Samsung ni simu nzuri sana tatizo ni ukiwa nchi za ulaya na marekani utaiona Samsung kama infinix [emoji3]
Mitaani kwenye makundi ya watu pisi kali ni iPhone tu hadi unashindwa kuelewa nini tatizo?
Angalia hata viongozi wakubwa na watu maarufu wa huko duniani ni iPhone tu
Nakumbuka fainal ya Africa Egypt na Senegal,,,, Senegal walipotwaa ubingwa nilishangaa kwenye lile shangwe la wachezaji wote walikua na iPhone aiseee
Samsung,oppo,xiaomi nk wameteka soko la Asia,Africa kwa sana
Natumia Samsung pia nampango wa kuvuta pixels 8 ikitoka ila iPhone aisee ni zaidi ya simu hiii kauli utaielewa siku ukienda nchi za watu