Na hiyo attention haikuja tu kirahisi, ofkoz jamaa simu zao ni nzuri zaidi.Ndio maana Xiaomi hataki kuinvest kwenye simu zake nchini Marekani na Canada, ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu
Huko Samsung na Apple zimeshapewa Attention na watumiaji

Xiaomi hapaswi kuwekwa kundi moja na Tecno na Infinix. Dunia nzima, Xiaomi yupo chini ya Samsung na Apple tu kwenye issue ya smartphones. Wengine wote wapo chini ya Xiaomi.Huko watu wanajielewa kaka, huwezi kusikia uchafu wa tecno, infinix na kaka yao mkubwa xiaomi.
Ni kweli ulichosema lakini pia ni kosa xiomi kumlinganisha na samsung au apple kuanzia ukubwa wa kampuni, nguvu kazi, bidhaa, masoko, tafiti, mtaji nk. Xiomi ni mtoto kwa hao wababe wa dunia. Xiomi hamfikii hata huawei kwa vigezo tajwa juuXiaomi hapaswi kuwekwa kundi moja na Tecno na Infinix. Dunia nzima, Xiaomi yupo chini ya Samsung na Apple tu kwenye issue ya smartphones. Wengine wote wapo chini ya Xiaomi.
Angalia market share ya Ulaya hapa[emoji116][emoji116]View attachment 2565445
Pia umeshawahi kusikia juu ya Xiaomi Mi Mix Alpha? Ni dhahiri Tecno na Infinix hawawezi kufanya ubunifu kama huu[emoji116][emoji116]View attachment 2565446View attachment 2565447
Pia, Xiaomi sasahivi anahangaika kumuongezea uwezo Robot wake wa kwanza na anataka kumwingiza sokoni. Hao Tecno na Infinix sidhani kama wanaweza kutengeneza Robot kama huyu wa Xiaomi.View attachment 2565450
Bado Xiaomi anataka kujiingiza kwenye uzalishaji wa magariView attachment 2565453
Bila kusahau TV na laptops zaoView attachment 2565457View attachment 2565458
Xiaomi ni kampuni kubwa ya Tech. Ni dharau kubwa sana kumweka kundi moja na Tecno na Infinix eti kisa wote wanatoka China
Kampuni kiujumla ni kweli Xiaomi is a young company ukizingatia imeanza mwaka 2010 tu. Lakini sio jambo la kawaida kwa kampuni iliyoanza 2010 kufikia hapo alipofikia Xiaomi.Ni kweli ulichosema lakini pia ni kosa xiomi kumlinganisha na samsung au apple kuanzia ukubwa wa kampuni, nguvu kazi, bidhaa, masoko, tafiti, mtaji nk. Xiomi ni mtoto kwa hao wababe wa dunia. Xiomi hamfikii hata huawei kwa vigezo tajwa juu
Sio kweli, apple anatengeneza hardware zake mwenyewe sku hizi.Hata ukiichukia samsung inabid uichukie na hiy brand unayotumia sabb samsung huwa anahusika kweny kuundwa brand yoyot ya sim hapa dunian kuanzia processor kioo had lens za camera hakuna pakutokea
Walidanganya nini kila kitu si kiliwekwa wazi mzee pamoja na kwamb samsung kweny zooming hawana mpinzani achilia mbali picha za kawaida
Apple anamzidi nani ubora?Sio kweli, apple anatengeneza hardware zake mwenyewe sku hizi.
Ubishi upo ila kila brand ina ubora wake na idhaifu wake huo ndio ukweli, japo apple anazid kwa ubora na pia ni mjanja sana anajua psychology ya Marketing
Sawa nimekuelewa kiongoziXiaomi hapaswi kuwekwa kundi moja na Tecno na Infinix. Dunia nzima, Xiaomi yupo chini ya Samsung na Apple tu kwenye issue ya smartphones. Wengine wote wapo chini ya Xiaomi.
Angalia market share ya Ulaya hapa[emoji116][emoji116]View attachment 2565445
Pia umeshawahi kusikia juu ya Xiaomi Mi Mix Alpha? Ni dhahiri Tecno na Infinix hawawezi kufanya ubunifu kama huu[emoji116][emoji116]View attachment 2565446View attachment 2565447
Pia, Xiaomi sasahivi anahangaika kumuongezea uwezo Robot wake wa kwanza na anataka kumwingiza sokoni. Hao Tecno na Infinix sidhani kama wanaweza kutengeneza Robot kama huyu wa Xiaomi.View attachment 2565450
Bado Xiaomi anataka kujiingiza kwenye uzalishaji wa magariView attachment 2565453
Bila kusahau TV na laptops zaoView attachment 2565457View attachment 2565458
Xiaomi ni kampuni kubwa ya Tech. Ni dharau kubwa sana kumweka kundi moja na Tecno na Infinix eti kisa wote wanatoka China
Jamaa nahisi ni agent wa xiaomi Tanzania.Ni kweli ulichosema lakini pia ni kosa xiomi kumlinganisha na samsung au apple kuanzia ukubwa wa kampuni, nguvu kazi, bidhaa, masoko, tafiti, mtaji nk. Xiomi ni mtoto kwa hao wababe wa dunia. Xiomi hamfikii hata huawei kwa vigezo tajwa juu
Saikoloj ya Marketing, Samsung yupo juu zaidi. Samsung anampa mteja kile anachotaka.Sio kweli, apple anatengeneza hardware zake mwenyewe sku hizi.
