Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
KATIKA KUJENGA KATIBA SLAA ALIKUWA MNYONGE KAMA MBWA MFYATA MKIA. lEO ETI ANATAKA KUMHADHALIHA KIKWETE. Slaa ni hatari kudanganya watu kupita Kar Max na Angels walioleta ukomunisti duniani/
Halafu naambiwa huyu ni kiongozi ndani ya Chadema!...Umewasahau BAKWATA
A successful CEO is not judged in absolute terms of being serious all times; sometime he has to make jokes with the employees. I think you understand what i mean.Halafu naambiwa huyu ni kiongozi ndani ya Chadema!...
Chadema siwapendi hata robo secnd.
This isn't a joke why did U put Kardinali Pengo instead..Being a leader always watch your language..A successful CEO is not judged in absolute terms of being serious all times; sometime he has to make jokes with the employees. I think you understand what i mean.
I cant help you any more you can go to hell if you wish.This isn't a joke why did U put Kardinali Pengo instead..Being a leader always watch your language..
Well, You are the one in hell already..I cant help you any more you can go to hell if you wish.
I cant help you any more you can go to hell if you wish.
Rais ni binadamu ana weakness zake kwa hili la kudharau roho za watanzania na kuelekea kwenye sherehe za chama tena sio cha Tanzania ninamlaumu, ila kuna baadhi ambayo ameanza kuonyesha anayafanyia kazi kama suala la katiba na posho kwa hilo hatuna budi kumpongeza.Kinachosikitisha zaidi ni kwamba kiongozi wa nchi ambaye anatakiwa kuhakikisha usalama wa Watanzania hatatia neno kufuatia kuuawa kinyama kwa Watanzania hawa. Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi~AMEN
Toka Jakaya Kikwete atangazwe kibabe kuwa ndio mshindi wa ngazi ya Uraisi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Juzi na kisha kuapishwa haraka haraka katika Sherehe ambazo DR na CHADEMA kwa ujumla walizisusia kwa sababu mchakato wa uhesabuji wa Kura za Uraisi uligubikwa na mchakato wa usiri uliokuwa umejaa kila aina ya mashaka ya nini kilikuwa kinaendelea nyuma ya Pazia,
Serikali yake ni kama imepigwa laana sababu hakuna Jambo ambalo serikali hiyo inalifanya na likakamilika kwa manufaa ya UMA na wakati mwingine hata yale yanayofanyika kwa manufaa ya wachache yanaiweka serikali hiyo matatani katika namna inayotia aibu.
Serikali ya Jakaya imejaa mikosi kitu kinachopelekea ugumu wa maisha wa hali ya kutisha kutapakaa nchi nzima, vilio katika kila kona ya nchi, na yeye binafsi sasa ni kama vile anaona aibu au amekwisha ng'amua na madhira gani yameufika utawala wale, sababu kapoteza kabisa ujasiri wa kuthubutu kutoa maamuzi katika Jambo lolote lile, bila shaka akihofia mambo kuharibika dhaidi.
Nimeifikiria hali hii na nimeona ni vyema kutoa mchango wangu ili kulinuthuru Taifa na Matatizo, Namuomba DR SLAA aondoe kinyo'ngo alichonacho cha kupokwa Urais, Asamehe yote yaliyotokea, ajitie nguvu na kushusha Pumzi, atoe tamko, na Watanzania
wote wasikie kwamba Anamtambua Jakaya Mrisho Kikwete kuwa ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwenye dhamana harari ya kuliongoza Taifa hili.
Ninaamini kwamba hatua hii itampa Mwenzake wepesi wa kutuongoza kitu ambacho kitakuwa na manufaa kwa Watanzania wote.
Kwa haya yanayoendelea nchini na namna Jakaya anavyorespond kwa silence na safari, inabidi wananchi tumlazimishe DR kutoa kauli, sababu mimi nimeshindwa kuona sababu nyingine inayomfanya Jakaya kuwa failure namna hii.
Mimi nafikiri wengi wenu ni watoto wa juzi na hamjui swifa na tarbia na utamaduni wa waTz mliojijengea tokea awali.
Kwa kweli migomo haikuanzia leo wala jana huko Tanzania. Lakin kwa waliosoma UDSM enzi za mzee Punch kulikuwa na utamaduni wa kukaa meza moja pale nkurumah hall na kuzungumza pande zote zinazokinzani iwe kuanzia asubuhi mpaka usiku na baadae mnafikia muafaka na mambo yanakwenda.
Nafikiri ni vizuri mrudie kwenye mila na desturi moja za kukaa kitako na kuongea sio kutupiana ngumi wala matusi.
Kwangu mimi naifananisha kabisa JF kama Mzee Punch wa enzi hizo pale UDSM.