Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

Samsung ni simu nzuri sana tatizo ni ukiwa nchi za ulaya na marekani utaiona Samsung kama infinix [emoji3]

Mitaani kwenye makundi ya watu pisi kali ni iPhone tu hadi unashindwa kuelewa nini tatizo?

Angalia hata viongozi wakubwa na watu maarufu wa huko duniani ni iPhone tu

Nakumbuka fainal ya Africa Egypt na Senegal,,,, Senegal walipotwaa ubingwa nilishangaa kwenye lile shangwe la wachezaji wote walikua na iPhone aiseee

Samsung,oppo,xiaomi nk wameteka soko la Asia,Africa kwa sana

Natumia Samsung pia nampango wa kuvuta pixels 8 ikitoka ila iPhone aisee ni zaidi ya simu hiii kauli utaielewa siku ukienda nchi za watu
 
iPhone ni simu ambazo unatakiwa kuziweka kwenye wishlist. Itabidi hata mara moja uitumie upate ladha ya tofauti na Android
Pia Samsung amepenya hadi USA. Kwa Marekani, Canada, Australia, Ujerumani, Ulaya yote na duniani kiujumla namba moja ni Apple na inayofuatia ni Samsung
 
Watu wengi wenye Samsung wanatumia iPhone kama changuo la kwanza,,, sema kuna mazingira kumwelewesha mtu ni ngumu sana

Ukienda kwenye matamasha yao kumkuta mtu kashika Samsung ni ngumu sana uko ni iPhone 7++ ni nyingi sana

Tatizo bongo tunatumia iPhone kama ufahari hatujui kwamba android ndio anaongoza kwa simu zake kua na bei za juu

Haya makahaba ndio kila limoja lazma ulikute na iPhone [emoji1787] aiseee

Samsung akae kwa tahadhari Xiaomi moto wake sio poa
 
Samsung ni simu nzuri sana tatizo ni ukiwa nchi za ulaya na marekani utaiona Samsung kama infinix [emoji3]

Mitaani kwenye makundi ya watu pisi kali ni iPhone tu hadi unashindwa kuelewa nini tatizo?

Angalia hata viongozi wakubwa na watu maarufu wa huko duniani ni iPhone tu

Nakumbuka fainal ya Africa Egypt na Senegal,,,, Senegal walipotwaa ubingwa nilishangaa kwenye lile shangwe la wachezaji wote walikua na iPhone aiseee

Samsung,oppo,xiaomi nk wameteka soko la Asia,Africa kwa sana

Natumia Samsung pia nampango wa kuvuta pixels 8 ikitoka ila iPhone aisee ni zaidi ya simu hiii kauli utaielewa siku ukienda nchi za watu
Boss usikariri kuna viongoz mashuhuru weng wanatumia samsung sema ni ule ushamba wa kibongo kwa kutumia iphone ndio ujion mataw wakat kuna nchi ambaz hawana hat muda naz na soko lak kwa hiz nchi ni gumu msikaririshwe jaman kuna nch ukiend samsung inapendwa kuna sehem iphon inapendwa ila huku bongo uzabi zabina mwingi unaona ukitumia iphon utaonekan una hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kama uende uko india utawaambia nini juu ya xiaomi hatak hay masim ya kukaririshwa na ni moja taifa leny nguv duniani kwann sisi wabongo wapenda sifa na ushamba wetu mwing ila tunajion ni wajanja tunaziona iphone ni sim ndio maan kuna wadau huku nawashangaa nataman hat niwaone live[emoji1787]
 
Watu wengi wenye Samsung wanatumia iPhone kama changuo la kwanza,,, sema kuna mazingira kumwelewesha mtu ni ngumu sana

Ukienda kwenye matamasha yao kumkuta mtu kashika Samsung ni ngumu sana uko ni iPhone 7++ ni nyingi sana

Tatizo bongo tunatumia iPhone kama ufahari hatujui kwamba android ndio anaongoza kwa simu zake kua na bei za juu

Haya makahaba ndio kila limoja lazma ulikute na iPhone [emoji1787] aiseee

Samsung akae kwa tahadhari Xiaomi moto wake sio poa
Xiaomi yuko vzr huy sijawah kumpinga hat dakik na nina mpang natak niivute moja sem natak xiaomi ya kibabe sana ili nienjoy ila iphone ili nifanane tu na madada du wa mjin hapana ase
 
