Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Dare to view the world differently broda and sisy.dare to see the vast see of opportunities out there and dare to find a job.
Government cant gives us our well deserved chocolate rivers,marshmallow clouds and tangarine skies EVEN IF SLAA IS THE PRESDENT.
If individiual are not willing to take their life into THEIR OWN HANDS then they are doomed.
People seem to forget that MAISHA BORA was never to be handed to you in a plate.it was SUPPOSSED TO BE EARNED BY HARDWORK,SWEATY AND BLOOD.
People like you bitching and moaning ABOUT HOW UNFAIR GOVERNMENT IS,OR HOW THE GOVERNMENT IS HOLDING YOU BACK BY THEIR POLICY,ARE PATHETIC.
 
Kumbe Slaa ana sifa ya Umungu mie nilidhani Padre tu.

mmekwiba kura tokeni Ikulu...yaani wewe watu wanasubiri mzee wako amalize urais yaani utasikia utamuuu mpaka basi...yaani watu wanakutamani hatariii...we jibu jibu vitu hapa utakuja kuona..watu wanaprint hizi vitu wanaweka kwenye archive
 
Hali ikiwa nafuu makabwela watamsifia JK na nyonya-m wacha kifinyo kiwake hadi kila mtu aijutie nyamafu
 
Mimi simshauri Dr slaa aufungue moyo wake kwa mashetani ambayo yamejiandaa kuiba na kutafuna mali asili zetu,na ndiyo hayohayo yaliyomzunguka Baba wa taifa mwl.nyerere wakaudhoofisha utawala wake,waacheni hii laana iwatafune.nawasilisha.kama nimewakera leave me alone..AAAAGH
 
Dare to view the world differently broda and sisy.dare to see the vast see of opportunities out there and dare to find a job.
Government cant gives us our well deserved chocolate rivers,marshmallow clouds and tangarine skies EVEN IF SLAA IS THE PRESDENT.
If individiual are not willing to take their life into THEIR OWN HANDS then they are doomed.
People seem to forget that MAISHA BORA was never to be handed to you in a plate.it was SUPPOSSED TO BE EARNED BY HARDWORK,SWEATY AND BLOOD.
People like you bitching and moaning ABOUT HOW UNFAIR GOVERNMENT IS,OR HOW THE GOVERNMENT IS HOLDING YOU BACK BY THEIR POLICY,ARE PATHETIC.
You are the very Pathetic of all who know the duties of the Government, Non has asked the Government of all the issues you have mentioned, we are ask for its GOVERNANCE. Let this think into you Juvenile Mind.
 
WELL IT IS NICE TO KNOW THAT GOD WEAR MAGWANDA.
We are now turning politicians into GOD.
Looks like this thread is a huger pile of BS.
 
WELL IT IS NICE TO KNOW THAT GOD WEAR MAGWANDA.
We are now turning politicians into GOD.
Looks like this thread is a huger pile of BS.
The simple minds can not deduce the advanced issues.
 
dr. Slaa hana umungu,ila alimlilia mungu kwa kuibiwa kura zake na magamba na Mungu anaendelea kujibu maombi yake,nchi haitawaliki na magamba yataendelea kuruka na kukanyagana.hope unajua wabunge wa wamagamba wanavyohaha baada ya posho kuelekea kufutwa,ama kweli wabunge wa magamba wachumia matumbo!

Pia kutokana na wabunge wa magamba kutisha mara mbili kutaka kupiga kura ya kutokua na imani na rais ninaamini kwa mara ya tatu haitatutu na itamuondoa jamaa mapema sana na ataumbuka kutokana na kukumbatia maovyo yote ya tangia awali na mengi yametokea baada ya dhuluma ya wizi wa kura wa hii awamu yake ya pili, nadhani kama jk ni mtu anaeangaisha ubongo wake atakuwa analitambua!
 
