Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

Kampuni kiujumla ni kweli Xiaomi is a young company ukizingatia imeanza mwaka 2010 tu. Lakini sio jambo la kawaida kwa kampuni iliyoanza 2010 kufikia hapo alipofikia Xiaomi.
Kampuni yao ni young ila inakuwa kwa kasi sana na inatoa competitive devices kushinda hata makampuni makubwa. Mfano Sony ni kampuni kubwa kuliko Xiaomi lakini Xiaomi anatoa simu kali kuliko Sony.
Huawei naye kwenye simu anapitwa na Xiaomi ila Huawei ni kampuni kubwa kuliko Xiaomi. Google Pixel zipo chini ya Xiaomi kwenye upande wa simu, ila Google ni kampuni kubwa kuliko Xiaomi.
Sawa Xiaomi ni young company ila isifike hatua ya kuiweka kundi moja na Infinix na Tecno.
Unalinganisha Xiaomi na makampuni wanayotengeneza phones kama side hustle?

Google, Sony na Huawei wanatengeneza simu kama side projects.

Core business ya Google ni search engine.
Core business ya Sony ni home appliances.
Core business ya Huawei ni network instruments kama Nokia na Siemens.

They are never serious na mobile divisions.
 
Hata ukilinganisha Xiaomi na kampuni zote za simu duniani, utakuja kuona ni Apple na Samsung tu ndio wapo juu yake
 
Saikoloj ya Marketing, Samsung yupo juu zaidi. Samsung anampa mteja kile anachotaka.

Hivi unajisikia unachoongea, apple kabla haja lunch steve jobs alienda kumchek Jamaa wa LV-Luis Vuitton ambayo ni luxurious brand akakopy some pages za business kutoka kule

anyway naona itachukua mda bure
 
Apple anamzidi nani ubora?

anamzidi Samsung, atakaebisha na abishe ila apple hawauzi tu simu wanauza na feeling.

Wameizingatia Psychiographic factor kwenye soko, uliza kwanini watu wananunua Sketchers Mcity wakati k/koo kuna maviatu kibao bei rahisi na imara.

Watu hawanunui iphone tu kwa ajili ya functionality, watu wananunua feeling. Ndio watu wa hivyo wako superficial and shallow lakini haijalishi yeye ndio anauza hivyo.

Considering dunia ina wajinga wengi kuliko welevu. Haileti maana ukisema nauzia simu yangu tech savvy individuals... halafu hao wako wachache ila tiktokers wako wengi hawana akili ila ndio wateja hao.

That’s how business works
 
The thing is binadamu Huwa tunaamini kile tunachokitumia ni Bora kuliko tusichokitumia. ndio maana hata ukimleta mtu anatumia Vits ataitetea sana hata kama Yuko na mtu anatumia Range Rover. Mimi siwalaumu kwasababu matakwa ya matumizi yake yako kwenye hicho anachokitumia au instilled notion inayokuwa ndani ya kichwa chake.

Apple siku zote wamekuwa hawatarget lower market kwenye products zao na ndio maana vitu vyao siku zote vimekuwa of the highest prices. Yes wanauza feeling, wanauza status, wanauza prestige that's what they have invested in, pamoja na watu kutopenda lakini that's the truth na ndio maana ilichukua muda mrefu kwa Apple kuingia kwa nchi maskini kama za kwetu na mpaka Leo hii Bado unaweza kuwa na Samsung S23 Ultra halafu mtu ana Iphone 13 pro halafu mkitoa simu mwenye Iphone will be looked different. Hili ni eneo ambalo Apple wamefanikiwa sana. Do you know that hata kwenye movies Apple wana ka unwritten code kwamba villain wa movie hawezi kutumia simu zao?