Na xiaomi akitak aingie kweny mpamban mzur na samsung inabid afany kaz ya ziada hasa kweny software hapo ndipo uchaw ulipo ujiuliz kwann pixel hawn mambo mengi ila **** wadau huwaambii kitu humu ndani ya juu y pixel xiaom anakazana sana hardware kweny software anawaachia wengin ndip anapigwa ngwara nimeona stats ya sales za sim ya mwaka jana 2022 ya india mahal ambapo soko la xiaom lilishika miziz nimeona samsung ameongoz kwa mauzo mwaka jan kwa mara ya kwanz baad ya miak mitano xiaomi tu amekuwa akiongoz soko la india sasa samsung amejua wahind pia wanapenda nin nadhan akapita na hilo gepu na hil swala la samsung kupata android update mara nne kwa sio zao kuanzia midrange limekaa kimkakati sana hapo lazim watu waumizwe
 
Kama sikosei Samsung alimpita Xiaomi kwenye quarter moja ila overall I mean all four quarters bado Xiaomi alibaki juu nchini India
 
Xiaomi yuko vzr huy sijawah kumpinga hat dakik na nina mpang natak niivute moja sem natak xiaomi ya kibabe sana ili nienjoy ila iphone ili nifanane tu na madada du wa mjin hapana ase
Unazichukia sana iPhone, sijui shida nini [emoji23][emoji23]
 
Kaka sijawah kuwaelew hapa ninatumia s21 FE hii simu ni tamu asikuambie mtu kuanzia muonekano had kioo na software sina haja ya kuisifia itafute afu uiangalie imetok tu mwaka jana au juzi kwakwel iko perfect na vile unavyojua samsung ikiwa na snapdragon huwa ni uchawi
 
Kama sikosei Samsung alimpita Xiaomi kwenye quarter moja ila overall I mean all four quarters bado Xiaomi alibaki juu nchini India
Hiii data naikubali sana xiaomi india katek mno sammy wanashik nafas ya pil kam sikosei mpak mwaka jana ila uko india wadau hawazipend iphone sijui kwann
 
Afu india kule ma techinician na smartphone reviwer ni wengi watu hawakaririshwi kwa brand wanaangalia mashine za kazi
 
Pia Wahindi wanapenda sana gaming ndio maana wanatafuta midrange zenye performance kubwa, strong GPU n.k kwa bei inayoeleweka
Ndio maana Xiaomi ameteka sana huko, na Samsung pia baada ya kuamua kujiingiza kwenye kutengeneza midrange zenye high performance at reasonable prices
 
Si unaona sasa ukiwaambia hiv wat wa aifoni wanasem una chuki [emoji1787] wakat wenzao wananunua sim za kufanyia kaz wao wananunua kam mapambo
 
Nimeom review ya speedtest moja youtube anaipambanish xiaomi 13 pro na iphone 14 pro max sem za ukwel xiaomi kweny spidi ya kufungua files ni moto wa kuotea mbali kuna baadhi ya gem aifoni alikuwa anapelekewa moto
 
Boss usikariri kuna viongoz mashuhuru weng wanatumia samsung sema ni ule ushamba wa kibongo kwa kutumia iphone ndio ujion mataw wakat kuna nchi ambaz hawana hat muda naz na soko lak kwa hiz nchi ni gumu msikaririshwe jaman kuna nch ukiend samsung inapendwa kuna sehem iphon inapendwa ila huku bongo uzabi zabina mwingi unaona ukitumia iphon utaonekan una hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3] Kiongozi nitajie hizo nchi ambazo Samsung yuko juu ya iPhone?

Usizichukie iPhone, iPhone ni brand kubwa sana kijana bado haijapata mpinzani leo na miaka 100 mbele
 
Hakuna tofauti kati ya bongo na India kimaisha

Usiweke ligi na iPhone kijana utaumia mapafu
Screenshot_20230328-175731_Samsung Internet.jpg
natumia Samsung Samsung ila iPhone ni maschine🤣
Ni kama uende uko india utawaambia nini juu ya xiaomi hatak hay masim ya kukaririshwa na ni moja taifa leny nguv duniani kwann sisi wabongo wapenda sifa na ushamba wetu mwing ila tunajion ni wajanja tunaziona iphone ni sim ndio maan kuna wadau huku nawashangaa nataman hat niwaone live[emoji1787]
 
[emoji3][emoji3] Kiongozi nitajie hizo nchi ambazo Samsung yuko juu ya iPhone?

Usizichukie iPhone, iPhone ni brand kubwa sana kijana bado haijapata mpinzani leo na miaka 100 mbele
South Korea na India, Samsung yupo juu ya Apple
Ingawa ni kweli iPhone haitakiwi kushushwa. Kwenye nchi nyingi za first world, Apple yupo juu ya Samsung.
 
Back
Top Bottom