Slaa, Lissu na wafuasi wao wafikishwa mahakamani Arusha

Wana chadema kubalini kwa hili mmefeli katika jiji la Arusha hakuna nguvu ya umma bali ni nguvu ya soda na viroba tu mikesha mliyotangaza ikowapi jaribuni kufikiri na kuacha kuropa

user-online.png
shy town boy



Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 7th November 2011
Posts : 13
Rep Power : 0
 
Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbrod Slaa na mkurugenzi wa sheria wa chama hicho Tundu Lissu na wafuasi wengine kumi wa chama hicho wanafikishwa mahakamani muda mfupi ujao jijini Arusha.

Kuna hatari ya kunyimwa dhamana kutokana na vurugu ambazo zinaendelea kwani vijana wa chama hicho wanavunja vioo vya magari na muda mfupi uliopita wamefanya hivyo katika mitaa ya Sabena iliyoko karibu na stand kuu ya Arusha

1: dalili za mvua ni mawingu
2: panapofuka moshi pana moto
3: aliyeng'atwa na nyoka jani likimgusa anashtuka
4: yawezekana kumkabili kuku moja lakini kuku milioni moja si rahisi hata kidogo.
5: Dont under estimate 'fools' when they operate in a big number

.............. napita tu wakuu.....
 
Katika mkutano wa jana NMC,polisi wamemkuta dr slaa na bastola pamoja na Raia mwingine,jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi uhalali wa Kiongozi wetu kumiliki bastola.source kaimu kamanda wa polisi Akili mpwapwa ,report via Deutche welle!
 
Katika mahakama ya hakimu mkazi ya mkoa wa Arusha leo mpaka muda huu ambao ni majira ya saa 10:29 (kumi na dk 29 jioni) Dr.Slaa na Lissu na wananchi wengine 27 wamesomewa mashtaka na yako kama ifuatavyo;

1. Kukusanyika kinyume cha sheria .
2. Kukataa kutii amri halali ya polisi

Ila Slaa kasomewa shitaka la tatu peke yake nalo ni la uchochezi, ila maneno yaliyosemwa na polisi kjuwa yalitamkwa sijui yatakuwa yalitamkwa wapi ila sio kwenye mkutano wa hadhara wa jana kama ambavyo mwendesha mashitaka anataka kuiaminisha mahakama .

Taratibu za dhamana zinaendelea kwenye mahakama hiyo , ila ntawajulisha nini kiuitatokea kwani taarifa ni kuwa Lissu na Dr.Slaa wao wataenda Kisongo kuonana na LEMA na kupafanya kuwa ni makazi ya kudumu kama ambavyo polisi na serikali wanataka .
Hawana jipya viongozi wachadema acha waende Jela na hakuna watakalopata bali wataendelea kulalama tu. Nguvu ya Umma bongo hakuna hapa ni CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Acha vyombo vya dola vifanye kazi yake, hawawezi kutuharibia Tanzania yetu kwa uchu wa madaraka

Watu wenye akili finyu na upeo mdogo kama wako wewe ni wale ambao wanawaita wanaharakati wanaotetea haki yao "magaidi" na "waasi", ila pale wanapokuwa wamepokelewa kwa ushindi mkubwa na wananchi, na kukubalika, huanza kuwaita "wapigania uhuru" na "wana ukombozi".

Kabla hujaandika chochote, fikiria kwanza. Nani mwenye uchu wa madaraka kama tayari yule ambaye keshalewa madaraka? CCM wameshalewa madaraka, si rahisi wao kuyaachia kirahisi. Kumbuka, haki haishushwi kutoka mbinguni, bali inadaiwa tena kwa nguvu zote.

Kama si juhudi za akina Martin Luther King Junior, Rosa Parks na wengineo, unadhani watu weusi nchini Marekani wangekuwa huru kama walivyo sasa? Unaota wewe! Unadhani hii process inatokea hapa kwetu tu? Au yaliyotokea nchini Libya bado hujayaelewa?
 
