Slow jams - pini ipi ilikubamba

Slow jams - pini ipi ilikubamba

Kwa wale wa kizazi cha kabla ya Y2K watakumbuka miaka ya 90 hadi mwanzoni mwa 2k kulikuwa na nyimbo kali sana za R&B.

Kuna baadhi ya nyimbo ukisikiliza zinasisimua mpaka mifupa. Binafsi kuna ngoma moja ya Usher Raymond inaitwa " Nice & Slow" ilinikosha na still inanikosha.

Wewe wimbo gani ulikubamba?

Last time we made love - Tanya Blount
 
Nipo na adorable R&B play list yangu hapa;
-Be without u-Mary J
-Love scene-Joe Thomas
-Thanks God its Friday-R. Kelly
-In those Jeans-Ginuwine
-Shorty got eyes on u-Donel Jones
-Thanks God i found u-Joe ft Mariah Carey
-One nite stand-Joe
-Last Nite-Az Yet
-Am i dreaming-X cape ft Keith Sweat
-Freak on u-Jodeci
-Red light special-TLC
 
Kwa wale wa kizazi cha kabla ya Y2K watakumbuka miaka ya 90 hadi mwanzoni mwa 2k kulikuwa na nyimbo kali sana za R&B.

Kuna baadhi ya nyimbo ukisikiliza zinasisimua mpaka mifupa. Binafsi kuna ngoma moja ya Usher Raymond inaitwa " Nice & Slow" ilinikosha na still inanikosha.

Wewe wimbo gani ulikubamba?
To the arms of the one who loves you - xcape

Video yake ilikuwa ya hisia sana
 
Dah uzi mtamu sana huu kwa sisi wadau wa 90s and early 2000s. Ghafla nmemkumbuka John Dilinga enzi hizo yuko 101.4 fm dah hatari. Good times are gone.
Natamani mdau mwenye access za hizi ngoma angekuwa anaziweka audio kuleta ladha ingawa zinapatikana mitandaoni ila kukiwa na link Hapa mtu unai pata fasta
Mchawi bando tu mkuu ila watu wanazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom