jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 4,655
- 12,017
Inawezekana hajapata fursa ya kutumia brand kubwa duniani hivyo hajui taste yake ilivyo ndo anakuwa mbishi na chawaKumbe unamsomaga eeh?
Inawezekana hajapata fursa ya kutumia brand kubwa duniani hivyo hajui taste yake ilivyo ndo anakuwa mbishi na chawaKumbe unamsomaga eeh?
Nauza simu jumla na rejareja so kama unapigwa funguka nikupe chimboHivi hizi bei zako unazitoleaga wapi[emoji38][emoji38]
A04e utapata 210k 3/32gb onja msisimko usahau chinese mchongoNever
Huko kuna wauzaji kama mimi tena wa rejareja usikaririNikitaka simu nitanunua AliExpress
Hakuna haja ya kutangaza biashara yako kwangu
Mimi naamini kwa sababu Samsung bei zake ni rafiki na zina ubora wa juu.Hiyo ya Tanzania itafanya watu wasiamini takwimu zote
Huwezi niambia Samsung anamzidi tecno au infinix
Sio nzurGoogle pixel hawawez afford au hazijajibrand?
Hapo wametest chipset, simu sio performance pekee..... kuna vitu vya mhimu kama display, ui, camera, battery na design havijatestiwa hapoKwa hiyo na gsmarena ni machawaView attachment 2566547View attachment 2566548
Kwenye hiyo aya ya tatu nadhani ulikuwa unamaanisha Apple na sio GoogleKulikuwa na mjadala hapa wa either baadhi ya makampuni kutegemea patents kutoka kwa mwingine. Ngoja nitoe mfano kidogo hasa kwenye Processor (CPU)
Kwenye kuunda simu Kuna stage mbalimbali lakini Kila stage inabebwa na design ya owner wa simu husika. Yaani Kila kampuni InDesign simu halafu baada ya kudesign kwenye manufacturing ndio anatoa tender kwa makampuni mengine Ili either yafanye supply au yamtengenezee kulingana na design yake. Sasa hii inatokana na baadhi ya makampuni kutoona umuhimu wa ku monopolize Kila kitu wenyewe.
Mfano google wanatumia Processor Yao ya A series (Sasa hivi wako 16 series nadhani) so wanapotengeneza simu mpya wanadesign na hiyo processor halafu wanampa design na specification manufactures (zamaani walikuwa ni Samsung na TCMS) lakini Sasa hivi wanafanya kazi na TCMS tu. Sasa wanawapa Hawa kwasababu wana vitengo hivi na wanapewa kama contractors sio owners.
Sasa Kuna makampuni mengine ambao wao hawahangaiki kufanya design wao wanaangalia tu Sasa hivi Qualcom au mediatek wametoa chip Gani inayoendana na simu wanayoitengeneza then wanawapa tenda ya kussuply.
Kuna makampuni machache sana ambao wanadesign na kutengeneza processor zao wenyewe (Mfano Samsung ambao wana Exynos au Huawei wenye Kirin) ingawa Samsung nao pamoja na kuwa na ya kwao Kuna wakati wanatumia chip za mediatek hasa kwenye baadhi ya simu za A series na Sasa wanatumia Snapdragon kwenye Galaxy S23.
Kama Google pia wana Processor Yao wanaita Google Tensor ambayo wameanza kutumia kuanzia Pixel 6 series na Sasa 7. Wao wanadesign then wanampa Samsung tenda ya kufyatua.
Yes mzee dahKwenye hiyo aya ya tatu nadhani ulikuwa unamaanisha Apple na sio Google
Nimeona UI ya screeshot yako kam sony au vivo hjyo?Design ipi
Yani kiukwel nimeangaik na hiz devices sana nilitok kutumia s8 nikasem ngoj nibadili nikahamia oppo reno 4 nikaon hamn kil kitu nikaj kutumia pixel 4 plain nikachok nikavuta A53 sammy ile sim inagonga picha sio kawaida nimenogewa nikakutan na samsung s21 FE hapa ndio mwish wa matatizo ikabid niongez hela nitoe na hiy A53 nipate s21FE ni mashine ya kazi hata hiy A53 na yenyew ina mambo matam mno kioo kizur sanaa kamera usionge touch yake ni laini sipat pich ingewekwa snapdragon badal ya exynos kiukwel samsung zina uraibu hasa wa vioo ukizitumia hiz sim dizain fulan unaon sim zingin vioo vyake hovyoGalaxy a03 ni 220k, fanya utumie japo galaxy yoyote kwa week tu utahama huko kwenye michongo
Yani kiukwel nimeangaik na hiz devices sana nilitok kutumia s8 nikasem ngoj nibadili nikahamia oppo reno 4 nikaon hamn kil kitu nikaj kutumia pixel 4 plain nikachok nikavuta A53 sammy ile sim inagonga picha sio kawaida nimenogewa nikakutan na samsung s21 FE hapa ndio mwish wa matatizo ikabid niongez hela nitoe na hiy A53 nipate s21FE ni mashine ya kazi hata hiy A53 na yenyew ina mambo matam mno kioo kizur sanaa kamera usionge touch yake ni laini sipat pich ingewekwa snapdragon badal ya exynos kiukwel samsung zina uraibu hasa wa vioo ukizitumia hiz sim dizain fulan unaon sim zingin vioo vyake hovyo
Samsung ni simu nzuri sana. Lakini hizi A03 series na A04 series nazionaga ovyo. Ni vizuri kununua Samsung za kati kwenda juu. Huku chini hakunivutii. Hizo Galaxy A53 zinamake sense na zina hadhi ya kuitwa Samsung ila hizi A13, A03, A04 na wenzake sidhaniYani kiukwel nimeangaik na hiz devices sana nilitok kutumia s8 nikasem ngoj nibadili nikahamia oppo reno 4 nikaon hamn kil kitu nikaj kutumia pixel 4 plain nikachok nikavuta A53 sammy ile sim inagonga picha sio kawaida nimenogewa nikakutan na samsung s21 FE hapa ndio mwish wa matatizo ikabid niongez hela nitoe na hiy A53 nipate s21FE ni mashine ya kazi hata hiy A53 na yenyew ina mambo matam mno kioo kizur sanaa kamera usionge touch yake ni laini sipat pich ingewekwa snapdragon badal ya exynos kiukwel samsung zina uraibu hasa wa vioo ukizitumia hiz sim dizain fulan unaon sim zingin vioo vyake hovyo