Sangarara your thinking scare me than anything..ARE YOU ALRIGHT BRO? I mean in your head?.
Hivi did you expect people in their right mind to agree with what you write.coommon man be serius
 
ADVANCED ISSUE...?!!aaaaaaare you kidding sangarara?
WHAT ADVANCED ISSUE HEH?..
 
ADVANCED ISSUE...?!!aaaaaaare you kidding sangarara?
WHAT ADVANCED ISSUE HEH?..
 
Mh ,mr sangarara,what you wrote is a cheap propaganda,aiming to achieve i dont know what.
Man you are full of hate,i mean is there nothing you çan appreciate from this gove.WHY ARE SO FULL OF HATE.
Do you go to church every sunday?
Which God do you pray to,THE ALMIGHTY GOD or the one full of hate(THE ONE WHO WEAR MAGWANDA).
The one you are begging him to let the country ran smoothly.
THINK.
 
Tatizo tulilo nalo watanzania kwa sasa ni baadhi ya viongozi wetu kuwa na ulafi uliopitiliza huku wanawaacha wananchi wakiteseka kwa hali mbaya ya kiuchumi.Ndio maana tunafikia kutamani kupata KIONGOZI atakaethubutu kuwaambia hawa walafi BASI INATOSHA wawaachie WANANCHI nao waweze kupata huduma nzuri kutoka serikali yao kwani inakusanya kodi na ina rasilimali za kutosha kuwafanya wananchi kuwa na maisha bora
 
We unadhani wale wastaafu wa East Africa waliopigwa mabomu na kumwagiwa maji ya pili siyo laana? Kuua watu wasio na hatia, kutegemea ushirikina baraka zitoke wapi? Ni vema mtoa ukaushauri utawala ujiangalie na utengeneze mambo yake kwa faida ya watanzania. Toka lini anayekosewa ndiyo aombe radhi?
 
Mh ,mr sangarara,what you wrote is a cheap propaganda,aiming to achieve i dont know what.
Man you are full of hate,i mean is there nothing you çan appreciate from this gove.WHY ARE SO FULL OF HATE.
Do you go to church every sunday?
Which God do you pray to,THE ALMIGHTY GOD or the one full of hate(THE ONE WHO WEAR MAGWANDA).
The one you are begging him to let the country ran smoothly.
THINK.
Mkuu una mambo!!
Naomba unikumbushe kitu ambacho Jakaya amekifanya na uma wa watanzania ukafarijika japo kwa asilimia 10%. Mimi nilikuwa najipa matumaini kwamba hili la kudakia agenda ya Katiba Mpya litamtoa kimasomaso, kama kawaida yake, maskini, angalia kinachotokea Zanzibar, amini nakuambia hivi sasa mwenzio anajuta.
 
Watanzania wengi tuko na hulka kama yako, yaani aliyeibiwa ushindi ndo unamtaka asamehe afungue moyo??? sio aloiba atubu na kuomba msamaha??? wewe kweli unafikiria panzi anaakili sana.

Tujifunze kusema ukweli na kuusimamia, tuache hulka za ajabu. aloibiwa amwache tu mwizi ushauri wako, aibu weweweeee.
 
Mimi nafikiri ni kipindi cha Dr Slaa kujipanga tena kwa ajili ya 2015. Na kuacha kabisa kuchochea wanachama na wapenzi wa chama chake kufanya hujma kwa serikali iliyopo madarakani kwa ajili ya manufaa ya nchi yenu na wananchi wake.

Hakika uchochezi sio mzuri kwa mustakabali wa nchi yenu. Hakika amani ya nchi enu inategemea busara zenu viongozi kwa wanachama wenu.

Fuata za maalim Seif kwa Znz na waZnz.