Hata hivyo Bado issue ya Tech Iko complicated sana kwa maana ya kuchange every now and then. Tukiwahi kuwa na simu zilizokuwa zinatengenezwa na RIM (Blackberry) ambazo zilikuwa na prestige ya Apple aliyonayo Sasa but ikafa. Tuliwahi kuwa na Nokia as the leading mobile phones in the world kwa maana ya tech na durability lakini Leo wanazidiwa mpaka na Tecno. Tumewahi kuwa na kina Siemens, Huawei, Motorola, Philips na mengineyo kama makampuni makubwa kwenye mobile phones lakini Leo wanasuasua achana na Sony ambao hawajawahi kuwa serious kwenye eneo Hilo.

Mwisho wa siku ni kwamba hapa Kila mtu ataona alichonacho ni Bora kuliko vingine and that's human nature so sishangai Wala siwezi kumbezq mtu kwa Hilo.
 
Hiy ni kwa mujibu wako mawazo yako sio ya mtu mwingin yoyot mm binafsi siwez kutumia iphone na sio kwamb siwez kununua saiv iphone 12 pro max unaipata had kwa milion 1 na laki 5 kwa hii bei nitachukua s21 ultra na nitapata kamera matata sana plus zooming na kioo laini dynamic amoled plus wireless charge sio hiz sim zenu za wanawake
 
Nadhani sehemu ya maana ambayo Apple amemwacha Samsung ni software. Hilo sikatai na ndio kateka mioyo ya watu kupitia hiyo iOS effect.

Lakini simu sio User Interface pekee. Kuna kundi la watu watavutiwa na hiyo iOS kama mimi, lakini kuna wengine hawatovutiwa nayo. Unazungumzia vipi watu wanaotaka software nzuri ila wanahitaji freedom? Nadhani option inayofuata hapo ni Samsung. Hiyo iOS ni software nzuri lakini inamnyima mtumiaji uhuru wa kufanya vitu vingi kwa kisingizio cha security ndio maana sio wote wataielewa.

Samsung anaongoza kwa kuwa na display nzuri, pia kamera zake zinazoom kuliko za iPhone, software yake ni nzuri na haina limitations za ajabu-ajabu, Samsung pia ni wabunifu kwenye design, hao iPhone tangu 2019 hadi leo design zao zinafanana-fanana tu. Bado kuna feature ya Samsung DeX kwenye flagship zao za sikuhizi, Kuna mambo mengi sana yanaweza kusababisha watu kuipa credit Samsung kuliko hizo iPhones licha ya kuwa na software nzuri.

Mfano kwenye hii website, katika kura 4000 zilizopigwa kati ya kuchagua latest iPhone na latest Samsung, watu zaidi ya 3000 walichagua Samsung.
Screenshot_20230327-141832~2.jpg

Kiufupi Apple ni nzuri ila sio bora kuliko Samsung.
 
Hiy ni kwa mujibu wako mawazo yako sio ya mtu mwingin yoyot mm binafsi siwez kutumia iphone na sio kwamb siwez kununua saiv iphone 12 pro max unaipata had kwa milion 1 na laki 5 kwa hii bei nitachukua s21 ultra na nitapata kamera matata sana plus zooming na kioo laini dynamic amoled plus wireless charge sio hiz sim zenu za wanawake

Sentence yako ya mwisho inaonyesha uwezo wako wa kufikiri kuwa makini.
 
The thing is binadamu Huwa tunaamini kile tunachokitumia ni Bora kuliko tusichokitumia. ndio maana hata ukimleta mtu anatumia Vits ataitetea sana hata kama Yuko na mtu anatumia Range Rover. Mimi siwalaumu kwasababu matakwa ya matumizi yake yako kwenye hicho anachokitumia au instilled notion inayokuwa ndani ya kichwa chake.