Lisu msomi mzima lakini anashindwa kutofautisha sheria na siasa. Nazidi kumdharau huyu jamaa.
 
hawa wanafanya maigizo na maisha ya watu,, hivi inaingia akilini eti wao wanaonewa kila cku? Hapana, lazima tujiulize, kama hakuna anayewatuma bs ni ulevi wa madaraka, lakini kadri tunavyounga mkono upumbavu huu ipo cku utatughalimu kabisa, na huyu slaa nini anachotaka kuifanyia TANZANIA kama cyo kanunuliwa tuu.
 
I wonder how reckles ths police thing they are. Mngekuwa mnajaribu kuzisoma technical plan za chadema mngejinyamazia, wala msingewaweka wala kuwapeleka mahakamani hao watu. Mnawajengea confidence ya kupambana hao wananchi wa Arusha, Slaa, lisu na Lema tayari wamekuwa model kuwa km wao wamewekwa ndani me nikiwekwa kuna nini? Mnawasaidia kuaccelerate mambo, sasa watu wanajua kuwa viongozi wako nao pamoja mtaani mpaka gerezani. Hamkibomoi cdm, mnaendelea kukipa umaarufu na uimara wa ajabu! VIVA CHADEMA,VIVA CHANGES, VIVA HUMANITY!
 
I declare interest, nilikuwa CDM. Nimesoma post nyingi watu mnaongozwa na hisia zaidi na sio uhalisia.

Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa utawala wa sheria. Lema na wafuasi wa CDM Arusha ndio chanzo cha matatizo yooote. Kuna sheria inayotoa utaratibu wa kufanya mikutano ya hadhara, Lema na wezake hawakuifuata sheria hii.

Kama CDM wanaona sheria hii ni mbaya, basi wafuate taratibu za kisheri kuifanyi mabadiliko. Lakini kukiuka sheria naona nia ya CDM ni mbaya iliyokusudia kutoa kafara Watanzania bila sababu ya msingi.

Mapinduzi yoyote ambayo hayana lengo, kama yanayoongozwa na CDM, ni upuuzi. Maneno ya uchochezi yanayotolewa na viongozi wa CDM hayana msingi. Kwanini ufanye mkutano bila kufuata utaratibu.

Tusitegemee kwamba mahakama ingeonesha ukomavu kwakuwaintimidated na cheo cha Lema. Maamuzi ya mahakama ni sahihi kabisa, yamefanywa without fear and fever.

Kama serikali ingalikuwa ya CDM, na wangefanya maamuzi tofauti na serikali na mahakama imeshughulikia uvunjifu wa amani uliuoneshwa na CDM, basi sina shaka kwamba serikali ya CDM kamwe haiwezi ikafuata utawala wa sheri.

Wito kwa watanzani, na wanazuoni wote tukemee ujuha huu, pia tuache kuvutwa na hisia. Hakuna mtu anayeongozwa na hisia peke yake anaweza kufanya maamuzi sahihi.

Chadema tufuate utawala wa sheria. Tuache kuisaliti damu ya watanzania ambao wanatupenda wakatuwekea mikononi mwetu destiny yao.

Innocent young men and women, members of CDM are being sucrifised for nothing. I know we have to shed blood for changes even to death if necessity so requires, but now we don't have a reason to shed our precious blood for nothing.
 
Nani kakwambia ni kosa kuwa na Bastola? Hivi kwa akili ya kawaida tu unadhani Dr Slaa hana silaha ya kujilindia?
 
Together as one,hatuwezi kubaliana na dhuluma pamoja na uonevu wa serikali ya magamba!lazima kieleweke!Ngoja nikapige tasker baridi,then ntarudi.

acha kupenda bata wanaotetea maslahi yako wako nyuma ya nondo halafu unawaza tusker.
 
haya yote yanasababishwa na changudoa mmoja aliyelikosa jimbo kwa kura nyingi sasa mabwana zake wanafanya kila ukatili kumuonyesha wanahuzunika naye huku wakiendelea kula tunda haramu,.arusha will go down the history and the sparks of independence spark from here and will spread all over.
 
Ccm wanahaha na upinzani ndio maana kila jambo kwao wanalivalia njuga, na wakikuta mda wa umiliki umeisha kwao ni mtaji!
 
Back
Top Bottom