Na wewe bwana always contraversial kama mleta thread. Matatizo ya kiuchumi yanaikumba Tanzania ni kwa sababu Dr.Slaa hamtambui Kikwete kama Raias au ni matatizo yenye vyanzo mbalimbali. Mfumuko wa bei kwanza unatokana kuwa tunaagiza sana kuliko tunavyouza nje. Tunatumia kiasi kikubwa cha shilingi yetu ili tupate kubadilisha kupata hard curencies kama dollar ya kiamerika, pound ya Kiingereza na Euro kwa njia ya safari za vigogo wetu zisizoisha na ambazo uafanisi wake na faida yake ni questionable pamoja na kuagiza bidhaa kama ambavyo nilikwisha sema. Sasa wa kuimarisha viwanda vya ndani ili tuache kuagiza hata vitu vidogo ni nani? Bhakresa ameonesha mfano kwenye consumer goods je serikali ina mpango gani wa kulinda viwanda kama hivi ili bidhaa inayotengenzwa na viwanda vya wazeldo kama hivi vikue zaidi? Kwa mfano nenda kwenye ndege unakuta juice inayokuwa served mle ni ya Uaraabuni kwa nini isiwe ya Azam? Inahitaji Dr.Slaa amtambue Kikwete hapo? Ukwepaji kodi na kusamehe kodi kwa wafanyabiashara wenye asili ya nje na kuinyima serikali mapato, kuna Slaa hapo wakati ndiye amekuwa analipigia kelele hili. Waliotorosha wanyama wetu wakiwemo twiga ili wawakamate wanahitaji Slaa? Wezi wa EPA, Richmond,kiwara, MEREMEMETA na wengineo wanahitaji Slaa amtambue Kikwete? Huduma za jamii-shile na hospitali ili ziwe bora zinahitaji Slaa amtambue Kikwete? Litania ni ndefu.

Jamani tusimpe Dr.Slaa uwezo wa limiujiza asiokuwa nao. Kama Kikwete ameshindwa kujua nafasiyake nini ktk kuleta maendeleo enedelevu na kubana mianya ya rushwa na ubadhilifu na kuwekeza kwenye shule na sayansi na technology from grassroots to the tertiary education haitaji kutambuliwa na Slaa. Alipaswa ajue hayo lakini sisi tunataka kumamabika Slaa lawama na kujustify kushindwa kwa mtu. Aliposema hajui kwanini TZ ni maskini pamoja na misaada DAR. alikuwa ni mbunge. Alipoulizwa na wanahabari wa Clouds kwamba Legacy yake ni ipi akashindwa kuilezea ilikuwa kabla ya uchaguzi wa 2010 na sio laana. Kama labda mtoa thread anajua kinachoitafuta serikali yake in his tenure and then hiding to disclose that's another problem
 
Bigaraone, Uko sawa kabisa, lakini Haujajikita kwenye Hoja yangu. Kwamba? kwa nini kila anachokifanya Jakaya sio ridhki, labda nivitaje kwa ufupi sasa.
1. Aliingilia Darwins Nightmare kwa mauhakika mengiii, akaumbuka
2. Aliahidi Maisha Bora kwa Kila Mtanzania, wewe mwenyewe Bigaraone umeoonyesha alivyoshindwa
3. Aliahidi kutengeza mabilionea wakubwa watano, mpaka sasa ni Ritz1 tu, sana sana katibua deals za rafiki zake
4. Zile ajira milioni moja, in fact kaua ajira nyingi sana kwa madeal yao ya umeme
5. Aliahidi kuondoa kero zote za muungano, sina comment.
7. Mkakati wa kujivua gamba, kila mtu anajua ulipofikia
8. Kilimo Kwanza, sitaki kuongea sana.
9. Semiana elekezi, wote tunajua matokeo yake
10. Katiba Mpya, unajua tulipofikia.