Apple siku zote wamekuwa hawatarget lower market kwenye products zao na ndio maana vitu vyao siku zote vimekuwa of the highest prices. Yes wanauza feeling, wanauza status, wanauza prestige that's what they have invested in, pamoja na watu kutopenda lakini that's the truth na ndio maana ilichukua muda mrefu kwa Apple kuingia kwa nchi maskini kama za kwetu na mpaka Leo hii Bado unaweza kuwa na Samsung S23 Ultra halafu mtu ana Iphone 13 pro halafu mkitoa simu mwenye Iphone will be looked different. Hili ni eneo ambalo Apple wamefanikiwa sana. Do you know that hata kwenye movies Apple wana ka unwritten code kwamba villain wa movie hawezi kutumia simu zao?

Hata hivyo Bado issue ya Tech Iko complicated sana kwa maana ya kuchange every now and then. Tukiwahi kuwa na simu zilizokuwa zinatengenezwa na RIM (Blackberry) ambazo zilikuwa na prestige ya Apple aliyonayo Sasa but ikafa. Tuliwahi kuwa na Nokia as the leading mobile phones in the world kwa maana ya tech na durability lakini Leo wanazidiwa mpaka na Tecno. Tumewahi kuwa na kina Siemens, Huawei, Motorola, Philips na mengineyo kama makampuni makubwa kwenye mobile phones lakini Leo wanasuasua achana na Sony ambao hawajawahi kuwa serious kwenye eneo Hilo.

Mwisho wa siku ni kwamba hapa Kila mtu ataona alichonacho ni Bora kuliko vingine and that's human nature so sishangai Wala siwezi kumbezq mtu kwa Hilo.
Usituminishe ujinga sisi si ndo vijana wa iphone bhan kwa kupend kujipa maujik hamjambo labda uko wenu watashanga ukiyumia iphone ila huku dar siku hiz iphone wantumia ving'asti midananda na wale wazee wa vizinga wanaopenda offer iphone kwa dar huku zimekuwa kama tecno[emoji1787] hiy sim haina credibility kwa sisi tunaojua sim na kuzifuatilia sio wafuata mikumbo tunajua tunaondok na sim gan tukifik dukan hata vijana wa pixel hapa watakubaliana na mm iphone hamn kitu siku mmebaki kujisifia tuu
 
I mean sales na pia ubora wa devices zao (simu) Xiaomi yupo chini ya Apple na Samsung tu, basi, kwenye mauzo na ubora wa simu pia.
Unalinganisha sales za flagships na low end phones?

When it comes to quality xiaomi hana ubavu wa kupindua kwa brands nyingi sana.

Google pixel
Asus zenphone

Pamoja na samsung kutengeneza mid range ila zina ubora wa hali ya juu kuliko xiaomi.
 
Sentence yako ya mwisho inaonyesha uwezo wako wa kufikiri kuwa makini.
Niwe makini na nini ww unanitisha ww ni kichaa nini unataka mawaz yako yakubaliwe hiz sim ni za wanawak na ni simu ya ndoto kwa mwanamk yoyot yule ukatae ukubali
 
Unalinganisha sales za flagships na low end phones?

When it comes to quality xiaomi hana ubavu wa kupindua kwa brands nyingi sana.

Google pixel
Asus zenphone

Pamoja na samsung kutengeneza mid range ila zina ubora wa hali ya juu kuliko xiaomi.
Xiaomi 13 Pro ni nzuri kuliko Google Pixel 7 Pro
Asus Zenfone zimebase kwenye performance tu, huku kwingine wanaharibu.
Simu za chini za Xiaomi ni Redmi, simu zao premium ndio Xiaomi series/ Mi series

Hizo Asus hazipaswi kufananishwa na Xiaomi, huwa unapenda sana ku-underestimate Xiaomi ila in reality haiko hivyo.

Asus inapaswa kushindanishwa na branch ya Xiaomi inayoitwa " Xiaomi Black shark". Ila Xiaomi series can never be compared to Asus Zenfone in any way.
Google Pixel ukitoa kamera hamna cha maana kumtisha Xiaomi ndio maana flagship za Google Pixel zina bei rahisi. Wamefocus kwenye software na camera tu.
 
Nadhani sehemu ya maana ambayo Apple amemwacha Samsung ni software. Hilo sikatai na ndio kateka mioyo ya watu kupitia hiyo iOS effect.

Lakini simu sio User Interface pekee. Kuna kundi la watu watavutiwa na hiyo iOS kama mimi, lakini kuna wengine hawatovutiwa nayo. Unazungumzia vipi watu wanaotaka software nzuri ila wanahitaji freedom? Nadhani option inayofuata hapo ni Samsung. Hiyo iOS ni software nzuri lakini inamnyima mtumiaji uhuru wa kufanya vitu vingi kwa kisingizio cha security ndio maana sio wote wataielewa.

Samsung anaongoza kwa kuwa na display nzuri, pia kamera zake zinazoom kuliko za iPhone, software yake ni nzuri na haina limitations za ajabu-ajabu, Samsung pia ni wabunifu kwenye design, hao iPhone tangu 2019 hadi leo design zao zinafanana-fanana tu. Bado kuna feature ya Samsung DeX kwenye flagship zao za sikuhizi, Kuna mambo mengi sana yanaweza kusababisha watu kuipa credit Samsung kuliko hizo iPhones licha ya kuwa na software nzuri.

Mfano kwenye hii website, katika kura 4000 zilizopigwa kati ya kuchagua latest iPhone na latest Samsung, watu zaidi ya 3000 walichagua Samsung.View attachment 2567561

Kiufupi Apple ni nzuri ila sio bora kuliko Samsung.
Boss bora umesaidia unajua kuna watu wana akil za kishamba sana yan kwa zam hiz mtu akiongelea iphone namuona mshamba ukienda uko india nchi za asia kuna nchi iphone hawazitumii kabisa wala hawana shobo nazo wamebaki wale wazee wa kukariri yani iphone 14 pro max na samsung s22 ultra mm nachukua sammy s22 ultra ninajua ni sabb gani ninachukua hiy simu
 
Xiaomi 13 Pro ni nzuri kuliko Google Pixel 7 Pro
Asus Zenfone zimebase kwenye performance tu, huku kwingine wanaharibu.
Simu za chini za Xiaomi ni Redmi, simu zao premium ndio Xiaomi series/ Mi series

Hizo Asus hazipaswi kufananishwa na Xiaomi, huwa unapenda sana ku-underestimate Xiaomi ila in reality haiko hivyo.

Asus inapaswa kushindanishwa na branch ya Xiaomi inayoitwa " Xiaomi Black shark". Ila Xiaomi series can never be compared to Asus Zenfone in any way.
Google Pixel ukitoa kamera hamna cha maana kumtisha Xiaomi ndio maana flagship za Google Pixel zina bei rahisi. Wamefocus kwenye software na camera tu.
Pixel hata ile stock android yao ni jau sana ase nimetumia pixel 4 plain ile
 
Nadhani sehemu ya maana ambayo Apple amemwacha Samsung ni software. Hilo sikatai na ndio kateka mioyo ya watu kupitia hiyo iOS effect.

Lakini simu sio User Interface pekee. Kuna kundi la watu watavutiwa na hiyo iOS kama mimi, lakini kuna wengine hawatovutiwa nayo. Unazungumzia vipi watu wanaotaka software nzuri ila wanahitaji freedom? Nadhani option inayofuata hapo ni Samsung. Hiyo iOS ni software nzuri lakini inamnyima mtumiaji uhuru wa kufanya vitu vingi kwa kisingizio cha security ndio maana sio wote wataielewa.

Samsung anaongoza kwa kuwa na display nzuri, pia kamera zake zinazoom kuliko za iPhone, software yake ni nzuri na haina limitations za ajabu-ajabu, Samsung pia ni wabunifu kwenye design, hao iPhone tangu 2019 hadi leo design zao zinafanana-fanana tu. Bado kuna feature ya Samsung DeX kwenye flagship zao za sikuhizi, Kuna mambo mengi sana yanaweza kusababisha watu kuipa credit Samsung kuliko hizo iPhones licha ya kuwa na software nzuri.

