Slow jams - pini ipi ilikubamba

Slow jams - pini ipi ilikubamba

We’ll come back - Mase
Mase - Feel so good

Humu jamaa alikuwa wamoto na beat ni ya moto kikawaka studio hii ngoma hadi kesho ukiweka kwenye radio lazima bega licheze lenyewe bila wewe kulichezesha.
 
Wakongwe mmetisha Sana
Na bado. Tukuwaambia madogo sisi ni kaka zao huwa wanajua ni mikwala sasa wanaona hapa hizi nyimbo mbona sisi hatujawahi zisikia zilitamba mwaka gani.

Kumbe miaka zinatamba na sisi ndio tunazisikiliza redioni yaani sio online mtandaoni, redioni Dj anapiga kama wao wanavyomsikiliza harmonize sasa akisema "amelowa"

Madogo wamenyuti nyuuuh kimyaaa. Wameshajua kumbe humu tupo na watu walioliona jua kabla yetu.
 
Duh huu uzi ndio nauona muda huu na mpaka sasahivi nnavyocomment nimecheki page moja tu lakini kilichonishangaza mpaka naandika comment hii ni kuwa nyimbo zote za comment ya kwanza mpaka ya ishirini walizotaja wadau mm ninazo na nazijuawhat a coincidence! Kasoro moja tu ya Last night-Az yet
Welcome to the family of R&B lovers.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom