Slaa, Lissu na wafuasi wao wafikishwa mahakamani Arusha

J K yupo wapi wakati haya yote yanatendeka au ndo sikio la kufa halisiki dawa?mtawaweka watnzania wangapi?mbona uwanja wa magereza ni mdogo hatutoshi wote!si wana wa Arsha pekee waliochoka la hasha tupo wengi.Angalizo,kwanini wasitazame nyakati?Kila jamba lina wakati wake tuwe makini.Haki siku zote haiombwi nafikiri kipindi cha kuinyakua haki kimewadia ila anagalieni maana ninyi polisi mnaotumika kama silaha ya watawala tunakaa nao katika majumba yetu,tukiamua kuwachinja watoto wenu tusije laumiana,kwanini hamtaki kufuata nyayo za wenzenu wa Misri.Angalieni sheria inasema nini,kwani watakaoleta vurugu ndani ya nchi hii ni polisi na wana magamba na dniyo watakaolipa deni lausaliti kwa raia wa nchi hii.

Tunasema tumechoka kupuuzwa,kudharauliwa na kudhalilishwa utu wetu,sasa tunasema basi inatosha,Watanzania wenzangu tuwe na uchungu na wenzetu wa Arusha
 
Dhuruma hii inayofanywa na CCM inamwisho wake,ni heri sisi tukose kabisa mana hata kidogo hatuna ila wao CCM na watoto wao wapungukiwe,Nimeona magari matatu ya polisi yamefunjwa vioo na bado nguvu ya uma haijawahi kushindwa kokote duniani,wao CCM wana Mafisadi,Pesa,na Polisi,sisi Chadema tuna Mungu,Viva Chadema,Viva Arusha,Viva Tanzania.Ereedom is coming.
 
poleni makamanda , je hao viongozi wamefanikiwa kutolewa? naomba majibu haraka kama inawezekana.am sory. peoooooooooooooople?
 
Ni wazi kabisa magamba wakubali wamekosa sera na sasa wanatumia mabavu wajue lenye mwanzo lina mwisho basi ccm kubalini mwisho wenu huu ili mpate fursa ya kujipanga upya. Pia wana cdm hasa viongozi niwaambie tu ukiona mtatizo yanakuandama ujue neema inakaribia pigeni moyo konde mtayashinda. Pipozzz powerrr!! Forever
 
Acha vyombo vya dola vifanye kazi yake, hawawezi kutuharibia Tanzania yetu kwa uchu wa madaraka
CCM na Serikali ya maghamba wasipotumia busara Tanzania sio kisiwa mambo ya Libya sio ajabu hapa Tanzania, tumia hekima na busara kulinda hiyop amani yetu inayo yoyoma!!!!!!!!!!!
 
Hapa tatizo ni ushabiki,ikifika mahali watu wazima mnawatetea wahalibifu wa nchi yetu kama hawa wakina Mbowe na Slaa ni aibu tupu.mtajuta hii amani mnayoichezea kwa kejeli na uvivu wenu wa kufikiri
 
Acha vyombo vya dola vifanye kazi yake, hawawezi kutuharibia Tanzania yetu kwa uchu wa madaraka

Pambaf!

You're not a thinktank but a Think taka! Yaani wewe unaona CHADEMA ndiyo wanaharibu Tanzania wakati nchi LISHAHARIBIWA NA CHAMA CHAKO CHA MAGAMBA NA MAFISADI yaani CCM.

CDM wako,kwenye right track na lazima kuna iko siku haya mambo yatafikia mwisho. Kinachofanyika Arusha kwa sasa ni UHUNI WA HALI YA JUU UNAOONYESHWA NA JESHI LA POLISI KWA MAELEKEZO YA VIONGOZI VIHIYO TOKA SERIKALI YA MAGAMBA!

Kitaeleweka tu kwani hakuna marefu yasiyo na ncha. Ghadafi,Mubarak,Ben Ali,Saadam na other dictators wako wapi?? Walikuwa wababe kama tu CCM wanavofanya! CCM wanachofanya ni kutengeneza njia na mlango wa kutokea. Wameshashindwa kuongoza nchi. Sijui hata watu wanaoshangilia unyama huu wa Polisi wanategemea nini katika kipindi hiki cha kuazimisha miaka 50 ya UHURU!!!
 
Magamba mwaka huu watakoma. Makamanda wa Arusha tupo nyuma yenu hakuna kurudi nyuma.
 
Nchi ina utaratibu, kuna sheria na huyo Tundu anazijua vizuri tu, tusilete mambo ambayo hayana msingi, Lema alikataa kutoka gerezani, kesi inasikilizwa tar 14 nov, ina maanisha tar 14 ndo atapata dhamana, sasa kwann Lema atoke pasipo kufuata sheria, au ndo cdm ikichukua nchi mambo yatakuwa yanaenda kienyeji enyeji, watulie, since Lema ni mshabiki wa gerezani atulie mpk next week atapewa dhamana, na akitaka kufanya mkutano na wananchi wake atafata taratibu na kuitisha mkutano.
Situations za Libya na kwingineko ni tofauti na hii ya ujinga wa cdm. Kwa hili sipo na cdm, Zuberi ongeza nguvu tawanyisha watu...wakaipatikana na hatia funga Slaa, Tundu na Mbowe...Mtikila si alifungwa bana, akatoka siasa zikaendelea, wakitoka wataendelea...nakuwa adui kwa kusema ukweli...Mgombea binafsi oyeeee !
 
Lisu msomi mzima lakini anashindwa kutofautisha sheria na siasa. Ngoja wampeleke selo akafundishwe.
 
Wana chadema kubalini kwa hili mmefeli katika jiji la Arusha hakuna nguvu ya umma bali ni nguvu ya soda na viroba tu mikesha mliyotangaza ikowapi jaribuni kufikiri na kuacha kuropa
Dhuruma hii inayofanywa na CCM inamwisho wake,ni heri sisi tukose kabisa mana hata kidogo hatuna ila wao CCM na watoto wao wapungukiwe,Nimeona magari matatu ya polisi yamefunjwa vioo na bado nguvu ya uma haijawahi kushindwa kokote duniani,wao CCM wana Mafisadi,Pesa,na Polisi,sisi Chadema tuna Mungu,Viva Chadema,Viva Arusha,Viva Tanzania.Ereedom is coming.
 
Kikubwa wanachodai CHADEMA Arusha ni nini?


Waraka wa G Lema 2011 (UTU NA UBINADAMU urejee Mtaani) ujulimhwe na Waraka wa Azimio La Arusha 1967 (UTU NA UBINADAMU urejee mtaani) Kwa kuelewa zaidi tafuta Waraka wa G Lema kabla ya kujitoa kwenda gerezani ... Una Kurasa moja usome maliza...Alafu tafuta Waraka wa Azimo la arusha nao una kurasa moja .. soma maliza ... Utaona ni kitu kilele kile Kinafanya fufuka baada ya kuzimwa na watu wapinga Utu na ubinadamu huko zanzibari. Na kiu ya UTU kama Matumaini kwa vijana, UTU kama Heshima kwa vijana na Watanzanznaia wote na UTU kama Upendo iko juu. Kumbuka hayo Meneno matatu..HESHIMA, MATUMAINI na UPENDO .. Vinashikiliwa kwenye nembo ya SEREKALI kama alama ya Mwenge wa kweli wa Uhuru.
 
Back
Top Bottom