Sorcerer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,694
- 2,485
Youtubers wengi wanachukua vibunda office kuuMi napenda tu kusikiliza sauti yake, pia kwenye video zake amechangamka sana na hayupo biased kama YouTubers wengine
Youtubers wengi wanachukua vibunda office kuuMi napenda tu kusikiliza sauti yake, pia kwenye video zake amechangamka sana na hayupo biased kama YouTubers wengine
asee ule moto achana nao kabisa na bado nimeona concept ya s24 ultra ase tutauwawa tu mwaka huuHata watu wa tunda wanaelewa iPhone 14 Pro Max haiwezi fananishwa na S23 Ultra
Youtubers wengi wanachukua vibunda office kuu
[emoji1][emoji1][emoji1] marques Brownlee namkubali sana huyu mwamba akili kubwa sanaTena hakuna mtu kiazi kama MKBHD.
Nadhani kuna ajenda ya kusifia vya nyumbani pekee.
Mewhotheboss,supersaff,unboxing therapy kidogo hiwa wanajaribu kuwa real.
Ile Oppo Find X6 Pro uliyokuwa unaicheka imetangazwa kuwa simu yenye kamera bora zaidi duniani kupitia page ya DXO Markasee ule moto achana nao kabisa na bado nimeona concept ya s24 ultra ase tutauwawa tu mwaka huu
unawafutilia dxo mark ase utakuwa umepotoka vbya mnoo yan wale viaz had huko ulaya wanawalalamikia kwa kila kitu sijawah kuwafautailia hat kidg nikitaka kujua ubora wa sim huwa naangalia reviewers wa youtube wafanye comparison segment moja na ingine hao dxo walishapotez credibility siku nyingi mno eti iphone 13 ina picha nzur kulik s23 ultra dah [emoji28][emoji28]Ile Oppo Find X6 Pro uliyokuwa unaicheka imetangazwa kuwa simu yenye kamera bora zaidi duniani kupitia page ya DXO Mark
Ingawa DXO Mark sio waaminifu Sana, Ila bado reviewers wengi wameisifia Sana kamera yake
Xiaomi 13 Ultra bado haijafanyiwa review ila tayari specifications zake zimenyamazisha watu midomo
Nilishaacha kufuatilia DXO Mark, nahisi Oppo wametoa pesa za kutosha kuipata nafasi hiyo, hiyo taarifa niliiona gsmarenaunawafutilia dxo mark ase utakuwa umepotoka vbya mnoo yan wale viaz had huko ulaya wanawalalamikia kwa kila kitu sijawah kuwafautailia hat kidg nikitaka kujua ubora wa sim huwa naangalia reviewers wa youtube wafanye comparison segment moja na ingine hao dxo walishapotez credibility siku nyingi mno eti iphone 13 ina picha nzur kulik s23 ultra dah [emoji28][emoji28]
find x6 pro ina kamera kali sikatai ila sio ya kuzizid iphone au samsung ni uhuni kabisa tena wawazi kabisaNilishaacha kufuatilia DXO Mark, nahisi Oppo wametoa pesa za kutosha kuipata nafasi hiyo, hiyo taarifa niliiona gsmarena
![]()
DxOMark: Oppo Find X6 Pro is the best cameraphone yet
It's no surprise with those big sensors. Oppo believes the Find X6 Pro is the best cameraphone on the market and it appears that DxOMark agrees. The phone...www.gsmarena.com
Lakini hata hivyo hii simu ina kamera bomba sana, Sio tu kamera ila hata overall ni simu nzuri sana.
Ni vile tu watu hawataki kukubali kuwa simu nzuri sio Samsung na Apple pekee
Mimi naamini inaweza kuwa na kamera kali kuliko simu za hizo giant companiesfind x6 pro ina kamera kali sikatai ila sio ya kuzizid iphone au samsung ni uhuni kabisa tena wawazi kabisa
ngoj s24 ultra ikitoka tuoneMimi naamini inaweza kuwa na kamera kali kuliko simu za hizo giant companies
Hii ni 2023, mambo yamebadilika sana. Kamera za simu zinafanana-fanana tu kiasi kwamba ukifanyia improvement kadhaa unawapita hata wale waliokutangulia
Kumbuka Oppo inatoka kwenye kampuni ya BBK Electronic, same company with Vivo, One Plus and Realme.
Hii kampuni sasahivi wameweka nia thabiti kwenye camera department mfano mzuri ingia kwenye YouTube channel unayoiamini halafu search camera comparison ya Vivo X90 Pro Plus vs Samsung Galaxy S23 Ultra uone zinavyochuana vikali, tena kuna baadhi ya picha Vivo ipo vizuri
Sasa hii Oppo Find X6 Pro ina kamera kali kuliko Vivo X90 Pro Plus kwa nini isiipite hiyo S23 Ultra kama imeweza kuipita Vivo X90 Pro Plus.
Samsung yupo vizuri kwenye zooming na hana mpinzani ila kwenye camera overall wapinzani anao, tena kutoka kwa kampuni zilizopo chini yake.
Mfano mwingine mzuri gsmarena wanasema Xiaomi 12S Ultra ilikuwa ndio simu yenye kamera bora zaidi wakati ilipotoka
Sasa huoni S24 Ultra ikitoka na Oppo Find X7 Pro pia itatoka[emoji28][emoji28] It's always an endless battlengoj s24 ultra ikitoka tuone
ni kwel kabisaSasa huoni S24 Ultra ikitoka na Oppo Find X7 Pro pia itatoka[emoji28][emoji28] It's always an endless battle
Sasahivi kila kampuni inaweza kutengeneza simu nzuri, kazi kwako kuangalia ipi inakidhi mahitaji yako
Naonaga chenga chenga tu ila conclusion nazingatia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila utofauti wake unauona[emoji28][emoji28]
Hii takwimu ni Afrika sio Tanzania. Tanzania ni tecno na infinixSio kwa sasa, Samsung hususani A-series ndio zina watumiaji wengi. Ya Tanzania hii[emoji116][emoji116]View attachment 2531866
Hii takwimu ni ya mchongo! Eti Tanzania Samsung na apple wanauza kuliko tecno na infinix eti? Hii ni chaiHata Mimi hizi takwimu Kwa Tz nimezitilia walakini, sijui source Yao ya taarifa ni ipi Ila naamini infinix na Tecno zina market kubwa Tanzania kuliko Samsung.TCRA ndio Wana taarifa sahihi zaidi.