Mfano kwenye hii website, katika kura 4000 zilizopigwa kati ya kuchagua latest iPhone na latest Samsung, watu zaidi ya 3000 walichagua Samsung.View attachment 2567561

Kiufupi Apple ni nzuri ila sio bora kuliko Samsung.
Yani ukiangalia tu hapa utajua samsung inatumika sana ujaenda uko amerika ya kusini ujaenda asia ujaja afrika na south africa ndo samsung inauzwa kwa wingi yan inashika namba moja inafuatiwa huawei na apple nafas ya tatu ila bado mtu anakaza fuvu
 
The thing is binadamu Huwa tunaamini kile tunachokitumia ni Bora kuliko tusichokitumia. ndio maana hata ukimleta mtu anatumia Vits ataitetea sana hata kama Yuko na mtu anatumia Range Rover. Mimi siwalaumu kwasababu matakwa ya matumizi yake yako kwenye hicho anachokitumia au instilled notion inayokuwa ndani ya kichwa chake.

Apple siku zote wamekuwa hawatarget lower market kwenye products zao na ndio maana vitu vyao siku zote vimekuwa of the highest prices. Yes wanauza feeling, wanauza status, wanauza prestige that's what they have invested in, pamoja na watu kutopenda lakini that's the truth na ndio maana ilichukua muda mrefu kwa Apple kuingia kwa nchi maskini kama za kwetu na mpaka Leo hii Bado unaweza kuwa na Samsung S23 Ultra halafu mtu ana Iphone 13 pro halafu mkitoa simu mwenye Iphone will be looked different. Hili ni eneo ambalo Apple wamefanikiwa sana. Do you know that hata kwenye movies Apple wana ka unwritten code kwamba villain wa movie hawezi kutumia simu zao?

Hata hivyo Bado issue ya Tech Iko complicated sana kwa maana ya kuchange every now and then. Tukiwahi kuwa na simu zilizokuwa zinatengenezwa na RIM (Blackberry) ambazo zilikuwa na prestige ya Apple aliyonayo Sasa but ikafa. Tuliwahi kuwa na Nokia as the leading mobile phones in the world kwa maana ya tech na durability lakini Leo wanazidiwa mpaka na Tecno. Tumewahi kuwa na kina Siemens, Huawei, Motorola, Philips na mengineyo kama makampuni makubwa kwenye mobile phones lakini Leo wanasuasua achana na Sony ambao hawajawahi kuwa serious kwenye eneo Hilo.

Mwisho wa siku ni kwamba hapa Kila mtu ataona alichonacho ni Bora kuliko vingine and that's human nature so sishangai Wala siwezi kumbezq mtu kwa Hilo.

Maelezo mazuri, Smart. Ila i have to say kila mtu ana matumizi yake.

Kwa mimi ntasema Android ni work phone ambayo ni Samsung tena note japo sku hizi sio note tena, sababu kubwa ni productivity features na seamless intergration na window.

Natumia sana excel kwahiyo Android & window.

sababu ya kutumia iPhone, Natumia iOS sababu ya interface yake kiujumla iko tofauti kuanzia whatsapp, email and notes.

Hahah nkiangalia hapa ndio naona hamna strong reason ya kutumia iphone [emoji1787].

iPhone wezi
 
Pixel hata ile stock android yao ni jau sana ase nimetumia pixel 4 plain ile
Hata mimi siipendi aisee. Mwonekano wake tu ni cheap sana, pia inakosa features nyingi ambazo wenzake wanazo.
Pixel UI inakuwa considered kuwa ni nzuri kwa sababu ni clean, haina bloatware, ni light pia kwenye optimisation ipo vizuri sana.
Ila binafsi sijaipenda, haiwezekani mtu utoe 1milion and above halafu unapata software isiyo na features.
Hii ni Google Pixel 7 Pro
Screenshot_20230326-121629~2.jpg
 
Back
Top Bottom