kweli S23 Ultra ni bonge la simu [emoji3060][emoji3060]
wale wadau wa tunda wakiion hii watasema mi marketing manager wa samsung ila usiwajali unasimamia ukweli