Labda kumchanganya DR SLAA kwenye hii thread ndio kunachanganya watu, lakini post yangu imebeba jumbe kuu mbili
Kwanza: Kwamba alirudi Ikuru kwa nguvu na aliyepokwa ushindi ni DR SLAA, ni lazima watanzania tuendelee kukumbushana hili sababu ndio kitu pekee kinachotupa matumaini kila tukiangalia serikali yetu inavyosimama dede, kwamba wapo watanzania wanaoweza kuifanya ikasimama wima.

Pili: Jamaa kashindwa kutupa uongozi, total failure.
 
Toka Jakaya Kikwete atangazwe kibabe kuwa ndio mshindi wa ngazi ya Uraisi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Juzi na kisha kuapishwa haraka haraka katika Sherehe ambazo DR na CHADEMA kwa ujumla walizisusia kwa sababu mchakato wa uhesabuji wa Kura za Uraisi uligubikwa na mchakato wa usiri uliokuwa umejaa kila aina ya mashaka ya nini kilikuwa kinaendelea nyuma ya Pazia,
Serikali yake ni kama imepigwa laana sababu hakuna Jambo ambalo serikali hiyo inalifanya na likakamilika kwa manufaa ya UMA na wakati mwingine hata yale yanayofanyika kwa manufaa ya wachache yanaiweka serikali hiyo matatani katika namna inayotia aibu.

Serikali ya Jakaya imejaa mikosi kitu kinachopelekea ugumu wa maisha wa hali ya kutisha kutapakaa nchi nzima, vilio katika kila kona ya nchi, na yeye binafsi sasa ni kama vile anaona aibu au amekwisha ng'amua na madhira gani yameufika utawala wale, sababu kapoteza kabisa ujasiri wa kuthubutu kutoa maamuzi katika Jambo lolote lile, bila shaka akihofia mambo kuharibika dhaidi.

Nimeifikiria hali hii na nimeona ni vyema kutoa mchango wangu ili kulinuthuru Taifa na Matatizo, Namuomba DR SLAA aondoe kinyo'ngo alichonacho cha kupokwa Urais, Asamehe yote yaliyotokea, ajitie nguvu na kushusha Pumzi, atoe tamko, na Watanzania
wote wasikie kwamba Anamtambua Jakaya Mrisho Kikwete kuwa ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwenye dhamana harari ya kuliongoza Taifa hili.

Ninaamini kwamba hatua hii itampa Mwenzake wepesi wa kutuongoza kitu ambacho kitakuwa na manufaa kwa Watanzania wote.

Mkimshurutisha Dr Slaa "afungue moyo atakufa bure" si umbile la moyo wa binadam kuchwa wazi.
Dr alichotakiwa kufanya si kususia sherehe wakati ule kwani kufanya vile si dhani kama kumemsaidi chochote.
Angekuwa Mwanasiasa mkomavu angelikabili swala hilo mnalodai la "kuibiwa kura" HEAD ON kwani alikuwa na nafasi yake ya kuongea pale hadharani na akaipoteza (kwa Lipumba). Pale angeutangazia umma wa Watanzania na Dunia kwa jumla kuwa anabaki kuwa Mpnzani akijua kuwa Ameibiwa na ushahid wa hilo anao.
Lakini kumsaidia hapa JF kwa maneno ya kihuruma hurma na kuomba Mungu atoe laana sidhani kama ina maana yoyote hapa. Dr ameshakubali matokeo muungeni mkono mjitaarishe kwa 2015. Kama unavyoona CDM wako mbugani wameanza kazi mapema wameacha kupoteza muda kufanya zogo na Maandamano yasiyo na Tija.
( kwa hilo pongezi kwa viongozi, wanachama na wapenzi wa CDM) Cha kuzingatia Uchaguzi kama ni Football basi Mwamuzi ni dakika 90. Msione Simba aliyenyeshewa na Mvua mkamwita Nyani CCM ni CCM dakika kumi za mwishi zitachezewa katika Goli lako na watakuja na Silaha zote "WATCH MY WORDS" tukiwepo siku hizo tutakumbushana.
 
Back
Top Bottom