jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 4,655
- 12,017
Ngoja nikusanue uzuri wa samsung upo kwanza software yao ni makini sana ONE UI is the best for android, pili display, samsung ni king of display bila kuangalia ni amoled au pls&lcd unapata display value for money na battery inatosha charge once per day.... kwa hayo machache ukizoea samsung hutapenda hizo brand za mchongo, sijatumia iphone hivyo kwa iphone no commentSamsung ni simu nzuri sana. Lakini hizi A03 series na A04 series nazionaga ovyo. Ni vizuri kununua Samsung za kati kwenda juu. Huku chini hakunivutii. Hizo Galaxy A53 zinamake sense na zina hadhi ya kuitwa Samsung ila hizi A13, A03, A04 na wenzake sidhani