Slama Jabiri aikashifu Yanga

kazikubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
597
145
Katika kipindi cha Epic Bongo Star Search, kijana mmoja aliyefanya vibaya sana akamfananisha na Yanga. Ati Yanga ni kawaida yao kufanya vibaya. Hiii, hiii mie nalia, kweli anatudharau hivi jamani, mzee Akilimali umemuona huyo binti, labda katumwa na Rage huyu.
 
Mzee Akilimali alikuwa Tanga...kuwazibia Simba ili wafungwe na Coastal Union...
 
si mtani wa jadi sasa kwa nini asiseme ukweli bana! hivi huyo Mbuyu twite mlokuwa mnashangiliiiiiiiiiiiiiiiiia sijaona chochote alichofanya ambacho kimezidi zaidi ya wabongo!
 
Mwanamke anae ridhishwa na mwanamke mwenzie kimapenzi akili zinahamia kwenye mpododo

una uhakika au ndio yale maneno ya mkosaji?? kama ni kweli nipe uthibitisho kwamba anaridhishwa na mwanamke mwenzie kimapenzi
 
si mtani wa jadi sasa kwa nini asiseme ukweli bana! hivi huyo Mbuyu twite mlokuwa mnashangiliiiiiiiiiiiiiiiiia sijaona chochote alichofanya ambacho kimezidi zaidi ya wabongo!

Katupia 1 juzi,na ka'promise kazi kubwa zaidi in the coming games.....embu niambie Keita na Ochieng wamefanya nini cha maana toka waanze kuvuta oxygen ya Tz?
 
Tatizo letu hatupendi kuambiwa ukweli. Angeikashifu Yanga kama angemwambia amefanya vizuri kama Yanga na wote tunaona inavyoharibu.
 
Katupia 1 juzi,na ka'promise kazi kubwa zaidi in the coming games.....embu niambie Keita na Ochieng wamefanya nini cha maana toka waanze kuvuta oxygen ya Tz?

Jaman tangu lini beki aahidi magoli hahahahaha dah watu wazima wanadanganywa... Kahindwa kukaba wachezaji wanaolipwa laki moja ye analipwa mamilion anasema tusubir mabao zaid daaaaah me sitaki kudanganywa bana... Labda ana ndoto za kuwa mfungaji bora hahaahaha
 
Katupia 1 juzi,na ka'promise kazi kubwa zaidi in the coming games.....embu niambie Keita na Ochieng wamefanya nini cha maana toka waanze kuvuta oxygen ya Tz?
Mlimkuwa mnamgombea ili akatupie au akazuie kina Felix, Javu wasitupie? Naona sa hivi anashindana na Bahanuzi kutupia magoli.
 
Teh teh teh kwi kwi kwi sema YANGA wewe? Nuneni kwanini amefananisha YANGA na JEMBE na NYUNDO.
 
nasikia akiendaga UK, WASAGAJI WENZIE FULL KUMGOMBANIA! WANAMUITA CHEUPE" KAZI IPO WALLAH!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom