Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

Kama unataka simu inayorekodi video za 4K kwenye kamera ya mbele basi hata Xiaomi achana nazo[emoji28][emoji28]
Mpaka leo nimeona simu moja tu ya China inayorekodi video za 4K kwenye kamera ya mbele, "Motorola Moto X40", Nyingine sizijui
Hadi leo hakuna Xiaomi inarekodi 4K video kwenye selfie camera, hata Xiaomi 13 Pro ni 1080p.
Labda Xiaomi 13 Ultra atakuja na 4K video recording kwenye selfie camera
Bora xiaomi kuliko iphone
 
One UI 5.1 imekuja na battery draining issues, Samsung wametoa sababu na wametupia lawama zote kwa keyboard.
Inasemekana keyboard kwenye One UI 5.1 inakula chaji kuliko kawaida

Kuna yoyote anatumia One UI 5.1 humu?
 
mimi natumia boss
 
kwaiy tusitumie samsung keyboard sio?

Keyboard lazima uendelee kuitumia. Users walikuwa wanalamika kuwa Samsung keyboard inasababisha battery draining issues. Kumbe walikuwa sahihi. Sasahivi Samsung wame-confirm wao wenyewe.
Ila One UI 5.1 naona ni nzuri sana ukiachana na habari za battery draining
Screenshot_2023-04-16-18-18-26-122_com.android.chrome.jpg
 
Keyboard lazima uendelee kuitumia. Users walikuwa wanalamika kuwa Samsung keyboard inasababisha battery draining issues. Kumbe walikuwa sahihi. Sasahivi Samsung wame-confirm wao wenyewe.
Ila One UI 5.1 naona ni nzuri sana ukiachana na habari za battery draining View attachment 2590128
one ui 5 mwanang haina mpinzani
 
Kama unataka simu inayorekodi video za 4K kwenye kamera ya mbele basi hata Xiaomi achana nazo[emoji28][emoji28]
Mpaka leo nimeona simu moja tu ya China inayorekodi video za 4K kwenye kamera ya mbele, "Motorola Moto X40", Nyingine sizijui
Hadi leo hakuna Xiaomi inarekodi 4K video kwenye selfie camera, hata Xiaomi 13 Pro ni 1080p.
Labda Xiaomi 13 Ultra atakuja na 4K video recording kwenye selfie camera
Mwambie aje google pixel atapata 4k kwa kamera ya mbele
 
Xiaomi 13 Ultra
Hii simu inatoka kesho, Kiukweli nimeipenda hii design yake, Nina hamu Sana kujua specifications zake Ila kwa sasa ninachojua inakuja na 2K LTPO OLED panel ambayo imekuwa developed na Xiaomi na China Star. Inakuja na kioo chenye 1440×3200px resolution na maximum peak brightness ya 2600nits (yaani Karibia 1000nits zaidi ya S23 Ultra)

Display nahisi itakuwa curved ila chipset ni Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2 na software ni MIUI 14.
MIUI 14 sasahivi ipo very optimised na Xiaomi users wanasema ubora wa kamera uliongezeka walipo-update kufikia MIUI 14. Sasahivi kwenye MIUI 14 unaweza kufuta bloatware zote kasoro apps 8 tu.

Pia itakuja na kamera nne, zote ni 50MP na CEO Lei Jun amepost mara nyingi Sana kwenye Twitter kwamba Safari hii Xiaomi 13 Ultra inakuja na kamera ambayo itamshangaza kila mtu. Hata page za LEICA zimekuwa zikipost kuwa kuna suprise wameiandaa kwa Xiaomi fans. Sasa nasubiria nione

Pia tofauti na Xiaomi 12S Ultra mwaka Jana, hii ya mwaka huu itakuwa launched Globally.

Naona bei yake itakuwa ghali sana

gsmarena_003.jpg
 
MIUI 14 sasahivi ipo very optimised na users wansema ubora wa kamera uliongezeka walipo-update kufikia MIUI 14. Sasahivi kwenye MIUI 14 unaweza kufuta bloatware zote kasoro apps 8 tu.

Pia itakuja na kamera nne, zote ni 50MP na CEO Lei Jun amepost mara nyingi Sana kwenye Twitter kwamba Safari hii Xiaomi 13 Ultra inakuja na kamera ambayo itamshangaza kila mtu. Hata page za LEICA zimekuwa zikipost kuwa kuna suprise wameiandaa kwa Xiaomi fans. Sasa nasubiria nione

Pia tofauti na Xiaomi 12 S Ultra mwaka Jana, hii ya mwaka huu itakuwa launched Globally.

Naona bei yake itakuwa ghali sana

View attachment 2590858
watu wa iphone na samsung wanakupimia tu all in all hata watoe sim zinazoota miguu sidhan kam wanawawez kunifanya nikaachan na hawa wakorea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Mimi nimeghairi. Kamwe sitakuja kuachana na huyu Mchina
Kila nikijaribu kujiforce kupenda brand nyingine, nashindwa
 
kaka twende mbele turud nyuma xiaomi huwa wananishawishi sana ila nikifikiria samsung huwa naishiwa nguvu kabisa ase samsung ni simu tukiweka ushabiki pembeni
 
Yeah, Samsung ni simu nzuri sana
Ila binafsi naona Xiaomi ndio ina kila ninachokitaka.
Tukiweka ushabiki pembeni kampuni ya Samsung ipo vizuri zaidi ya Xiaomi kwenye upande wa smartphones
Ila tu nazipenda Xiaomi zaidi, hayo ni mapenzi yangu binafsi

Si umeona wewe huzipendi iPhone lakini kuna watu wengi huwaambii kitu kuhusu iPhone[emoji23][emoji23]
 
Xiaomi 13 Ultra
Hii simu inatoka kesho, Kiukweli nimeipenda hii design yake, Nina hamu Sana kujua specifications zake Ila kwa sasa ninachojua inakuja na 2K LTPO OLED panel ambayo imekuwa developed na Xiaomi na China Star. Inakuja na kioo chenye 1440×3200px resolution na maximum peak brightness ya 2600nits (yaani Karibia 1000nits zaidi ya S23 Ultra)

Display nahisi itakuwa curved ila chipset ni Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2 na software ni MIUI 14.
MIUI 14 sasahivi ipo very optimised na Xiaomi users wanasema ubora wa kamera uliongezeka walipo-update kufikia MIUI 14. Sasahivi kwenye MIUI 14 unaweza kufuta bloatware zote kasoro apps 8 tu.

Pia itakuja na kamera nne, zote ni 50MP na CEO Lei Jun amepost mara nyingi Sana kwenye Twitter kwamba Safari hii Xiaomi 13 Ultra inakuja na kamera ambayo itamshangaza kila mtu. Hata page za LEICA zimekuwa zikipost kuwa kuna suprise wameiandaa kwa Xiaomi fans. Sasa nasubiria nione

Pia tofauti na Xiaomi 12S Ultra mwaka Jana, hii ya mwaka huu itakuwa launched Globally.

Naona bei yake itakuwa ghali sana

View attachment 2590858

Sema kitengo cha design wanayumba sana.

Hii camera kama sinia ndio nini sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Imeshindikana kabisa kuifanya simu ionekane classic.
 
Hii design kwa sasa ndio inatumika kama identity ya Xiaomi (Ultra- series). Hata Xiaomi 12S Ultra ina big circular camera module
Kama unataka kuona design classic ambayo sio ya kamera kubwa kama hii subiria Xiaomi 14 Pro, itakuja na specifications kama za Xiaomi 13 Ultra lakini design yake haitakuwa kama hii. Mfano mzuri ni Xiaomi 13 Pro.

Mfano angalia hapa chini, Xiaomi 12S Ultra na Xiaomi 13 Pro. Zinafanana Sana kiuwezo na zina design tofauti, hizo zote mbili ni simu za mwaka jana. Xiaomi 12S Ultra ilikuja na kamera katika duara kubwa na Xiaomi 13 Pro ilikuja na design ya kawaida tu
Na mwaka huu Xiaomi anafuata mlolongo uleule
IMG_20230417_141217.jpg
IMG_20230417_141417.jpg

Ila hizo design zao zote Mimi nazipenda sana
 
Yeah, Samsung ni simu nzuri sana
Ila binafsi naona Xiaomi ndio ina kila ninachokitaka.
Tukiweka ushabiki pembeni kampuni ya Samsung ipo vizuri zaidi ya Xiaomi kwenye upande wa smartphones
Ila tu nazipenda Xiaomi zaidi, hayo ni mapenzi yangu binafsi

Si umeona wewe huzipendi iPhone lakini kuna watu wengi huwaambii kitu kuhusu iPhone[emoji23][emoji23]
ngoja waje wale jamaa manamba wa aifoni wakujie juu[emoji1787] mimi simo ila kwa upande wa android bado sijaona wa kusumbuana na hawa wakorea nisiwe mnafiki huawei alikuwa anakuja pazur ila hawa wengin hamn kitu brother huawei ana simu zinabonda picha sijapata kuona ninawez kusem ni tishio kwa camera ila bado akawa anavujana jasho kumtoa samsung kweny ubora wa simu pale kilelen ndio maan mm pixel nazion za kawaida sanaaa sabb anayofany saiv huawei kafany san hasa kweny camera na bado huawei anakupa software tamu sana na processor nzur ila ukienda kweny stats viwang vya sim bora utaona samsung wa kwanz kam sio sammy ni iphone sasa ujiuliz shida inakuwa wap kwa hawa wachina[emoji28]
 
Kutoa simu nzuri haina maana ni lazima uipite Samsung kimauzo
Kitendo cha Xiaomi kuwa next to Samsung ni dalili tosha kuwa hii kampuni ina simu nzuri
 
hata kimauzo boss ina maan bidhaa yako imekubalika na kuaminiwa sana mm sidhn kam bidhaa yako ni nzyr afu isiwe na soko zur maan malengo ya makampuni yote ni kupenya kweny soko na kufanya vzr sokon hat tukitoa kweny masoko kwa sim kwa ubora kwa ujumla naona samsung yuko juu sana upande wa android huawei alikuwa awatoe kimasomaso wachin vzr niliishika huawei p40 pro ase ni matatiz ni sim kali sana yan ukichukua googl pixel zote ukiiwek na ile huawei p40 pro bado naoan hawasogei na hat hiz oppo vivo naona bado kwa yule mwamba dah sijui kwann alifanyiwa unyama hv
 
kam huawei atarud kweny soko la dunia ninakuhakikishia hiz xiaomi tutazisahau mazima sabb wale ndio washindani asilia wa iphone na samsung had kweny ubora sio soko peke yake tu
 
Back
Top Bottom