Ubishi upo ila kila brand ina ubora wake na idhaifu wake huo ndio ukweli, japo apple anazid kwa ubora na pia ni mjanja sana anajua psychology ya Marketing
Hahaaa basi utakuwa chawa wa xiomi, maana mahaba yanazidi mpaka unawapa sifa ambazo hawanaNo I'm not
Ulitumia Redmi 9. Huwezi elewa[emoji28][emoji28]Hahaaa basi utakuwa chawa wa xiomi, maana mahaba yanazidi mpaka unawapa sifa ambazo hawana
Hizo specifications ndo ziliniponza, simu ina reviews mbaya, wateja hawaifurahii hayo ma specs yanasaidia nini kama hayatqtui hitaji la msingi? Kuna simu hazina specs kali ila ukiitumia unafurahia device yako. Simu kuwa ya chin (lowend) haimaanishi imssbehave. Nshawahi tumia vodafone ya 60k (alcatel) haikustack wala kumiss behave sembuse simu ya 300k unasema ni sawa kuwa na makasoro?Ulitumia Redmi 9. Huwezi elewa[emoji28][emoji28]
Unafikiri kila Xiaomi ipo kama Redmi 9 yako, ulinunua simu ya bei rahisi kabisa kutoka Xiaomi halafu ulitaka iwe kama flagship[emoji38][emoji38] Ungetafuta hela then ukanunua Xiaomi ya maana.
Tena ushukuru Mungu ulipata 1080p display, 395ppi na MediaTek Helio G80 kwa laki 3, kuwa na shukrani basi[emoji1787][emoji1787]
Kumbe ww sio mwana utafiti na umekosa mada ya kuikosoa sammy na kubishania had unaanza kutafut vitu havina mantiki ww manen yako hayawez kupunguz ubora wa simu nenda maduk ya sammy mliman city pale kaangalie huo moto s23 ultra kaingalie tu utest na kila kitu maan unaruhusiwaKitu gani ambacho kiliwekwa wazi?
Una uhakik anatengenez hardware zake mwenyew?Sio kweli, apple anatengeneza hardware zake mwenyewe sku hizi.
Ubishi upo ila kila brand ina ubora wake na idhaifu wake huo ndio ukweli, japo apple anazid kwa ubora na pia ni mjanja sana anajua psychology ya Marketing
Hakuna kampuni ambayo kila simu yake itakuwa nzuri kama unavyotaka wewe. Samsung Galaxy A series nyingi zina user reviews mbaya.Hizo specifications ndo ziliniponza, simu ina reviews mbaya, wateja hawaifurahii hayo ma specs yanasaidia nini kama hayatqtui hitaji la msingi? Kuna simu hazina specs kali ila ukiitumia unafurahia device yako. Simu kuwa ya chin (lowend) haimaanishi imssbehave. Nshawahi tumia vodafone ya 60k (alcatel) haikustack wala kumiss behave sembuse simu ya 300k unasema ni sawa kuwa na makasoro?
Nibora nichukue galaxy a14 kuliko hiyo redmi 10c, ntapata kioo kizuuri, battery nzuri, design kali, kamera bombaaa nk. Kwa 350k-400k kuliko kubeba mchina wa mchongoHakuna kampuni ambayo kila simu yake itakuwa nzuri kama unavyotaka wewe. Samsung Galaxy A series nyingi zina user reviews mbaya.
Kama ulinunua Redmi 9 ya Indian version utakutana na mambo kibao ya ovyo, zinakuwaga na issues nyingi. Usikurupuke kushutumu kampuni nzima eti kisa Redmi 9 yako ilikuletea matatizo[emoji38][emoji38]
Badala yake kama ulikuwa unataka simu nzuri kwa bei hiyo ungetafuta Xiaomi Redmi 10C au Xiaomi Poco M5, simu cheap zenye positive reviews nyingi.
Humu watu tukiwa tunasema Xiaomi ni nzuri tunakuwa specific kwa models, Sasa leo hii Bongo hapa kwa laki 3 na nusu unaweza kupata simu gani mpya ya 2021 kuja juu nzuri kuliko Redmi 10C? Sema tu ukweli, sio unaleta malalamiko yasiyo na kichwa wala miguu hapa [emoji28][emoji28]
Galaxy A14 unapata wapi kwa 350K hadi 400K [emoji38][emoji38] Endelea kuleta bei za kutungaNibora nichukue galaxy a14 kuliko hiyo redmi 10c, ntapata kioo kizuuri, battery nzuri, design kali, kamera bombaaa nk. Kwa 350k-400k kuliko kubeba mchina wa mchongo
Galaxy A13 inauzwa 320k bei ya jumla na rejareja utapata kwa 350k-400kGalaxy A14 unapata wapi kwa 350K hadi 400K [emoji38][emoji38] Endelea kuleta bei za kutunga
A13 tu kwa hiyo bei hupati [emoji28][emoji28] Redmi 10C inauzwa hadi 310,000/= kwa 64GB version
Nimeiangalia hiyo A14, inatumia MediaTek Helio G80, Xiaomi Poco M5 ya 320,000/= AliExpress Ina MediaTek Helio G99.
Xiaomi Poco M5s ya 370,000/= AliExpress Ina Hadi AMOLED display.