Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

South Korea na India, Samsung yupo juu ya Apple
Ingawa ni kweli iPhone haitakiwi kushushwa. Kwenye nchi nyingi za first world, Apple yupo juu ya Samsung.
Korea ni nyumbani kwa Samsung tukija kwa India ni bongo yenye population kubwa

Nataka nchi yenye watu wenye akili kubwa wasio na stress za misosi

Samsung ni simu nzuri tatizo utoto ni mwingi sana plus makampuni ya kichina

Lazima nichukue pixel 8 pro kama ikitoka,Google wanafuata njia za iPhone
 
Pia Wahindi wanapenda sana gaming ndio maana wanatafuta midrange zenye performance kubwa, strong GPU n.k kwa bei inayoeleweka
Ndio maana Xiaomi ameteka sana huko, na Samsung pia baada ya kuamua kujiingiza kwenye kutengeneza midrange zenye high performance at reasonable prices
Kwenye gaming hapa ndio kwangu mkuuu hakuna simu inaweza battle na iPhone kwenye upande wa gaming narudia tena hakuna [emoji3]
 
Korea ni nyumbani kwa Samsung tukija kwa India ni bongo yenye population kubwa

Nataka nchi yenye watu wenye akili kubwa wasio na stress za misosi

Samsung ni simu nzuri tatizo utoto ni mwingi sana plus makampuni ya kichina

Lazima nichukue pixel 8 pro kama ikitoka,Google wanafuata njia za iPhone
Google anafuata njia zipi za iPhone?
iPhone zina features nyingi kwenye software, Google ana features chache
Google Pixel ni bei rahisi Apple ni bei ghali
Pia kwenye gaming, Apple yupo vizuri ila katika bei ghali
 
Brand yangu pendwa imeangukia kwenye Unknown.
 
Google anafuata njia zipi za iPhone?
iPhone zina features nyingi kwenye software, Google ana features chache
Google Pixel ni bei rahisi Apple ni bei ghali
Pia kwenye gaming, Apple yupo vizuri ila katika bei ghali
IPhone inafeatures nyingi za muhimu ni tofauti na Samsung

Samsung inafeatures nyingi ambazo ni useless[emoji3]

Nakumbuka kipindi natumia Samsung s9+ aisee hii simu niliiroot kila siku nilikua nachange roms madevelopers wa GSM walinikoma

Nilikua na flash hadi kernel, substratum themes nilizitumia sana magisk modules karibu zote nilitumia, nilitumia GSi roms za Miui,oxygen,colorOs kote huko mwisho nilikuja kujua ni upuuzi tu

Nikarudi kwenye custom rom ya pixel experience plus aiseee hiii rom niliipenda sana ni classic

Nimewahi tumia pixel ui kwenye Samsung s9+ ilikua bomba sana next time nataka nivute pixel yenyewe ni enjoy
 
Aisee kweli binadamu tunatofautiana [emoji23][emoji23]
I prefer One UI and MIUI over Pixel UI.
Hii Stock Android ya Google Pixel na Nokia hainivutii hata kidogo [emoji28][emoji28]
iOS wakiondoa restrictions nitakuwa fan pia. Sipendi hii clean UI ya Google Pixel na Nokia
Screenshot_20230326-121629~2.jpg
 
Aisee kweli binadamu tunatofautiana [emoji23][emoji23]
I prefer One UI and MIUI over Pixel UI.
Hii Stock Android ya Google Pixel na Nokia hainivutii hata kidogo [emoji28][emoji28]
iOS wakiondoa restrictions nitakuwa fan pia. Sipendi hii clean UI ya Google Pixel na Nokia
View attachment 2569188
Android 14 wanaweza ongeza features
 
Android 14 wanaweza ongeza features
Android huwa wanaongeza features kila updates lakini kwa Xiaomi users ni kama useless tu
Xiaomi anaamini ktk features zake mwenyewe na kuna baadhi Google huziongeza kwenye latest Android halafu Xiaomi anazipiga chini halafu anaongeza za kwake. Kuna features nyingi Google anaongeza leo kupitia updates, wenzake walikuwa nazo kitambo[emoji28][emoji28]
 
Aisee kweli binadamu tunatofautiana [emoji23][emoji23]
I prefer One UI and MIUI over Pixel UI.
Hii Stock Android ya Google Pixel na Nokia hainivutii hata kidogo [emoji28][emoji28]
iOS wakiondoa restrictions nitakuwa fan pia. Sipendi hii clean UI ya Google Pixel na Nokia
View attachment 2569188
Mimi napenda sana ONE UI kwakwel Mungu aendele kuwawek samsung labda wafanyiwe hujuma ila naona ataendelea kusumbua mno miongo kwa miongo karne kwa karne
 
Kwenye gaming hapa ndio kwangu mkuuu hakuna simu inaweza battle na iPhone kwenye upande wa gaming narudia tena hakuna [emoji3]
Duh nimejua kwann umejiita cha asubuh sio kosa lako na sidhan kam hat unatumiag bando lako kuangalia review uko youtube ila samahan kukwambia kwambakuna link nakutumia ya s23+ na iphone 14 pro iphone amekalishwa vzr mno kweny perfomance hapo sijaongelea kamera na kioo
 
Wewe unataka kuweka ligi na mimi ya games [emoji1787][emoji1787] hakuna games zikizo high optimized kama games zinazorun kwenye IOS

wewe hata magemu unayajua kweli Anzia genshin impact,devil may cry,life after:night falls,life is strange,alien isolation,pubg,Diablo immortal n.k

Hizo games nilizokutajia hapo kuna hadi zenye GB 35[emoji3]
 
Duh nimejua kwann umejiita cha asubuh sio kosa lako na sidhan kam hat unatumiag bando lako kuangalia review uko youtube ila samahan kukwambia kwambakuna link nakutumia ya s23+ na iphone 14 pro iphone amekalishwa vzr mno kweny perfomance hapo sijaongelea kamera na kioo
Acha hizo games za watoto hata kwenye tecno utayakuta

Install game la genshin impact kwenye simu yako utaelewa nini namaanisha..
 
Sasa hilo gemu nani asielijua au shida nimekuambia angalia perfomance overall shida iko wapi mzee[emoji1787]
 
Back
Top Bottom