Smartphone brands zenye market share kubwa zaidi duniani

Yani mm leo niwe na laki saba cash afu kuwe na note 10 plus na iphone 11 pro kwa mimi ninaejua sim nitachukua note 10 plus afu ww chukua iphone yako tukutane kweny picha
 
Maelezo mazuri, Smart. Ila i have to say kila mtu ana matumizi yake.

Kwa mimi ntasema Android ni work phone ambayo ni Samsung tena note japo sku hizi sio note tena, sababu kubwa ni productivity features na seamless intergration na window.

Natumia sana excel kwahiyo Android & window.

sababu ya kutumia iPhone, Natumia iOS sababu ya interface yake kiujumla iko tofauti kuanzia whatsapp, email and notes.

Hahah nkiangalia hapa ndio naona hamna strong reason ya kutumia iphone [emoji1787].

God! they’re good.
Watu wa iphone hawajawah kuwa na sabb ya kwann anatumia iphone atakuambia security hili ndilo jib tosha kwenu mkiongelea maswal ya kamera mtakuwa mmetudanganya
 
Hata mimi siipendi aisee. Mwonekano wake tu ni cheap sana, pia inakosa features nyingi ambazo wenzake wanazo.
Pixel UI inakuwa considered kuwa ni nzuri kwa sababu ni clean, haina bloatware, ni light pia kwenye optimisation ipo vizuri sana.
Ila binafsi sijaipenda, haiwezekani mtu utoe 1milion and above halafu unapata software isiyo na features.
Hii ni Google Pixel 7 Pro View attachment 2567636
Kiukw kam mtu amezoea simu za features nying atateseka sana kweny pixel
 
Maelezo mazuri, Smart. Ila i have to say kila mtu ana matumizi yake.

Kwa mimi ntasema Android ni work phone ambayo ni Samsung tena note japo sku hizi sio note tena, sababu kubwa ni productivity features na seamless intergration na window.

Natumia sana excel kwahiyo Android & window.

sababu ya kutumia iPhone, Natumia iOS sababu ya interface yake kiujumla iko tofauti kuanzia whatsapp, email and notes.

Hahah nkiangalia hapa ndio naona hamna strong reason ya kutumia iphone [emoji1787].

iPhone wezi
Ila interface ya iPhone inavutia sana, limitations zake za ovyo ndio zinanikera.
EU wanataka iPhone za miaka ijayo ziwe na freedom ya kutosha kama Android. iOS ikifika huko itakuwa ni vizuri sana, hii inaweza kusaidia kuongeza fans

Interface ya iOS inavutia wengi kimuonekano lakini kwenye kuitumia kuna watu tutaishindwa
Screenshot_20230327-152713~2.jpg
 
Yani ukinunua pixel itakulazim uipende kwaajil ya kamera[emoji1787]
Yeah kwenye kamera Pixel ni mahali salama
Google Pixel 7 Pro inauzwa around TSh 1,700,000/= na ni dhahiri kuwa hakuna simu yenye kamera kali kama hiyo kwa bei hiyo
 
Android WhatsApp yake mbaya aisee mm hili nasema hata niwekewe bunduki kichwani[emoji28]
 
Watumiaji wa Android tukiamua tunatumia illegal WhatsApp ambazo ni nzuri kuliko original [emoji28][emoji28]
 
Yeah kwenye kamera Pixel ni mahali salama
Google Pixel 7 Pro inauzwa around TSh 1,700,000/= na ni dhahiri kuwa hakuna simu yenye kamera kali kama hiyo kwa bei hiyo
Kutokana na huu mvutano nitamuomba ndugu ruben siku moja aanzishe uzi wa kama ka challenge fulani kwa kupiga picha kupitia simu unayotumia then unaweka picha apa nadhan italeta majib mazur sana juu ya ipi yenye ubora kweny kamera itapendez tukivhanganyikana wote weny iphone samsung pixel xiaomi ilimrad upost picha uliyopiga na sim yako hawa wa iphone wataacha kutupigia kelele hapa
 
