Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

Galaxy A13 inauzwa 320k bei ya jumla na rejareja utapata kwa 350k-400k
Samsung Galaxy A13 inatumia very weak chipset "Samsung Exynos 850". Sluggish performance [emoji706][emoji706]
Kwa laki 3 na elfu 20, unapata Xiaomi zenye uwezo karibu mara 3 ya hiyo Galaxy A13
Xiaomi Poco M5..... MediaTek Helio G99
Xiaomi Redmi Note 10 5G...... MediaTek Dimensity 700
Xiaomi Redmi 10... MediaTek Helio G88
 
Nibora nichukue galaxy a14 kuliko hiyo redmi 10c, ntapata kioo kizuuri, battery nzuri, design kali, kamera bombaaa nk. Kwa 350k-400k kuliko kubeba mchina wa mchongo
A14 ni nzur sana nimeona kana camera bomba sana kioo chake pia ni kizuri sio amoled ila kinavutia kiko kama cha A23 then utapata two years update OS plus security 3 years had android ya 15 guarantee unapata ni simu gani ya low budget unawez kupata update mara 2? Bado sijaona ase hiz ila ukipata version ya A14 5G hapa umepatia maisha ina kioo laini mno iko faster na isitoshe utapata android had ya 16 bila ubabaishaji
 
Unaweza kuniambia hii imekaaje
Screenshot_20230326_143751_Chrome.jpg
 
A14 ni nzur sana nimeona kana camera bomba sana kioo chake pia ni kizuri sio amoled ila kinavutia kiko kama cha A23 then utapata two years update OS plus security 3 years had android ya 15 guarantee unapata ni simu gani ya low budget unawez kupata update mara 2? Bado sijaona ase hiz ila ukipata version ya A14 5G hapa umepatia maisha ina kioo laini mno iko faster na isitoshe utapata android had ya 16 bila ubabaishaji
Mi naona kuliko ununue Samsung Galaxy A14 ni heri uongeze hela kidogo ununue Samsung Galaxy A14 5G. Hii naona inamake sense
Screenshot_20230326-144117.jpg
 
Kumbe unamsomaga eeh?
Naona ni heri sasahivi tuwe tunaongelea devices kuliko kuanza kusoma tabia za watu humu ndani.
Nadhani ingependeza ikiwa hivyo[emoji187]
 
Back
Top Bottom