Huo uzi ulishakuwepo, kauchimbue uko kwenye servers utauona
 
Kutokana na huu mvutano nitamuomba ndugu ruben siku moja aanzishe uzi wa kama ka challenge fulani kwa kupiga picha kupitia simu unayotumia then unaweka picha apa nadhan italeta majib mazur sana juu ya ipi yenye ubora kweny kamera itapendez tukivhanganyikana wote weny iphone samsung pixel xiaomi ilimrad upost picha uliyopiga na sim yako hawa wa iphone wataacha kutupigia kelele hapa

Huo uzi mbona upo? Ingia humo uone picha zilizopostiwa then ulinganishe
 
Okey boss
 
Maelezo mazuri, Smart. Ila i have to say kila mtu ana matumizi yake.

Kwa mimi ntasema Android ni work phone ambayo ni Samsung tena note japo sku hizi sio note tena, sababu kubwa ni productivity features na seamless intergration na window.

Natumia sana excel kwahiyo Android & window.

sababu ya kutumia iPhone, Natumia iOS sababu ya interface yake kiujumla iko tofauti kuanzia whatsapp, email and notes.

Hahah nkiangalia hapa ndio naona hamna strong reason ya kutumia iphone [emoji1787].

iPhone wezi
Hahahaa mi nimeacha kutumia iphone kwenye XR ndio ilikuwa simu yangu ya mwisho kwa iphone. Hapa katikati nimeshatumia Samsung, Nokia, Sony na Sasa natumia Pixel.

Kwa maana ya matumizi yangu m never lacking anything na tena siku hizi kwenye masherehe mi ndio nakuwa mpiga picha kwasababu ya uwezo wa camera ya pixel kwenye low light environment.

Huko nyuma nilishatumia simu nyingi sana. My first phone was Ericsson enzi hizo nikiwa natumia tritel nikiwa Bado mdogo sana so nina ka experience ka kutosha kwa kweli
 
Kutokana na huu mvutano nitamuomba ndugu ruben siku moja aanzishe uzi wa kama ka challenge fulani kwa kupiga picha kupitia simu unayotumia then unaweka picha apa nadhan italeta majib mazur sana juu ya ipi yenye ubora kweny kamera itapendez tukivhanganyikana wote weny iphone samsung pixel xiaomi ilimrad upost picha uliyopiga na sim yako hawa wa iphone wataacha kutupigia kelele hapa
Ingia YouTube tu utakutana na wataalam wa picha wanachambua cameras na kuzifanyia comparison baina ya simu na simu
 
Watumiaji wa Android tukiamua tunatumia illegal WhatsApp ambazo ni nzuri kuliko original [emoji28][emoji28]
Android users mostly wana childish reasons to justify whatever they think it's the best.
 
Ingia YouTube tu utakutana na wataalam wa picha wanachambua cameras na kuzifanyia comparison baina ya simu na simu
Sasa mbn youtub ndo kwangu huwa naangalia comparisons mbalimbal za devices mbali mbal hamn siku apple wameshinda kweny camera iwe potrait iwe wide angle ni chali kifo cha mende kweny video naona kidog wanaleta upinzan japo kwa s23 ultra kwa sasa ndo ina best video recording ngoj tusubir 15 itoke labd itakuj kumsumbua s23 ultra upande wa video
 
Android users mostly wana childish reasons to justify whatever they think it's the best.
Kitu kinanishangaza ukimkuta mtu anatumia iphone ukimuuliza ni kwasabb gan weng wanaleta sabb ambaz utaona kabisa kakaririshwa [emoji1787] hana experienc kiivyo na mambo ya sim kuna dem mmoja nilimuuliz kwann anatumia iphone akaniambia picha zake zina editika nikabaki kucheka cha kushangaza kuna mwamba mmoja ana pixel 4xl na huwa namuona anampiga picha kwa hiy pixel anarushiwa watsapp kam document ana ziedit kidog akiziweka status watu sifa za kumwaga[emoji1787]
 
Fact
 
Back
Top Bottom